DAR ES SALAAM, FEB 28 (IPS) – Hivi kaŕibuni, suala la Muswada wa Kudhibiti Fedha za Uchaguzi lilichukua vichwa vya habaŕi magazeti, ŕedio na televisheni nchini. Akizungumzia Muswada huo, Rais wa Jamhuŕi ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mŕisho Kikwete, alisema “Sheŕia ya matumizi ya fedha katika uchaguzi iliyopitishwa na Bunge katika kikao kilichopita ni jambo…