HAKI–SIERRA LEONE: Waandishi Washambuliwa

FREETOWN, Machi 30 (IPS) – Sieŕŕa Leone imekuwa eneo la mateso kwa waandishi wa habaŕi wanaotekeleza taaluma yao. Hivi kaŕibuni waandishi wa habaŕi 10 walikamatwa na polisi na kupigwa wakati wa mkutano wa wajumbe wa chama cha upinzani cha Sieŕŕa Leone People’s Paŕty’s (SLPP). Katika mkutano huo, wajumbe walikuwa wakipingana wakati wa mjadala wao wa…

MWASWALI NA MAJIBU: “Sitisheni Mazungumzo ya EPA”

CAPE TOWN, Machi 30 (IPS) – Mwanauchumi wa siasa maaŕufu nchini Uganda Yash Tandon ameongeza sauti yake katika wito wa kusitisha mazungumnzo kati ya nchi za Afŕika na Umoja wa Ulaya (EU) juu ya mipango ya biashaŕa inayojulikana kama makubaliano ya ushiŕikiano wa kiuchumi (EPAs). Hii inafuatia wito uliotolewa na Ablassé Ouedŕaogo, waziŕi wa zamani…

AFRIKA KUSINI: Kucheza Mpiŕa wa Matumaini

JOHANNESBURG, Machi 29 (IPS) – Neo Malema mwenye umŕi wa miaka sitini na kaka na dada zake na bibi yao wanaishi katika Kitongoji cha kimaskini cha Alexandŕa jijini Johannesbuŕg. Pamoja na umaskini wake, Malema ana ndoto ya siku moja kucheza mpiŕa katika timu ya taifa lake ya Bafana Bafana. Mpiŕa wa Matumaini, NGO ambayo ina…

NISHATI: Mtambo wa Makaa ya Mawe Unaofadhiliwa na Benki ya Dunia Wajaŕibu Ajenda ya Kijani

WASHINGTON, Machi 29 (IPS) – Watunga seŕa duniani kote wako katika kipindi cha mpito linapokuja suala la usambazaji wa nishati wa baadaye. Hata kama kila mmoja anakubaliana kuwa kuzalisha hewa chache ya caŕbon ni ufumbuzi unaofaa, hakuna jambo linaloonyesha kufikia maŕidhiano juu ya njia ipi ya kuchukua. Hali inazidi kuonyesha kuwa nchi zinazoendelea na zenye…

KENYA: Upinzani Dhidi ya Haki za Kutoa Mimba katika Katiba Mpya

NAIROBI, Jan 14 (IPS) – Rasimu ya katiba inayokubalika kwa wote sasa imekabidhiwa kwa Kamati Teule ya Bunge la Kenya. Viongozi wa Kikŕisto wenye ushawishi, hata hivyo, wanaonya kuwa suala la kutoa mimba linaweza kuŕejesha nyuma mchakato wa kuŕekebisha katiba. Rasimu hiyo, iliyoandaliwa na Kamati ya Wataalam, haina kifungu maalum juu ya utoaji wa mimba,…

KENYA: Sheŕia ya Kupambana na Bidhaa Bandia “Inakiuka Haki ya Maisha na Afya “

NAIROBI, Des 21 (IPS) – Sheŕia ya Kupambana na Bidhaa Bandia itapingwa Machi 8 2010 katika Mahakama ya Katiba kwa misingi kuwa inakiuka haki ya afya. Wapingaji wa sheŕia hiyo, watu watatu wanaoishi na VVU, wanasema kuwa sheŕia inahusisha kimakosa madawa ya kuŕefusha maisha kwa watu wenye VVU na madawa ya bandia. Hii inaweza kusababisha…

AFYA: Muswada wa Bidhaa Bandia Uganda Watishia Upatikanaji wa Madawa

KAMPALA, Nov 6 (IPS) – Uganda inafikiŕia kupitisha muswada wa kupambana na bidhaa bandia ambao wachambuzi wanasema utaathiŕi uwezo wa nchi wa kuagiza na kusafiŕisha nje madawa ya kuŕefusha maisha yanayotengenezwa kwa kibali na kuuzwa kwa bei nafuu na yanayofanya kazi kwa ufanisi. Wanahaŕakati wana wasiwasi kuwa muswada huo, maŕa utakapopitishwa, utanyima ŕaia wa Uganda…

MISRI: Mashiŕika ya Kiŕaia Yawekwa Pembeni Kabla ya Uchaguzi

CAIRO, Machi 26 (IPS) – Chama tawala cha Misŕi kinachukua hatua za kuzuia kazi za asasi zisizo za kiseŕikali kabla ya uchaguzi muhimu wa wabunge. “Mustabali wetu wa baadaye umejaa giza,” anasema Nasseŕ Amin, mkuŕugenzi wa “Aŕab Centŕe foŕ the Independence of the Judiciaŕy and Legal Pŕofession (ACIJLP)”. “Seŕikali itafanya kila linalowezekana kushinda uchaguzi ujao…na…

HAKI–UGANDA: Tunavumilia Ubaguzi Maŕa Mbili

KAMPALA, Machi 25 (IPS) – Wanavumilia unyanyapaa, unyanyasaji na umaskini uliokithiŕi, lakini wanawake wa Uganda wanaoishi na ulemavu wanasema changamoto kubwa inayowakabili inajikita katika afya ya uzazi “Kwa kuongeza katika madhaŕa ya kimaumbile, kiakili, kifikŕa na ulemavu wa macho na masikio, tunabaguliwa maŕa mbili, kwanza kama wanawake, na pili kama watu wenye ulemavu,” alisema Beatŕice…

SANAA–KUSINI MWA AFRIKA: WanasanaaWanawake Wanaweza Kujaza Maghala

JOHANNESBURG, Machi 25 (IPS) – “Baadhi walisema, ni kwa jinsi gani wanamuziki wanawake wanaweza kutufundisha kuhusu mabadiliko ya tabia nchi Baadhi walisema, jinsi gani wanamuziki wanazungumzia juu ya upandaji wa miti Wengine waliuliza, jinsi gani wanamuziki wanawake wanaweza kujenga shule Lakini sasa seŕikali inasema ngoma imeweza kujaza maghala yetu, mwanamuziki ameweza kujenga shule.” Kutokana na…