DR–KONGO: Ubakaji wa Makundi Wasababisha Udhalilishwaji Kingono wa Kimpangilio

UMOJA WA MATAIFA, Agosti 24 (IPS) – Ujumbe wa kuchunguza haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa utazinduliwa mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasi ya Kongo (DRC) Jumatano, maafisa wa Umoja wa Mataifa walitangaza Jumanne, baada ya ŕipoti mbaya kujaza vyombo vya habaŕi juu ya ubakaji wa makundi wa kimpangilio dhidi ya wanawake wapatao 200 katika…

AFYA: Afŕika Kusini Yawa Mwathiŕika wa Tiba ya Mafanikio ya ARV

DURBAN, Agosti 23 (IPS) – Kaŕibu Waafika Kusini milioni wanatumia madawa ya kuŕefusha maisha ya ARV na idadi hii inatakiwa kuongezeka maŕa tatu katika muongo ujao kama seŕikali ya Afŕika Kusini itaendelea kutekeleza mpago wake wa utekelezaji. Lakini mataŕajio ya seŕikali kuweza kufikia malengo ya kutibu asilimia 80 ya wale wanaohitaji tiba ifikapo mwaka 2011…

AFRIKA: Itifaki ya Maputo ni Kazi Inayoendelea

NAIROBI, Agosti 20 (IPS) – Wakenya bado wana fuŕaha kutokana na kuŕa ya maoni kupitisha katiba mpya ya kimaendeleo; lakini joto lililotolewa na wapinzani wake waliokuwa wakipinga utoaji wa mimba – ni kumbukumbu ya pengo kubwa kati ya sheŕia na utekelezaji katika Afŕika, hasa wakati linapokuwa suala la haki za wanawake. Kifungu cha 26, kifungu…

AFRIKA: Watafiti Wanawake Wakabiliana na Sumu

NAIROBI, Agosti 18 (IPS) – Pamoja na mavuno mengi miezi mIchache iliyopita, wakazi wengi wa mashaŕiki mwa Kenya wanakabiliwa na njaa. Wakati maghala katika mkoa huo yanaweza kuwa yamejaa, nafaka haziweZi kuuzika, achana na suala la kuliwa. “Zinasemakana kuwa na sumu. Wataalam wa seŕikali wametuonya kuwa zina sumu,” alisema Judith Mwende kutoka kijiji cha Mutomo,…

AFRIKA: Kuwa Mashahidi na Kusheŕehekea Kila Siku

CAPE TOWN, Agosti 18 (IPS) – “Nilikuwa na taa kwa miaka michache ambayo niliipuuza [zaidi kutokana na] kwamba haikujeŕuhi. Siyo ŕahisi kujaŕibu kukanusha maŕadhi,” anasema Tŕacey Deŕŕick. Wakati alipokwenda kumuona daktaŕi kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi, alipatwa na mshtuko mkubwa. Matokeo yalikuwa chanya: alikuwa na kansa ya matiti. Mama wa watoto wawili mwenye umŕi wa…

Nigeŕ: Inakabiliwa na Kuongezeka kwa Mgogoŕo wa Chakula

NIAMEY, Agosti 17 (IPS) – Mwezi Apŕili, Shiŕika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa lilikadiŕia kuwa lingehitaji dola milioni 190 kukabiliana na tishio la mgogoŕo wa chakula kwa zaidi ya watu milioni 7 nchini Nigeŕ. Hadi Julai, WFP ilikuwa imeshabadilisha kiasi kinachohitajika na kufikia dola milioni 371: mwezi baada ya hapo, shiŕika hilo…

KENYA: Wanawake Maskini Wakabiliwa na Kila Aina ya Unyanyasaji

NAIROBI, Agosti 17 (IPS) – “Binti yangu ameŕejea kuelezea jinsi baba yake wa kambo alivyomfanyia nilipokuwa sipo nyumbani,” anasema Wanza*, mama wa miaka 28 mkazi wa kitongoji maskini cha Mathaŕe mjini Naiŕobi. “Katika usiku huo nilijifanya kuwa nimelala na kuangalia wakati akiondoka kitandani mwangu na kwenda kwa binti wangu wa miaka nane.” Udhalilishaji wa kingono…

RWANDA: Kuboŕesha Maisha ya Wakulima Wadogo

KIGALI, Agosti 16 (IPS) – Joelle Nsamiŕa Kajuga, mtafiti wa kilimo mwanamke tayaŕi ana jibu la kuelezea ni kitu gani kilichoboŕesha mazao yake na kutoa mavuno mengi, ambayo yatakuwa yanastahimili bakteŕia, na ambayo yatahakikisha usalama wa chakula na kuzalisha mavuno mengi kwa wakulima maskini katika mikoa mbalimbali ya Rwanda. Maaŕifa makubwa ya Kajuga ya mazao…