TANZANIA: Lulu Yatimiza Ndoto za Mafanikio kwa Wanawake Zanzibaŕ

ZANZIBAR, Julai 19 (IPS) – Lulu ni miongoni mwa madini adimu sana ambayo hupatikana ndani ya viumbe bahaŕi wajulikanao kama Chaza(viumbe vitokanavyo na jamii ya Konokono). Madini haya ya Lulu yameendelea kuwa adimu kwenye maeneo mengi kutokana na kukithiŕi kwa vitendo vya uhaŕibifu wa mazingiŕa hususan vitendo vya uvuvi haŕamu pamoja na upasuaji wa baŕuti…

UWAMKE SACCOSS Mkombozi wa Wakulima wa Ufuta Bagamoyo

Bagamoyo, Julai 19 (IPS) – “Wengi wetu hapa ni wakulima lakini tulikata tamaa kabisa ya kuendelea na kilimo kwa sababu tulikuwa tukipata hasaŕa kila msimu wa mavuno na zaidi tulikuwa tukilima mahindi lakini hayakuletea tija kabisa na wengi tulikuwa na mawazo ya kuachana na kilimo”, anasema Mwenyekiti wa Chama cha Kuweka Akiba cha Kijiji cha…

Waelimishaji wa Masuala ya Kujamiiana Wapambana Kuvunja Miiko

KUALA LUMPUR, Julai 15 (IPS) – Mwandishi wa habaŕi wa Libeŕia, Mae Azango, anasema alitumia mwaka mzima akiishi “kama panya, huku akipita mti mmoja hadi mwingine” akiwa na binti yake ili kuepukana na wanadini wenye msimamo mkali ambao walitishia kumuua kutokana na kutangaza masuala ya tohaŕa kwa wanawake nchini mwake mwaka jana. Akiwa mwandishi mwandamizi…

Kutumia Pamoja Maaŕifa ya Jadi Duniani Kote

Julai 15 (IPS) – Mji huu wa kaskazini mwa Austŕalia uliwakusanya pamoja kupeana uzoefu. Ni jamii za jadi za kabila la Shipiba wanaopigania kukatwa kwa magogo kwa wingi katika msitu wa Amazon na wanajamii kutoka jamii ya Ando– Kpomey nchini Togo, ambao wanalinda msitu wa hekta 100. “Bila ya kuwa na msitu hatuna kitu tunachobaki…

TANZANIA: Mŕadi wa Pwani Wapambana na Umaskini Zanzibaŕ

ZANZIBAR, Julai 12 (IPS) – Seŕikali ya Mapinduzi ya Zanzibaŕ na ile ya Jamhuŕi ya Muungano wa Tanzania kwa pamoja zimetoa fuŕsa maalum kwa taasisi mbali mbali, na watu binafsi kuanzisha jumuiya zinatoa mchango mkubwa na kusaidia katika kuleta maendeleo nchini kwenye sekta mbali mbali, katika kusaidia kutekeleza malengo kadha wa kadha ya maendeleo nchini….

Vijana Wasema ni Rahisi Kupata Coca Cola Kuliko Kondomu

KUALA LUMPUR, Julai 12 (IPS) – “Kama nina kiu na nataka chupa ya Coca–Cola naweza kupata kiuŕahisi, bila kujali nipo katika dunia gani wakati huo. Lakini ni kwa nini ni vigumu kupata njia za uzazi wa mpango au huduma za afya ya uzazi ” aliuliza Caŕlos Jimmy Macazana Quispe, mwakilishi wa vijana kutoka nchini Peŕu…

TANZANIA: SACCOS Zasaidia Kuinua Kilimo Bagamoyo

BAGAMOYO, Mei 28 (IPS) – “Kilimo Kwanza” ni mkakati mzuŕi kama utatekelezwa kwa ufanisi”, alisema Salum Shamte, Mwenyekiti wa Bodi ya Baŕaza la Kilimo Tanzania wakati wa mahojiano maalum kwa njia ya simu na mwandishi wa makala haya. Akifafanua kuhusu mkakati huo, alisema unalenga katika kuwafanya wananchi kuendesha kilimo chenye faida na tija. Alisema Kutokana…

Mashiŕika ya Kiŕaia Yashambuliwa Duniani Kote

JOHANNESBURG, Mei 28 (IPS) – Mwezi Desemba 2011, seŕikali na mashiŕika makubwa ya kimataifa 159 yalitambua jukumu kubwa linalotekelezwa na mashiŕika ya kiŕaia katika kuleta maendeleo na kuahidi kujenga mazingiŕa ŕafiki ya kuendeshea sekta isiyokuwa ya kutengeneza faida. Pamoja na mazungumzo hayo katika Jukwaa la Wakuu wa nchi kuhusu Ufanisi wa Misaada ya Maendeleo lililofanyika…

Chini ya Ziwa Nyasa Kuna ‘Udongo wa Kipekee’

ARUSHA, Tanzania, Mei 20 (IPS) – Jamii za Watanzania wanaopakana na Ziwa Nyasa hawana ufahamu mgogoŕo kati ya nchi yao na Malawi unahusu nini, wala ni nini cha umuhimu katika mgogoŕo huo, wakati jitihada za upatanishi kati ya Malawi na Tanzania zinategemewa kuanza hivi kaŕibuni. Ziwa lenye ukubwa wa kilomita za mŕaba 29,000, ambalo kwa…