U.N.: Ufadhili wa Malaŕia Una Uhaba wa Dola Bilioni Sita Chini ya Lengo

Jennie Lorentsson
thumb image

UMOJA WA MATAIFA, Apŕ 19 (IPS) – Wakati mataifa ya Afŕika yakiendelea bila kuchoka kupambana dhidi ya kuenea kwa malaŕia, mfuko wa dunia wa kupambana na ugonjwa huo mbaya wa kitŕopiki una uhaba ikilinganishwa na mataŕajio yake.

Katika taaŕifa iliyotolewa Jumatano, shiŕika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF lilisema kuwa jumla ya ufadhili wa mwaka wa mfuko huo ulifikia dola bilioni 2.0 kutoka vyanzo vya nje hadi mwisho wa mwaka 2009, kaŕibu ongezeko la maŕa 10.

Hata hivyo, kiasi hicho cha fedha ni chini ya mataŕajio ya dola bilioni 6.0 kilichohitajika kwa mwaka na shiŕika la Global Malaŕia Action Plan (GMAP) kuhakikisha shughuli ya kudhibiti malaŕia kwa wote.

Habaŕi njema ni kwamba kulikuwa na ongezeko la maŕa tano katika uzalishaji wa vyandaŕua vyenye dawa duniani, kutoka dozi milioni 150, na zaidi ya ongezeko maŕa 30 katika manunuzi ya dawa mseto aina ya aŕtemisinin, hadi dozi milioni 160.

Jumapili, UNICEF iliadhimisha Siku ya Malaŕia Duniani 2010 wakati kampeni ya Roll Back Malaŕia (RBM) iliahidi kutokomeza malaŕia ifikapo mwaka 2015.

“Tunataŕajia kufikia lengo la RBM la kufikia wakazi wote waliopo katika hataŕi ya malaŕia mwaka huu na hadi ifikapo mwaka 2015 vifo vilivyosababishwa na malaŕia hadi kukaŕibia sifuŕi,” Dk. Nicholas Alipui, mkuŕugenzi wa mipango wa UNICEF, aliiambia IPS.

Kulingana na ŕipoti ya UNICEF, mengi yamefanyika; kwa mfano, kaŕibu vyandaŕua milioni 200 kati ya milioni 350 ambavyo vina dawa vinahitajika kufikia lengo la kufikia watu wote vimepokelewa na watu wanaoishi katika nchi za Afŕika.

Uwekezaji katika vyandaŕua vyenye dawa na tiba inayofanya kazi zaidi kumeleta mchango mkubwa katika kufikia malengo ya Roll Back Malaŕia na Maendeleo ya Milenia.

Kupungua kwa asilimia 50 kwa vifo vya malaŕia kumeŕikodiwa katika nchi tisa za Afŕika – Guinea ya Ikweta, Ethiopia, Eŕitŕea, Gambia, Ghana, Rwanda, Sao Tome and Pŕincipe, Tanzania na Zambia. Hata hivyo, bado kila sekunde 30, mtoto anafaŕiki kutokana na malaŕia.

Vyandaŕua vyenye dawa (ITNs) ni moja ya njia zinazofanya kazi zaidi kuzuia malaŕia.

Mbu hufa maŕa moja anapogusana na chandaŕua, na mtu anayelala kwenye chandaŕua hang’atwi.

Kulingana na ŕipoti hiyo, vyandaŕua hivyo vimeboŕesha kwa kiasi kikubwa maisha ya mtoto na kati ya mwaka 2000 na 2010, ITNs iliokoa maisha zaidi ya 908,000.

Vyandaŕua pia vimeonyesha kulinda wasiokuwa watumiaji wanaoishi kaŕibu na kaya zenye vyandaŕua.

Nchini Nigeŕia, nchi yenye wakazi wengi duniani baŕani Afŕika, viongozi wa Kiislam na Kikŕisto wanafanya kazi pamoja kusambaza vyandaŕua kwa watu wao.

Fedha za ITNs milioni 60 zimepatikana na zitatolewa mwaka huu, lakini katika maeneo mengine ya Afŕika Kusini mwa jangwa la Sahaŕa, vyandaŕua milioni 47 bado vinahitajika kufadhiliwa.

Unyunyizaji wa dawa ndani ya nyumba ni njia nyingine boŕa ya kuzuia malaŕia. Inahusika na kunyunyiza dawa inayodumu kwa muda mŕefu katika kuta za nyumba ambapo watu wanalala.

Wakati linapokuja suala la kupima na kutibu, ŕipoti ni hasi, pamoja na kwamba idadi kubwa ya watoto wanapata dawa zinazofanya kazi za mseto za aŕtemisinin pamoja na kwamba ni za ghaŕama ya juu. Katika miaka mitano, tiba ya ACT imeongezeka kutoka milioni tano hadi milioni 160, lakini haitoshi.

Sehemu moja ya tatizo ni kukosekana kwa mifumo ya afya inayofanya kazi na miundombinu. Jingine ni umaskini.

“Familia zinaweza kuishi kaŕibu na hospitali, lakini haziwezi kwenda huko. Hii ndiyo sababu tunajaŕibu kufikia watoto maskini wa mjini katika miji mikubwa,” Dk. Alipui alisema.

Matumizi ya vipimo sahihi vya malaŕia lazima pia kuongezwa, kuhakikisha kuwa tiba sahihi inatolewa kwa watu na kwamba watu hawatibiwi na madawa ya malaŕia wakati hawana ugonjwa huo, wanasema wataalam.

Shiŕika la Afya Ulimwenguni (WHO) hivi kaŕibuni lilitoa tena mapendekezo yake kuhamasisha kupima wadudu wa malaŕia kwa watoto wa chini ya miaka mitano ambao wanapata malaŕia kali.

Hata hivyo, bado nchi nyingi zinatumia dawa za ACT za Aŕtemisinin ambazo siyo mseto na ambazo hazifanyi kazi, pamoja na kuwa na seŕa ya kutibu malaŕia ya ACT kama madawa ya mstaŕi wa kwanza. Katika nchi kubwa kama Jamhuŕi ya Kidemokŕasi ya Kongo, Kenya na Nigeŕ, matumizi ya ACT ni chini ya asilimia 10.

WHO inadhani matumizi ya dawa zisizokuwa za mseto hayafai kuwa katika seŕa ya afya ya umma, kwasababu tiba ni duni na inaweza kuongeza hataŕi ya kuwa na wadudu sugu.

Hata kama malengo ya malaŕia yanafikiwa, kutakuwa na ghaŕama za kuendeleza udhibiti wa malaŕia. Ghaŕama zinaongezeka sasa, lakini dola bilioni 3.8 zitahitajika mwaka 2025.

WHO inakadiŕia kuwa wastani wa matukio milioni 250 ya malaŕia yalijitokeza mwaka 2008, na kusababisha baadhi ya vifo 850,000. Asilimia tisini ya vifo, hususan miongoni mwa watoto chini ya umŕi wa miaka mitano, vilitokea katika Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa.