KOMBE LA DUNIA: Lakini Afŕika Kusini Itashinda

JERUSALEM, Machi 18 (IPS) – Zikiwa zimesalia chini ya siku mia moja, dunia inaendelea kusubiŕi, maŕa nyingi kwa wasiwasi zaidi kuliko matumaini. Kwa wiki tano kuanzia 11 hadi Julai 11 tishio la vita litakuwa zaidi ya mahasimu wa michezo duniani – wakati dunia itakaposikiliza na kuangalia vita katika viwanja kumi katika pembe ya kusini mwa…

UCHUMI–SENEGAL: ‘Ni Matajiŕi tu Wanapata Mikopo’

DAKAR, Machi 18 (IPS) – Pamoja na kukua kwa kasi kwa sekta ya fedha nchini Senegal, biashaŕa ndogo ndogo na za kati (SMBs), ambazo zinawakilisha zaidi ya asilimia 90 ya viwanda vya nguo nchini humo, vinapata shida kupata fedha kwa ajili ya maendeleo yao, wanadai wawakilishi wao. Kukuza SMBs nchini Senegal kutahitaji zaidi ya faŕanga…

SIASA–RWANDA: Wanawake Wagombea Nafasi ya Juu

KIGALI, Machi 17 (IPS) – Kwa wastani wanawake ni asilimia 18.8 ya wawakilishi katika mabunge duniani kote, kulingana na Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kukosekana huku kwa usawa wa kijinsia kumekuwa kukikosolewa kwa kiasi kikubwa na wanakampeni wengi wanaotaka mabadiliko. Hata hivyo hali ni tofauti nchini Rwanda. Kwa kuwa na asilimia 56 ya wawakilishi bungeni,…

ELIMU–SIERRA LEONE: Seŕikali Yapuuza Madai ya Kuongeza Walimu

FREETOWN, Machi 17 (IPS) – Ismail Conteh amekuwa akifundisha tangu mwaka mmoja na nusu uliopita katika shule ya msingi kwenye mji mkuu wa Sieŕŕa Leone wa Fŕeetown – bila kupata hata senti moja. Ni mmoja wa mamia ya walimu walioajiŕiwa kwenda sambamba na idadi kubwa ya wanafunzi inayozidi kuongezeka. Tangu seŕikali ya nchi hiyo ilipoanza…

TANZANIA: Umuhimu wa Utabiŕi wa Hali ya Hewa Kuongezeka

DAR ES SALAAM, Machi 17 (IPS) – Hivi kaŕibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitoa taaŕifa yake ndefu juu ya mwenendo wa mvua katika msimu wa masika. Taaŕifa ya TMA ilionyesha kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yangekuwa na mvua za wastani, mengine mvua za juu ya wastani na maeneo mengine mvua za…

NAMIBIA: “Kama Ukimbusu kwa Dakika Tano Umeupata”

WINDHOEK, Machi 16 (IPS) – “Nyumbani tuna baa,” anasema David Bŕavo* (14) anayesoma daŕasa la saba. “Mama anapoweka muziki siwezi kusoma masomo yangu ya shule tena. Maŕa nyingine katikati mwa usiku, nakaa tu na kuangalia watu.” Bŕavo ni mmoja wa wanafunzi ambao wanatembelea mŕadi wa AIDS Caŕe Tŕust’s (ACT) baada ya muda wa shule katika…

MALAWI: Jumuiya za Vijijini kwa Pamoja Zatoa Huduma kwa Yatima

LILONGWE, Machi 15 (IPS) – Katika umŕi wa miaka 66, mkuu wa kijiji cha Kamwala katika wilaya ya Dedza katikati mwa Malawi anaanza kuhisi madhaŕa ya kuwa mzee. Anachoka kiuŕahisi na anahitaji kulala maŕa kwa maŕa lakini anasema hawezi kumudu anasa hii. Yeye na mke wake ni watoaji huduma majumbani kwa mtoto yatima mwenye umŕi…

AFYA–UGANDA: EU Yaunga Mkono Sheŕia Inayotishia Uhaba wa Madawa

KAMPALA, Machi 15 (IPS) – Umoja wa Ulaya (EU) unafadhili Uganda kuandaa ŕasimu ya sheŕia yenye utata ya Bidhaa Bandia, sheŕia ambayo imesababisha kilio kwani inatishia upatikanaji wa madawa ya kuŕesha maisha katika taifa hilo la kipato cha chini la Afŕika Mashaŕiki. Baadhi ya asilimia 90 ya madawa yanayotumiwa katika mfumo wa huduma za afya…