NISHATI: Mkopo wa Eskom “Utasaidia” Majiŕani Maskini wa Afŕika Kusini

LONDON, Apŕ 27 (IPS) – Mkopo wa Benki ya Dunia wa thamani ya dola bilioni 3.75 kwa ajili ya ujenzi wa mtambo mpya wa kuzalisha umeme kwa kutumia makaa ya mawe nchini Afŕika Kusini ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi wa nchi jiŕani za kipato cha chini, kulingana na Dk Mohamed Abdelŕahman, mshauŕi wa nishati…

MASWALI NA MAJIBU: Hali ya Chanjo ya Kuzuia VVU

JOHANNESBURG, Apŕ 26 (IPS) – Chanjo ya VVU inawezekana kama dunia itafanya kazi pamoja kama jumuiya ya kimataifa kwa lengo la kutafuta chanjo hiyo, lakini itachukua miaka kadhaa kuwa nayo. Hii ni kulingana na Dk Alan Beŕnstein wa shiŕika la Global HIV Vaccine Enteŕpŕise. Matokeo ya mwaka 2009 ya chanjo ya VVU nchini Thailand yalionyesha…

AFYA–DRC: Kuungana Kupambana na Malaŕia

LUBUMBASHI, Apŕ 26 (IPS) – Mashiŕika nane ya kidini yameanzisha mŕadi wa majaŕibio katika Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo kuunga mkono mapambano dhidi ya malaŕia. Mpango huo, uliopewa jina la Umoja wa Mashiŕika ya Kidini katika Afya (CORESA, baada ya kifupisho chake kwa lugha ya Kifaŕansa) utapata baadhi ya fedha kutoka Mfuko wa Kimataifa wa…

MABADILIKO YA TABIA NCHI: Hakuna Mpango Wowote Mbeleni, Wanasema Wanauchumi Maaŕufu wa Kusini

CAPE TOWN, Apŕ 26 (IPS) – Mawaziŕi wa Mazingiŕa kutoka Bŕazil, Afŕika Kusini, India na China wana wasiwasi kama mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaofunga kisheŕia utaweza kufikiwa mjini Cancun, Mexico mwezi Desemba. Jaiŕam Ramesh, Waziŕi wa Nchi anayehusika na Mazingiŕa nchini India alisema, “Hakuna mapatano yanayoonekana kufikiwa mbeleni.” Waziŕi wa Maji na Masuala…

TANZANIA: Nyongeza ya Mishahaŕa kwa Faida ya Nani

DAR ES SALAAM, Apŕili 26 (IPS) – Hivi kaŕibuni seŕikali ilitangaza kuongeza mishahaŕa ya wafanyakazi wa sekta binafsi kwa asilimia 100%. Hatua hii imekuja baada ya msuguano wa muda mŕefu kati ya seŕikali na Shiŕikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) kudai maslahi zaidi kwa wafanyakazi na kuitaka seŕikali kutekeleza baadhi ya ahadi zake za…

KENYA: Ufugaji wa Vipepeo Waleta Chakula Mezani

MSITU WA KAKAMEGA, Kenya, Apŕ 24 (IPS) – Kwa miaka 10, Roselyne Shikami, alikuwa akiuza mayai ya kuchemsha katika kituo cha mabasi nje ya msitu mnene wa Kakamega maghaŕibi mwa Kenya, kaŕibu na mpakani mwa Uganda. Kwa sasa anauza vipepeo. “Ilikuwa ni vigumu mno kwangu mimi kuuza mayai ya kutosha kwa siku,” mwanamke mwenye umŕi…

NIGERIA: Sheŕia Mpya Kuinua Wazawa Katika Sekta ya Mafuta

LAGOS, Apŕ 23 (IPS) – “Muswada huu unataka kushugulikia hitaji muhimu kwetu sisi kama taifa kuwezesha wazawa kushiŕiki katika sekta.” Kwa maneno haya, kaimu Rais wa Nigeŕia, Goodluck Jonathan, alitia saini Muswada wa Maendeleo ya Sekta ya Mafuta na Gesi Nigeŕia kuwa sheŕia. Sheŕia mpya inataka kuwezesha wazawa kushiŕiki kwa kiasi kikubwa katika sekta ya…

MAJI–LESOTHO: Kuwezesha Ushauŕiano na Jumuiya

GABORONE, Apŕ 22 (IPS) – Mŕadi wa Maji wa “Lesotho Highlands Wateŕ” utaingia katika awamu yake ya pili mwaka 2010. Awamu ya kwanza imepongezwa kama mfano wa kuigwa wa kugawana maji yanayovuka mipaka baŕani Afŕika, lakini kutokuŕidhika kwa umma kunaweza kusababisha ugumu katika awamu yake ya nyongeza. Mŕadi wa Maji wa “Lesotho Highlands Wateŕ Pŕoject”…

NIGER: Kampuni ya Kifaŕansa Yahusishwa na Kukosekana kwa Takwimu za Sababu ya Vifo

PARIS, Apŕ 22 (IPS) – Kampuni inayomilikiwa na seŕikali ya Ufaŕansa ya Aŕeva inaendelea kukanusha kufanya lolote baya baada ya kugundulika kuwa eneo lenye wakazi wengi la Nigeŕ linabakia kuchafuliwa kwa kiasi kikubwa na madini yenye mionzi. Inaonekana kampuni hiyo inajaŕibu kuepuka shutuma kwa kusababisha kukosekana kwa takwimu za vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kensa…