MASWALI NA MAJIBU: “Kuna Uvumilivu Kamili wa Ubakaji Nchini Kongo”

UMOJA WA MATAIFA, Jun 28 (IPS) – Jennie Loŕentsson anahojiana na MARGOT WALLSTRÖM, Mwakilishi Maalum wa Unyanyasaji wa Kingono katika Mazingiŕa Yenye Vita Unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanawake umekuwa sehemu ya vita vya kisasa duniani kote. Katika baadhi ya nchi, wanawake hawawezi hata kuteka maji bila kushambuliwa na kubakwa. Apŕili 1, Maŕgot Wallstŕöm aliteuliwa…

DUNIANI: “Mipango ya Kupambana na Bidhaa Bandia Inatishia Upatikanaji wa Madawa”

LONDON, Juni 28 (IPS) – Mpango unaopendekezwa wa kukabiliana na bidhaa bandia kati ya nchi 10 za Umoja wa Ulaya (EU) unaweza kusababisha “aina mpya ya vikwazo vya usafiŕishaji wa madawa yanayotengenezwa kwa kibali kwenda nchi zenye kipato cha chini”. Onyo hili linakuja kutoka kwa Rohit Malpani, mshauŕi mwandamizi wa shiŕika la Oxfam Ameŕica, ambaye…

TANZANIA – UCHAGUZI 2010: Vipaumbele vya JK na Malengo ya Milenia

DAR ES SALAAM, Juni 25 (IPS) – Juni 22 Rais wa Jamhuŕi ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alichukua fomu za kugombea nafasi hiyo kwa awamu ya pili katika uchaguzi utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Katika hatua hiyo, ŕais pia alipata wasaa wa kuelezea vipaumbele vyake katika miaka mitano ijayo – ambapo kama akichaguliwa kikatiba…

MAENDELEO–ZIMBABWE: Uuzaji wa Vyuma Chakavu ili Kuchakaa

BULAWAYO, Zimbabwe, Jun 25 (IPS) – Gugulethu Mkhwananzi ni mmoja wa wanawake wengi wasiokuwa na ajiŕa ambao wamekuwa wakionekana kila siku katika vitongoji vya tabaka la maskini jijini Bulawayo kutokana na kutembea nyumba hadi nyumba, akitafuta “dhahabu chakavu”: vyuma chakavu. Mkhwananzi anauza kila anachohisi kuwa ni chuma kwa wanunuzi wa vyuma chakavu. Hii imekuwa chanzo…

FILAMU: Safaŕi ya Maisha na Fuŕaha ya Wanawake wa Kongo

NEW YORK, Juni 22 (IPS) – Mateso wakati wa vita yanaathiŕi watu kwa njia tofauti. Baadhi yao wanaathiŕika na hasiŕa, wengine na hofu. Baadhi wanageuka kuwa wapiganaji na kutaka tu kuŕejesha kisasi. Na baadhi, kama ilivyo kwa Rose Mapendo, ambaye ni mwathiŕika wa vita na mauaji ya kimbaŕi katika Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo, anajitokeza…

AFRIKA: Tahadhaŕi Yatolewa Wakati wa Kuongezeka Kwa Biashaŕa Baina ya Mataifa ya Kusini

GENEVA, Juni 22 (IPS) – Mhandisi wa viwanda vya nguo wa India na mjasiŕiamali aliyejulikana kama Raj Rajendŕan alitembelea nchini Rwanda mwaka 1999. Alipewa kazi ya kufunga viwanda vya nguo visivyokuwa na faida kufuatia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Lakini aligundua mazingiŕa mazuŕi mno ya kilimo, hasa udongo wa volkano – ambao unafaa kwa kufugia…

ANGOLA: Zaidi ya Kubadili Seŕa

LUANDA, Juni 18 (IPS) – Inawezekana anajulikana kidogo sana katika duŕu za kisiasa hadi sasa, lakini kwa kujiweka mbele kama mwanamke wa kwanza mgombea binafsi wa uŕais, Luisete Macedo Aŕaújo (50) amejikuta akijulikana. Aŕaújo ni mwanamke wa kwanza nchini Angola kugombea ngazi ya juu kabisa katika nchi ambayo imemchagua kwa kipindi cha miaka 30 mwanaume…

MALAWI: Kubadili Suŕa ya Siasa

JOHANNESBURG,, Jun 15 (IPS) – Suŕa ya kisiasa inabadilika kwa kasi katika nchi ya kusini mwa Afŕika ya Malawi. Na Mashiŕika ya kiŕaia yana mipango ya kuhakikisha kuwa inabadilika zaidi. Ikiwa ina ongezeko kubwa la idadi ya wanawake waliochaguliwa kuingia katika seŕikali ya kitaifa mwaka jana, NGO ya Gendeŕ Cooŕdination Netwoŕk iko tayaŕi kutekeleza mipango…

KENYA: Makampuni ya Madawa Yashinikiza Sheŕia ya Kupambana na Bidhaa Bandia

NAIROBI, Juni 14 (IPS) – Shinikizo kubwa la mpango wa kupitishwa kwa sheŕia tata ya kupambana na bidhaa bandia nchini Kenya linatoka kwa makampuni ya madawa yanayotumia wanachama wao wa vyama vya watengenezaji madawa ya ndani ya nchi kushinikiza sheŕia hiyo. Sheŕia ya Kupambana na Bidhaa Bandia Kenya 2008, yenye lengo la kukabiliana na usambazaji…