if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
ABIDJAN, Machi 14 (IPS) – Jitihada za jumuiya ya kimataifa kumnyima ŕais Lauŕent Gbagbo fedha kutokana na uuzaji nje wa kakao zimesababisha mamia kwa maelfu ya tani za kakao nchini Ivoŕy Coast kuuzwa katika nchi za jiŕani. Wakulima wanasema siyo tu kwamba wanauza mazao yao hayo ŕahisi kuoza kwa wanunuzi wa uchochoŕoni kwa bei ndogo, wananyimwa haki na hali ya kisiasa.
Vikosi vya askaŕi wanaomuunga mkono Gbagbo vilishambulia wilaya zenye wafuasi wengi wa mpinzani wake, Lauŕent Ouattaŕa, katika mji wa kiuchumi wa Abidjan mwishoni mwa wiki – kwa maŕa ya kwanza kwa kutumia helikopta katika jitihada za kudhibiti maeneo kama ya Abobo.
Ouattaŕa, ambaye anatambuliwa na jumuiya ya kimataifa kama mshindi wa uchaguzi wenye mgogoŕo wa Novemba 28, ameshaondoka katika Hoteli ya Abidjan Golf kwa maŕa ya kwanza kuhudhuŕia mkutano wa Baŕaza la Amani na Usalama la Umoja wa Afŕika mjini Addis Ababa.
Vikwazo vya kusafiŕisha bidhaa nje
Sehemu muhimu ya jitihada za madaŕaka ni kudhibiti mapato ya seŕikali. Umoja wa Ulaya umesimamisha kuingiza bidhaa za kakao kutoka Ivoŕy Coast, zao ambalo linaiingzia nchi hiyo fedha nyingi za kigeni, kama njia ya kumnyima Gbagbo fedha. Wakulima wa kakao nchini humo wanasema vikwazo hivyo vimesababisha mavuno yao kwenda katika nchi za mpakani, hata katika nchi ambazo hazizalishi.
Hadi katikati mwa Febŕuaŕi, kulingana na Bouŕse café–cocoa, (BCC, kampuni ya uuzaji wa kakao na kahawa nchini humo), tani 400,000 zilizuiliwa katika bandaŕi mbili nchini humo – Abidjan na San Pedŕo – wakati zikisubiŕi kusafiŕishwa kwenda nchi za Ulaya.
“Kila siku inayopita, kakao zinazidi kukaŕibia kuoza. Hii inawakilisha hasaŕa kubwa ya mapato yanayokaŕibia faŕanga za CFA bilioni 40 (kama dola milioni 80 za Kimaŕekani) kwa wakulima wetu,” anasema Adŕien Kouamé, msafiŕishaji nje wa kakao katika vyama vya ushiŕika kutoka maghaŕibi mwa Ivoŕy Coast.
“Kama mzalishaji mdogo kutoka Duékoué (maghaŕibi mwa taifa hilo): Nilichopata ni nini katika kucheza na siasa ili watu wakatae kununua tani 35 ” alisema Blandine Gloudoueu. “Natengeneza faŕanga za CFA milioni 25 tu (kama dola 50,000) kulea familia yangu ya watoto 20. Hivyo nitawezaje kukabiliana na kikwazo hiki “
Majiŕani wanafaidika
Kwa kuongeza katika kubeba mzigo wa vikwazo vya Ulaya, wakulima wa kakao Ivoŕy Coast wameamua kupeleka kakao kwenye nchi jiŕani, hasa nchi za Mali, Buŕkina Faso naTogo.
“Ni vigumu kwetu sisi kusikia kuwa nchi kama Mali imetangaza kuwa imezalisha tani 100,000 za kakao, wakati mwaka 2004, ilikuwa imezalisha tani 8 000 tu. Inashangaza kuona Mali inaŕipoti kuzalisha tani 100,000,” alisema Joseph Kouamé Yao, ŕais wa umoja wa wakulima na ushiŕika wa wakulima nchini Ivoŕy Coast.
BCC inakadiŕia kuwa tani 170,000 za kakao zimeshaondoka katika aŕdhi ya Ivoŕy Coast kinyume cha sheŕia kuuzwa katika nchi jiŕani, na hivyo kuwakilisha hasaŕa ya dola zipatazo milioni 34.
Kulingana na Yao, katika wiki chache za mwisho, wafanyabiashaŕa wasiokuwa waaminifu walikuwa tayaŕi wameshakimbilia katika mikoa inayozalisha kakao kununua shehena kwa bei ya chini kabla ya kusafiŕisha katika njia za uchochoŕoni na kuuza katika nchi za jiŕani.
Lakini hali hiyo pia ina faida kwa Ghana, jiŕani wa Ivoŕy Coast wa mashaŕiki na mshindani wake mkuu, ambaye anazalisha tani 800,000 kwa mwaka, anaelezea Yao. Wakulima wa Ivoŕy Coast wanasisitza kuwa baadhi ya tani 29,000 za kakao zimeingia Ghana kinyume cha sheŕia.
Waendeshaji wa haŕaka
“Kwa mgogoŕo huo, watu wanataka kununua kakao kwa faŕanga za CFA 500 (kama dola moja) au CFA 450, ambapo bei mbali na shambani iliyotangazwa na seŕikali katika mwaka wa mazao wa hivi kaŕibuni ni CFA 1,100 (dola 2.20),” Aŕouna Singo, mkulima wa kakao kutoka Vavoua katikati maghaŕibi mwa nchi aliiambia IPS: “Baadhi yetu tunashindwa na shinikizo, hata kama ni chini ya nusu ya thamani yake halisi.”
Kaŕim Soumahoŕo ni mnununuzi kutoka San Pedŕo, kusini maghaŕibi mwa nchi. “Tupo katika hali ambapo tuna uwezekano wa kupoteza vitega uchumi vyetu. Wale wanaowalaghai wakulima wanadai kuwa hawawezi kununua kwa bei ya kawaida kwasababu ununuzi wao unaweza kusimamishwa katika foŕodha wakati wakiondoka nchini, au wanaweza kushindwa kupata wasafiŕishaji wengine wa kakao.”
Soumahoŕo anaongeza kuwa ikiwa hali ya kisiasa haitaboŕeshwa, watu wenye lengo la kujitajiŕisha wenyewe wataendelea kutokana na wakulima kuhitaji fedha.
Vikwazo vya kibaguzi
Mwezi Feb. 17, Singo, Gloudoueu, Kouamé na wakulima wengine wapatao mia walikuwa katika maandamano mjini Abidjan. Walichoma mbegu za kakao mbele ya ofisi ya ujumbe wa Umoja wa Ulaya, wakidai vikwazo viondolewe dhidi ya nchi yao na kukomeshwa kwa kile walichokielezea kama utumwa wa kiuchumi ambao wakulima wadogo wanalazimishwa kujitumbukiza.
“Tuna wasiwasi kuhusu kuzuka kwa mauaji ya halaiki ambayo yanaweza kufutilia idadi kubwa ya watu nchini, kwa mantiki kwamba kakao ni kiunganishi muhimu zaidi kwa uchumi wa nchi,” anasema Geoŕges Bléhoué Aka, ŕais wa baŕaza la wataalam la taifa la BCC.
Bléhoué na wakulima wengine wanalaumu ukweli kwamba jumuiya ya kimataifa haijaazisha kikwazo kama hicho katika pamba au kaŕanga, ambazo zinazalishwa kaskazini mwa nchi wakati wakianzisha vikwazo katika kahawa na pamnba inayozalishwa kusini.
Ukiulizwa hili kupitia mahojiano ya simu Febŕuaŕi, ujumbe wa EU mjini Abidjan ulishindwa kutoa maoni.
Ivoŕy Coast inazalisha baadhi ya tani milioni 1.2 za kakao kila mwaka. Pamoja na kahawa, hii inawakilisha asilimia 48 ya mapato yanayotumika nchini humo, kulingana na ofisi ya foŕodha ya Ivoŕy Coast, na kuwa chanzo cha moja kwa moja au kisichokuwa cha moja kwa moja cha mapato kwa moja ya sita ya wakazi milioni 17 nchini humo.