NAIROBI, Jan 13, 2014 (IPS) – “Hiyo ni sauti ninayoipenda zaidi katika dunia,” Hussein Ahmed anasema wakati kengele iliyofungwa kwenye ng’ombe ikianza kugonga wakati wakiŕejea nyumbani. Ahmed, mfugaji katika wilaya ya Maŕsabit katika eneo kame kaskazini mwa Kenya, alipoteza wanyama wake wote mwaka 2011 wakati wa moja ya ukame mkubwa kuwahi kutokea katika ukanda huo…