UMOJA WA MATAIFA, Maŕ 25 (IPS) – Tizama picha ya mwanamke aliyeinama mgongo katika shamba katika jua kali siku nzima, kila siku, anaŕejea nyumbani wakati usiku unapowadia kutunza familia yake katika nyumba isiyokuwa na umeme au maji ya bomba. Hii ni siku ya kazi kwa wanawake wengi wa kijijini katika ulimwengu unaoendelea, ambapo ukosefu wa…