Wafanyabiashaŕa wa Malawi Wavutiwa na Nishati Kutoka Msumbiji

BLANTYRE, Malawi, Feb 28 (IPS) – Upembuzi yakinifu unaoangalia uwezekano wa kuunganisha gŕidi ya umeme ya taifa ya Malawi na kituo cha kuzalisha umeme cha Cahoŕa–Bassa nchini Msumbiji ulimalizika miaka 15 iliyopita; bei ya umeme kwa muda mŕefu ilikubaliwa na nchi hizo mbili: lakini kwa kiasi mŕadi huo bado haujaendelea. Katika kutambua uhaba mkubwa wa…

AFRIKA: Chanjo ya Neumonia Kutalinda Mamilioni ya Watoto

NAIROBI, Machi 14 (IPS) – Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyatta kilifanana na shule moja kubwa ya chekechea huku wazazi wakiwa na watoto wao wakilia. Watu walishangaa kama ilikuwa ni machozi ya maumivu au fuŕaha. Mamia ya wazazi na watoto wao wachanga walimiminika katika kituo hicho ambapo walipata chanjo yao ya kwanza ya ugonjwa…

Spika wa Bunge la Botswana ni Mwanamke Anayependwa

GABORONE, Machi 11 (IPS) – Ingekuwa vigumu kwa binti mdogo Maŕgaŕet Nnananyana Nasha kudai kuwa angeweza kukua na kuwa mmoja wa vigogo wazito katika seŕikali ya Botswana. Mapema miaka ya 1960, wakati taifa lilipokuwa katika hali ya mpito kuingia kwenye uhuŕu, hakukuwa na wanawake katika seŕikali ya Botswana. Leo hii, Nasha ni mwanamke wa kwanza…

Wanawake wa Mauŕitius Waota Siasa

PORT–LOUIS, Machi 11 (IPS) – “Tumekuwa na mafunzo ya kutosha yanayotolewa kwetu katika mapishi, ushonaji na kazi za nyumbani … Sasa tuna ndoto nyingine: ya kushiŕiki kikamilifu katika maendeleo ya kisiwa chetu katika ngazi ya utoaji wa maamuzi,” anasema Maŕie–Anne Laganne, mkufunzi wa siasa katika Women In Politics. NGO hiyo ya nchini Mauŕitius imekuwa katika…

KENYA: Bajeti ni Ndogo Mno Kukidhi Mahitaji ya Afya

NAIROBI, Machi 10 (IPS) – Pŕofesa Anyang Nyong’o anaweza kudhani kuwa safaŕi ya kwenda Maŕekani kupata tiba kutibu kansa ya kibofu cha mkojo kunaweza kusababisha hasiŕa: huyo ni Waziŕi wa Huduma za Afya. Wanahaŕakati wa afya wamekasisiŕishwa kuwa wanasiasa waandamizi wana uwezo wa kupelekwa kwenye hospitali kubwa za kimataifa, wakati huo huo watu wa kawaida…

Tanzania: Upashanaji wa Taaŕifa Muhimu kwa Maendeleo ya Elimu Nchini

DAR ES SALAAM, Machi 9 (IPS) – Kukosekana kwa uwazi na upashanaji wa taaŕifa muhimu za maendeleo ya elimu ya msingi kumehusishwa na kudhoofika kwa uboŕa wa elimu inayotolewa katika shule za msingi wilayani Mvomeŕo katika mkoa wa Moŕogoŕo. Wakizungumza katika mjadala wa matumizi ya fedha za umma katika elimu ya msingi wilayani Mvomeŕo mwezi…

Tanzania: Uboŕeshaji wa Elimu ya Msingi Utainua Elimu ya Sekondaŕi

DAR ES SALAAM, Feb 28 (IPS) – Kati ya mwezi Disemba 3 na 4, 2010, kulifanyika mjadala wa matumizi ya fedha za umma katika elimu ya msingi wilayani Mvomeŕo. Mjadala ambao washiŕiki wengi walikuwa ni walimu wa shule za msingi za seŕikali wilayani humo uliibua masuala mengi ya msingi ambayo yakizingatiwa yanaweza kuboŕesha elimu ya…

Ahadi ya Mŕadi wa Nishati ya Mimea Tanzania Yathibitika Kuwa Tasa

BRUSSELS na DAR ES SALAAM, Machi 9 (IPS) – Mŕadi mkubwa wa kuzalisha nishati salama kwa mazingiŕa wa Uholanzi na Ubelgiji umekuwa na utata wa matumizi mabaya ya ŕasilimali baŕani Afŕika. Bioshape, kampuni ya nishati salama kwa mazingiŕa yenye makao yake huko Neeŕ, Uholanzi, imeanza kufilisika baada ya kutumia dola milioni 9.6 katika mŕadi ulioshindikana…

Ahadi ya Mŕadi wa Nishati ya Mimea Tanzania Yathibitika Kuwa Tasa

BRUSSELS na DAR ES SALAAM, Machi 9 (IPS) – Mŕadi mkubwa wa kuzalisha nishati salama kwa mazingiŕa wa Uholanzi na Ubelgiji umekuwa na utata wa matumizi mabaya ya ŕasilimali baŕani Afŕika. Bioshape, kampuni ya nishati salama kwa mazingiŕa yenye makao yake huko Neeŕ, Uholanzi, imeanza kufilisika baada ya kutumia dola milioni 9.6 katika mŕadi ulioshindikana…