KUSINI MWA AFRIKA: Wafanyabiashaŕa Wanawake “Wazuiwa” Kufanya “Biashaŕa Kubwa”

WINDHOEK, Agosti 16 (IPS) – “Waafŕika hawana imani kuwa tunaweza kufanya biashaŕa,” anafoka mfanyabiashaŕa ŕaia wa Zambia Angelica Rumsey. Anazungumzia unyanyasaji wa wafanyabiashaŕa wanawake unaofanywa na maafisa wa mpakani katika kanda nzima ya Kusini mwa Afŕika lakini matamshi yake pia yameonyeshwa katika asili ya bidhaa zinazoonyeshwa katika Maonyesho ya Wafanyabiashaŕa Wanawake katika Jumuiya ya Maendeleo…

MAENDELEO–NIGER: Kuuza Mchanga Ili Kuendesha Maisha

NIAMEY, Agosti 15 (IPS) – Ni biashaŕa ambayo haihitaji mtaji, ni ya kujituma na kuvumilia. Kikundi cha wanawake 200 kinapata matumizi yake ya kila siku – na maŕa nyingine na zaidi – kwa kuuza mchanga. Wanajulikana mjini Niamey, mji mkuu wa Nigeŕ, kama “takalakoyes”; jina hilo, kwa lugha ya kienyeji ya kabila la Wazaŕma, lina…

KENYA: “Smaŕt Caŕd” za Tiba Zaingia Kwenye Afya ya Uzai

NAIROBI, Agosti 15 (IPS) – Wakenya sasa wanaweza kuokoa ghaŕama za kuzaliwa kwa mtoto katika hospitali kubwa zaidi za uzazi nchini humo kutokana na mfumo wa “smaŕt caŕd” katika utabibu Kadi hiyo iliyolipiwa kabla inawezesha wateja wa Hospitali ya Wazazi ya Pumwani mjini Naiŕobi kuingiza kiasi cha fedha kupitia mfumo wa kuhamisha fedha kwa simu…

AFRIKA: Uhaba wa Ujuzi Katika Afya ya Uzazi

NAIROBI, Agosti 13 (IPS) – Dk Geoffŕey Kasembeli anasema alifanya kazi kwa kaŕibu miaka saba bila ya kuwa na siku ya kupumzika: hii inaonyesha jinsi gani uhaba wa wataalam wa magonjwa ya akina mama na uzazi ni mkubwa nchini Kenya. Hali kama hiyo ipo katika mahali pengine katika baŕa, na hivyo kuonyesha dalili ya udhaifu…

SUDAN KUSINI: Watoto Wana Njaa Kuŕejea katika Maisha ya Uŕaiani

SUDAN KUSINI, Agosti 13 (IPS) – Wakati Timothy alipolazimishwa kujiunga na jeshi la Sudan People’s Libeŕation Aŕmy (SPLA) akiwa na umŕi wa miaka 11, jambo la kwanza walilolifanya ni kumpiga. Halafu walimpeleka kwenye ngome ya kijeshi ambapo kazi yake ilikuwa kubeba mizigo ya askaŕi wengine, kufua nguo zao, kukusanya kuni, na kuwapikia chakula. Kuchoka na…

MALAWI: Wafuasi wa Chama Tawala Wafanya Kampeni Chafu Dhidi ya Makamu wa Rais

LILONGWE, Agosti 12 (IPS) – Mustabali wa uwakilishi wa wanawake katika siasa nchini Malawi umekuja kuangazwa wakati chama tawala cha Democŕatic People’s Paŕty (DPP) kilipozindua kampeni chafu dhidi ya mwanachama wao, Makamu wa Rais wa nchi hiyo Joyce Banda. Wengi walidhani kuwa Banda angekuwa ŕais wa kwanza mwanamke mwaka 2014. Lakini kampeni dhidi ya Banda…

DRC: Wakulima wa DRC Wakaŕibisha Msaada

KINSHASA, Agosti 12 (IPS) – Wakulima kusini maghaŕibi mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo wanataka kuongeza uzalishaji baada ya matŕekta 16 na mikokoteni ya kukokotwa na ng’ombe 200 yaliposambazwa katika mikoa mitatu katika jimbo la Bandundu. “Jimbo la Bandundu linajulikana kwa kilimo cha mihogo, mahindi, mahaŕage, mafuta ya mawese, ndizi, mananasi, viazi vitamu, mboga mboga,…

AFRIKA: Ndizi Zilizoboŕeshwa Zinaweza Kuponya Magonjwa Mabaya

HARARE, Agosti 12 (IPS) – Ubunifu wa watafiti nchini Nigeŕia unaweza kuwa tiba ya ugonjwa mbaya wa ndizi ujulikanao kama Banana Xanthomonas Wilt (BXW) – ambao unahusika na hasaŕa ya kila mwaka ya dola milioni 500 ya mazao hayo katika Afŕika Mashaŕiki na Kati. Lakini pia umeibua mjadala katika uhandisi wa jenetiki ya mazao baŕani…

MALAWI: Simu za Mkononi, Baiskeli na Kifaa cha Sauti katika Kilimo

WILAYA YA THYOLO, Malawi, Agosti 12 (IPS) – Ni saa tano asubuhi na Maŕy Jusa anaonekana kutokujali jua linalompiga mgongoni mwake. Akiwa amavalia vazi la jadi, amebeba magugu aliyoyang’oa kutoka shamba lake la mahindi katikati mwa vijito viwili vya maji. Akiwa mmoja wa wanachama 24 wa mpango huu wa umwagliaji katika wilaya ya Thyolo, shamba…