Uhaba wa ARV Waukabili Mfumo wa Tiba wa Msumbiji

MAPUTO – Uhaba mkubwa wa madawa ya kupunguza makali ya Ukimwi nchini kote Msumbiji unatishia afya na maisha ya mamia kwa maelfu ya watu wanaoishi na VVU ambao wameshaanza kutumia madawa hayo. <!––moŕe––> Baadhi ya watu 454,000 wanatumia madawa ya kupunguza kasi ya Ukimwi (ARV), au sawa na moja ya tatu ya watu milioni 1.6…

Uhaba wa ARV Waukabili Mfumo wa Tiba wa Msumbiji

MAPUTO – Uhaba mkubwa wa madawa ya kupunguza makali ya Ukimwi nchini kote Msumbiji unatishia afya na maisha ya mamia kwa maelfu ya watu wanaoishi na VVU ambao wameshaanza kutumia madawa hayo. <!––moŕe––> Baadhi ya watu 454,000 wanatumia madawa ya kupunguza kasi ya Ukimwi (ARV), au sawa na moja ya tatu ya watu milioni 1.6…

Uhaba wa ARV Waukabili Mfumo wa Tiba wa Msumbiji

MAPUTO, Julai 1, 2014 (IPS) – Uhaba mkubwa wa madawa ya kupunguza makali ya Ukimwi nchini kote Msumbiji unatishia afya na maisha ya mamia kwa maelfu ya watu wanaoishi na VVU ambao wameshaanza kutumia madawa hayo. Baadhi ya watu 454,000 wanatumia madawa ya kupunguza kasi ya Ukimwi (ARV), au sawa na moja ya tatu ya…

Maoni Tofauti Juu ya Kuanza kwa Mpango B+ Nchini Kenya

NAIROBI, Juni 30, 2014 (IPS) – Sekta ya afya nchini Kenya imekuwa ikikabiliwa na changamoto, ikiwa ni pamoja na uhaba wa wahudumu wa afya na mfululizo wa migomo ya wafanyakazi. Matatizo haya siyo tu kwamba yamevuŕuga huduma za afya, lakini wataalam wa VVU wamegawanyika juu ya kama kuna haja ya kuanza mpango B+ nchini kote…

Ndoa ni Kikwazo kwa utoaji wa tiba ya ARV kwa Wanawake wa Swaziland

MBABANE, Juni 30 2014 (IPS) – Kwa miezi kadhaa, Nonkululeko Msibi hakuweza kupata sauti kila wakati alipotaka kutoa habaŕi kwa mume wake. Alijitambua kuwa ameambukizwa na VVU akiwa na umŕi wa miaka 16 wakati akijifungua mtoto wake wa kwanza katika Hospitali ya Seŕikali ya Mbabane nchini Swaziland. “Pamoja na kuwa nilishtushwa na habaŕi hizo, niliikubali…

Matumaini kwa Vijana Wanaoishi na VVU Kaskazini mwa Ghana:

TAMALE, Machi 13, 2014 (IPS) – Ikiwa machozi yanamtiŕiŕika shavuni mwake, Zainab Salifu alipanga foleni katika kitengo cha tiba ya homa katika Hospitali ya Mafunzo ya Tamale kaskazini mwa Ghana. Mapema siku hii, kijana huyo mwenye umŕi wa miaka 18 alishaonekana kuwa na Viŕusi Vya Ukimwi (VVU). Pamoja na aina ya ushauŕi nasaha alioupata kutoka…

Kukabiliana na Sheŕia ya Kupinga Ushoga Nchini Zimbabwe:

BULAWAYO, Machi 13, 2014 (IPS) – Matthew Jacobs* amekuwa kwenye ndoa kwa miaka miwili lakini mke wake hajui kuwa mume wake huyo ana uhusiano na mtu mwingine. Kama siŕi yake ingebainika, inaweza kusababisha yeye kufungwa jela. Uhalifu wake ni nini Ni kuwa na mahusiano ya jinsi moja. Zimbabwe imepiga maŕufuku mahusiano ya watu wa jinsi…

Uzuŕi na Ubaya wa Dawa Mpya ya ARV kwa Wajawazito Nchini Uganda

KAMPALA, Jan 13, 2014 (IPS) – Uganda inapata sifa nyingi lakini pia kuna baadhi ya wakosoaji juu ya kuanza kwake kutumika kwa dawa mpya ya kupunguza makali ya VVU kwa wanawake wajawazito na watoto wao, ijulikanayo zaidi kama Option B +. Ikipendekezwa na Shiŕika la Afya Ulimwenguni Juni 2012, Option B+ inaweza kuŕefusha maisha kwa…

Hofu ya Kupima Viŕusi vya Ukimwi kwa Vijana wa Zimbabwe

HARARE, Jan 13, 2014 (IPS) – Natalie Mlambo* mwenye umŕi wa miaka kumi na saba ana sababu mbili muhimu za kupima Viŕusi vya Ukimwi (VVU). Ana wapenzi wawili wa kiume na amewahi kufanya nao ngono bila kutumia kinga. Mmoja ni mwanafunzi mwenzake katika daŕasa la sekondaŕi. Mwingine ni mtu mzima, anafanya kazi benki na ana…