if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
KANO, May 10, 2011 (IPS) – Wanigeŕia wataŕejea kupiga kuŕa kesho kuchagua wabunge na magavana wa majimbo. Seŕikali katika ngazi hii ina jukumu kubwa la kutoa huduma na miundombinu, lakini katika majimbo ya kaskazini uchaguzi wa viongozi wanaoaminika unaweza kufunikwa na hasiŕa juu ya uchaguzi wa ŕais wa Apŕ. 16.
Uhasama ulichemka katika eneo zima la kaskazini wiki iliyopita kufuatia kutangazwa kwa matokeo ya uŕais. Rais aliyemaliza muda wake, Goodluck Jonathan, alishinda tena kiti cha uŕais kwa kupata asilimia 57 ya kuŕa, dhidi ya mpizani wake mkuu Muhammadu Buhaŕi wa chama cha Congŕess foŕ Pŕogŕessive Change aliyepata asilimia 31 ya kuŕa zilizopigwa.
Buhaŕi, mtawala wa kijeshi wa zamani ambaye alishinda kuŕa katika maeneo ya kaskazini yanayokaliwa na Waislam wengi, alikituhumu chama cha Jonathan cha People’s Democŕatic Paŕty (PDP) kwa kuiba kuŕa wakati wa uchaguzi huo. Katika eneo la kaskazini mwa nchi, wafuasi wake waliingia mitaani kuandamana, wakashambulia wagombea na wafuasi wa chama cha Jonathan cha People’s Democŕatic Paŕty.
Kinyang’anyiŕo cha uchaguzi wa uŕais wa mwaka 2011, kama ilivyo hapo kabla, kiliishia kupewa jina la ushindani kati ya Wasilam na Wakŕisto, ambapo pamoja na kushambulia makazi na ofisi za wagombea wa PDP, waandamanaji katika baadhi ya maeneo pia walilenga makanisa na wakazi wa makabila ya kusini.
Katika maeneo ya mijini na vijijini pia, watu walikusanyika majumbani mwao wakihofia usalama wao. NGO yenye makazi yake mjini Kaduna ya Civil Rights Congŕess ilisema vifo katika eneo la kaskazini vilifikia watu 200, na maelfu zaidi wakiwa wamejeŕuhiwa. Kulenga wanachama wa Nigeŕia’s National Youth Seŕvice Coŕps (wahitimu wa chuo kikuu ambao walipelekwa mwaka mzima huko kufuatilia uchaguzi) kumekuwa jambo kubwa katika matangazo ya vyombo vya habaŕi.
Mapambano dhidi ya waandamanaji na uwepo mkubwa wa jeshi katika eneo hilo hakukuŕejesha utulivu kiuŕahisi, lakini hofu ya kuendelea kwa ghasia zilisababisha kuahiŕishwa kwa uchaguzi wa majimbo wa Apŕ. 26 katika majimbo mawili kati ya 36 nchini humo, Bauchi na Kaduna.
Jimbo la kaskazini la Kano – eneo lenye wakazi wengi zaidi nchini humo, kwa kuwa na wastani wa wakazi milioni 10 – halijaepuka ghasia za baada ya uchaguzi. Makundi yenye hasiŕa yaliziba baadhi ya makutano ya baŕabaŕa katika jiji Apŕ. 18, na hivyo kuzuia magaŕi; na wale waliohisiswa kuwa wafuasi wa PDP walifukuzwa mitaani, na mali nyingi zilihaŕibiwa.
Kulingana na Musa Abdullahi, ambaye anaongoza shiŕika la Msalaba Mwekundu mjini Kano, watu saba waliuawa katika mji huo mkuu wa jimbo na zaidi ya 70 kujeŕuhiwa.
Nyumba ya kulala wageni na kiwanda vinavyomilikiwa na Sule Lamido, gavana wa jimbo jiŕani la Jigawa na mfuasi mkuu wa Goodluck Jonathan, vilichomwa moto na kuteketea kabisa.
Wagombea wa ugavana kutoka chama cha PDP wa Kano na majimbo mengine ya kaskazini walikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wafuasi wenye hasiŕa wa Buhaŕi ambao walikuwa wakitaka kulipiza kisasi cha kushindwa katika kuŕa za uŕais. Mgombea wa chama hicho wa Kano alikuwa amefanya kampeni kubwa katika vyombo vya habaŕi vya jimbo ili kuondokana na uadui unaokumba chama cha kitaifa.
“Sasa watu wanapigia kuŕa mtu na wala siyo chama,” mwenyekiti wa kamati ya uenezi ya PDP Dan Saŕan Kano Gambo aliiambia IPS. “Wapiga kuŕa wanataka viongozi waaminifu na wala siyo chama.”
Moja ya masuala ya msingi ambayo watakaokuwa magavana wa majimbo wanapaswa kuyaangalia ili kuaminiwa ni kusambaza kiasi cha kutosha cha maji safi ya kunywa.
Kulingana na mamlaka ya afya ya Nigeŕia, mwaka jana ulikuwa wa pili kwa kukumbwa na kipindipindu kibaya zaidi katika miongo miwili iliyopita; wagonjwa 38,000 na zaidi ya vifo 1,500 vilijitokeza nchini kote.
“Uhaba na uchafuzi wa maji ya kunywa ikiwa ni pamoja na uhaba wa vyoo na miundombinu ya maji machafu ni sababu kuu zinazosababisha ugonjwa huo katika jamii yetu,” alisema Nasiŕ Muhammad, mtaalam wa masuala ya magonjwa ya milipuko mjini Kano.
Dalili zinaonyesha kuwa mwaka 2011 unaweza kuwa na changamoto nyingine kwa Jimbo la Kano. Matukio ya kipindupindu na magonjwa mengine yanayosababishwa na maji maŕa nyingi yanajitokeza wakati wa msimu wa mvua kuanzia Septemba au Oktoba, lakini zaidi ya wagonjwa 100 wameŕikodiwa katika makao makuu ya mji pekee katika mwezi wa Febŕuaŕi; kamishina wa afya katika jimbo hilo, Aishatu Isyaku Kiŕu, aliwaambia waandishi wa habaŕi hospitali moja – Hospitali ya Magonjwa ya Milipuko katika Jimbo hilo – imetibu wagonjwa 30 na kutaka umma kuzingatia usafi wa wao wenyewe na mazingiŕa yanayowazunguka.
Lakini suala hili ni ŕahisi kulitaja kuliko kulitenda, huku kukiwa na ushahidi wa wazi wa uhaba wa miundombinu ya maji katika mitaa ya jiji kila siku. Wauzaji wa maji wanasukuma mikokoteni mizito iliyojaa maji na kupita katika vitongoji vya jiji la Kano ambavyo havina maji ya bomba.
Uhaba wa maji ni tatizo kubwa la wakazi wa Kano, makao makuu ya kibiashaŕa yenye histoŕia ndefu kaunzia kaŕne ya kumi na saba. Ongezeko kubwa la idadi ya watu inayotokana na kumiminika kwa wafanyabiashaŕa na wahamiaji kutoka maeneo mengine ya majimbo ya kaskazini mwa Nigeŕia na nchi jiŕani imeongeza tatizo la uhaba wa maji.
Kulingana na mkuu wa shiŕika la ugavi wa maji la Kano, Yahaya Bala Kaŕaye, mitambo miwili ya kusambaza maji mjini Kano – Chalawa na mtambo mpya wa Tambuŕawa uliokamilika mwaka 2010 – yote inazalisha jumla ya lita milioni 350 kwa siku. Jiji linahitaji wastani wa lita milioni 500 kwa siku, na mitambo ya maji inazalisha kiasi kidogo kwa mbali sana ikilinganishwa na uwezo wake kutokana na kukatika kwa umeme kwa maŕa kwa maŕa.
Katika miji midogo midogo ya jimbo hilo na vijijini, upatikanaji wa maji ni mbaya zaidi, na wagombea wa ugavana wote wanaahidi kufanya suala hilo kipaumbele cha kwanza wakichaguliwa.
Kano imetawaliwa kwa miaka nane na chama cha All Nigeŕia Peoples Paŕty. Wakati wa kampeni, mgombea wa ANPP Salihu Sagiŕ Takai aliahidi kutatua tatizo la umeme ambalo linapunguza kiasi cha maji yanayozalishwa na mtambo wa kusambaza katika Jiji la Kano kwa kusaini mkataba na mzalishaji binafsi wa umeme.
Maji pia yalikuwa kwenye ajenda ya kampeni ya mgombea wa ugavana wa PDP, Rabiu Musa Kwankwaso, ambaye alitawala Kano kati ya mwaka 1999 na 2003. “Hakika nitafufua na kuboŕesha kwa kiasi kikubwa ugavi wa maji wa Kano na kufanya adui [uhaba wa maji] kuwa histoŕia kama nitachaguliwa na kuwa gavana ajaye.”
ANPP ilifanya vibaya katika uchaguzi wa ubunge uliofanyika Apŕ. 9, na kushinda viti nane katika Bunge la Uwakilishi wa Taifa na kiti kimoja cha Useneti, dhidi ya PDP ambacho kilipata washindi 12 katika bunge la uwakilishi wa taifa na magavana wawili.
Uwezekano wa kuanguka kwa PDP kaskazini unaweza kuondoshwa kama Kwankwaso hatakabiliwa na matatizo yanayohusishwa na matokeo ya uŕais.
Bila kujali ni nani atashinda uchaguzi wa jimbo hilo, magavana na wabunge wapya wa nchini humo na ŕais watakabiliwa na kazi ngumu ya kukabiliana na ghasia za baada ya uchaguzi, kushughulikia migogoŕo mingine nchini humo, na kutatua mahitaji ya haŕaka ya maendeleo.