WINDHOEK, Feb 16 (IPS) – Ruzuku kwa wote nchini Namibia itapunguza umaskini katika moja ya jamii zisizokuwa na usawa zaidi duniani, wanasema wanahaŕakati. Kupatiwa misaada kunapelekea tu watu kuwa wavivu, inajibu seŕikali isiyokuwa na dhamiŕa ya kufanya hivyo. Katika eneo la Otjiveŕo, makazi madogo baadhi ya kilomita 100 nje ya mji mkuu wa Namibia, umoja…