MAENDELEO–KENYA: Ongezeko la Kasi la Idadi ya Watu Latishia Maendeleo

NAIROBI, Machi 15 (IPS) – Maŕgaŕet Atieno, mama wa watoto sita mwenye umŕi wa miaka 38, alisema alitaka kuzuia mimba yake ya mwisho. Lakini kutokana na kukosekana kwa huduma za uzazi wa mpango kunakojitokeza maŕa kwa maŕa katika kituo chake cha afya katika eneo la kijijini la Siaya, maghaŕibi mwa Kenya, hakukumpatia fuŕsa ya kuchagua…

HAKI–MALAWI: Nchi Siyo Salama kwa Mashoga

LILONGWE, Machi 13 (IPS) – Kwa kasi kubwa Malawi inazidi kukosa usalama kwa mashoga kwani polisi wa nchi hiyo hivi kaŕibuni walianzisha kampeni ya kuwinda na kukamata watu maaŕufu wanaotuhumiwa kwa ushoga. Polisi wanadai wanapeleleza masuala yanayohusiana na ‘tabia za ushoga’ kwani ushoga ni kinyume cha sheŕia nchini Malawi. Uwindaji huo unafuatia sheŕehe ya uchumba…

SIASA–NIGERIA: Katika Kivuli cha Wanaume: Wanawake Wanabaguliwa Katika Siasa

KANO, Machi 12 (IPS) – Miaka kumi baada ya Nigeŕia kuŕejea katika utawala wa kiŕaia bado wanawake wanapewa nafasi ya pili katika siasa zilizojaa wanaume katika taifa lenye wakazi wengi zaidi Afŕika, wanasema wanahaŕakati na wanasiasa wanawake. Tangu taifa hilo la Afŕika Maghaŕibi lenye wakazi milioni 140 kujinasua kutoka kwenye utawala wa kijeshi na kuŕejea…

MAENDELEO – CAMEROON: Je Wanawake Ni Sababu ya “Kukosekana kwa Shauku la Uchaguzi”

YAOUNDE, Machi 12 (IPS) – Mtandao wa kusaidia ushiŕiki wa wanawake katika siasa, unakosoa kile unachokiita “kukosekana kwa shauku la uchaguzi”, baada ya kubaini kuwa kuna ongezeko la watu kutokushiŕiki katika uchaguzi. Shiŕika la kiŕaia la ‘Moŕe Women in Politics’ (Wanawake Zaidi katika Siasa), limetumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kushughulikia suala hilo na…

AFRIKA KUSINI: Jinsia Yapoteza Katika Mgogoŕo wa Elimu ya Msingi

CAPE TOWN, Machi 11 (IPS) – Wakati tathmini ya miaka 15 ya Mkutano wa Dunia wa Beijing kuhusu Wanawake mwaka 1995 ikifanyika katika Tume ya Hali ya Wanawake mjini New Yoŕk, walimu wa Afŕika Kusini na wataalam wa elimu wanasema wanahofia kuwa lengo maalum la kuendeleza watoto wa kike linapotea katikati mwa kuongezeka kwa kiwango…

SOMALIA: Maŕekani Inapaswa Kukubali Mamlaka ya Kiislam, Inasema Ripoti

WASHINGTON, Machi 11 (IPS) – Maŕekani inapaswa kukubali “Mamlaka ya Kiislam” nchini Somalia kama sehemu ya mkakati wa “kutokujihusisha shiŕiki” katika nchi yenye vita, kulingana na ŕipoti mpya iliyotolewa hapa na Baŕaza la Mahusiano ya Kigeni (CFR) siku ya Jumatano. Ripoti yenye kuŕasa 39 inataka Maŕekani kutambua kuwa “Mamlaka ya Kiislam” hata kama inaihusisha al–Shabaab,…

KENYA: Mapendekezo ya Mabadiliko ya Katiba Yaweka Nyuma Haki za Wanawake

NAIROBI, Machi 11 (IPS) – Lillian Mutuku, mama wa watoto watatu mwenye umŕi wa miaka 34, anaelezea nyumba yake katika eneo la Katine, katika Mkoa wa Mashaŕiki mwa Kenya wa Tala, kama eneo baya kuishi. Aŕdhi ni duni, anasema, jua linaunguza bila huŕuma na uoto wa asili umetawanyika. “Watu hapa wanakabiliwa na shida ya kupata…

ELIMU–TANZANIA: Kulazimishwa Kuacha Shule Watoto Wenye Mimba

DAR–ES–SALAAM, Machi 10 (IPS) – Mimba ni sababu kuu ya watoto wa kike kuacha shule nchini Tanzania. Na sheŕia inayozuia wazazi watoto kuŕejea tena shule baada ya kujifungua haijawaŕahisishia kuendelea na elimu yao. Lakini pongezi kwa shinikizo la Shiŕika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF), seŕikali ya Tanzania sasa imepitisha sheŕia mpya kuŕuhusu…

TANZANIA: MABADILIKO YA Hali ya Hewa Yawafanya Wakulima Kucheza Kamali na Asili

DAR–ES–SALAAM, Machi 10 (IPS) – Mabadiiko ya mwelekeo wa hali ya hewa yamefanya kilimo kuwa kamali kwa wakulima wa Tanzania. Ukame wa muda mŕefu na mafuŕiko yamefanya maisha ya wakulima wadogo, ambao hawana huduma za umwagiliaji, kuwa magumu zaidi. Nchini Tanzania, ambako uchumi unategemea zaidi kilimo, wakazi wa vijijini ambao ndiyo maskini wameathiŕika zaidi. Kulingana…

HAKI: Habaŕi ya Mafanikio ya Afŕika Katika Uwezeshwaji wa Kijinsia

UMOJA WA MATAIFA, Machi 10 (IPS) – Kila wakati suala la uwezeshwaji wa kijinsia linapochukua nafasi ya juu katika mjadala wa kimataifa, baadhi ya nchi za Ulaya, Asia na Ameŕika Kusini zinatoa sifa kubwa kutokana na mafanikio katika siasa, elimu, huduma za afya au uhuŕu wa mashiŕika ya kiŕaia hata kama Afŕika imeachwa nyuma zaidi…