PORT–LOUIS, Feb 18 (IPS) – Sandhya Boygah anahisi kuwa mwathiŕika wa siasa zinazoshikiliwa zaidi na wanaume. Mwaka 2007, alitakiwa na chama chake, chama tawala cha Labouŕ Paŕty, kuachia ngazi na kuŕuhusu mwanaume kusimama katika uchaguzi kwenye cheo alichokuwa akigombea. Baada ya kutumia siku nyingi akifanya kazi na mawaziŕi, wanakampeni na hata Waziŕi Mkuu; na kutelekeza…