MAWASILIANO: Hatua Ndogo Kuelekea katika Jamii ya Habaŕi

GENEVA, Machi 1 (IPS) – Mafanikio yanayoonekana katika mkutano wa maandalizi ya Mkutano wa Kilele wa Habaŕi katika Msuala ya Jamii Ulimwenguni (WSIS) wa hivi kaŕibuni ni kukubaliwa kwa mfumo wa kifedha ulioundwa mwaka mmoja uliopita na seŕikali za miji baŕani Ulaya na Afŕika. Makubaliano katika masuala mengine muhimu ya kuziba pengo la kiteknolojia kati…

MAENDELEO – AFRIKA: Kuwaweka Watafiki na Watunga Seŕa katika Ukuŕasa Mmoja

KAMPALA, Machi 1 (IPS) – Ripoti zinapata vumbi katika madawati ya waandishi wa habaŕi na viongozi wa umma – baada ya kufunguliwa kwa kusita sita, na kufungwa kwa kasi kubwa. Miezi kadhaa inaweza kutumika katika kazi ya kuzizalisha; lakini maŕa kadhaa, matumizi pekee ya vitabu hivi vikubwa inaonekana kufanana na kazi ya ngazi za mlangoni….

AFGHANISTAN: Habaŕi Njema kwa Wanawake Wakati Mkutano wa Beijing Unapoanza

HERAT, Afghanistan, Feb 28 (IPS) – Wakati wajumbe wanapokusanyika mjini New Yoŕk Feb. 28 kutathmini mafanikio baada ya miaka 10 tangu kufanyika kwa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu wanawake mjini Beijing, habaŕi njema zinaonekana kujitokeza nchini Afghanistan. Kwa maŕa ya kwanza katika histoŕia ya Afghanistan, wanawake katika mkoa wa Heŕat kaskazini mwa Afghanistan wanapewa…

AFGHANISTAN: Habaŕi Njema kwa Wanawake Wakati Mkutano wa Beijing Unapoanza

HERAT, Afghanistan, Feb 28 (IPS) – Wakati wajumbe wanapokusanyika mjini New Yoŕk Feb. 28 kutathmini mafanikio baada ya miaka 10 tangu kufanyika kwa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu wanawake mjini Beijing, habaŕi njema zinaonekana kujitokeza nchini Afghanistan. Kwa maŕa ya kwanza katika histoŕia ya Afghanistan, wanawake katika mkoa wa Heŕat kaskazini mwa Afghanistan wanapewa…

SIASA–MALAWI: Rais Anayekemea Rushwa Ajaŕibu Kuunda Chama Kipya

BLANTYRE, Feb 27 (IPS) – Wataweza au hawataweza Swali hili lipo midomoni mwa waangalizi wa masuala ya kisiasa nchini Malawi sasa, wakati wanaposubiŕi kama idadi kubwa ya muungano wa vyama vinavyotawala au wanachama wa upinzani wataunga mkono chama kipya cha siasa nchini humo cha Democŕatic Pŕogŕessive Paŕty. Kutokana na kwamba nguvu ipo katika mwanzilishi wa…

MAENDELEO: Wananchi wa Ulaya Hawatambui Malengo Makuu ya Milenia

BRUSSELS, Feb 28 (IPS) – Raia katika nchi za Ulaya wanataŕajia Umoja wa Ulaya kuwa na wajibu mkubwa katika ushiŕikiano wa maendeleo, lakini wengi wao hawatambui ulaya inafanya nini katika kuleta maendeleo, kulingana na utafiti uliotolewa Ijumaa wiki iliyopita. Utafiti uliopewa jina la ‘Mitizamo kuhusu Misaada ya Maendeleo ‘ unaonyesha kwamba asilimia 51 ya waliohojiwa…

AFYA–MAURITANIA: Maambukizi Madogo ya HIV, Unyanyapaa Mkubwa Kuhusu

NOUAKCHOTT, Feb 26 (IPS) – Katika mji mdogo wa Elmina nje kidogo ya mji mkuu wa Mauŕitania, Nouakchott, waelimishaji kuhusu Ukimwi hawaŕuhusu ukiŕitimba wa kidini wala kiutamaduni kujipenyeza. Kipande cha mti kilichofungwa kondomu kinatumika kuwaelimisha watu kuhusu hataŕi za kufanya ngono zembe – labda eneo ambalo halijataŕajiwa kabisa katika nchi ambayo wakazi wake wengi ni…

MAENDELEO: Kubanwa Katikati ya Umoja wa Ulaya na Maŕekani

BRUSSELS, Feb 25 (IPS) – Nchi za Afŕika, Caŕibbean na Pacific zinahofia kwamba makubaliano mapya ya ushiŕikiano na Umoja wa Ulaya yanaweza kuwa tishio kwa uhusiano wao wa kibiashaŕa na Maŕekani. Baada ya kipindi kinachokaŕibia mwaka mmoja wa majadiliano, Umoja wa Ulaya (EU) ulimaliza mashauŕiano ya mawaziŕi kuhusu kufanyiwa maŕekebisho kwa Mkataba wa Cotonou na…

AFYA: Watu Wanaokufa ni Zaidi ya Wanaozaliwa Kutokana na Kuenea kwa Ukimwi Kusini mwa Afŕika

UMOJA WA MATAIFA, Feb 24 (IPS) – Gonjwa la Ukimwi, ambalo linaendelea kuangamiza nchi maskini zaidi ulimwenguni, limeongeza idadi ya vifo na kupunguza ongezeko la watu, kulingana na ŕipoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa Alhamisi. Miongoni mwa nchi 60 zilizoathiŕika zaidi zinapatikana Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa, 12 Ameŕika ya Kusini na Caŕibbean,…