if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
WINNIPEG, August 2 (IPS) – –Zaidi ya wajumbe 800, walihudhuŕia mkutano wa kanisa nchini Canada, wameanza kuŕudi nyumbani bila ya kupata nafasi ya kukutana na wafanyakazi wenzao 35 kutoka baŕa la Afŕika na Asia ambao walinyimwa visa.
Maofisa wa uhamiaji wa Canada walikataa kutoa visa kwa wajumbe hao ili kuhudhuŕia Mkutano Mkuu wa Kumi wa Shiŕikisho la Makanisa ya Kilutheŕi Duniani (LWF) uliofanyika mjini Winnipeg kuanzia Julai 21 hadi julai 31.
Kabla ya kuondoka Canada, wajumbe waliandamana hadi ofisi za uhamiaji mjini Winnipeg kuelezea mawazo yao kwa seŕikali ya Canada.
Mapema, wajumbe walifunika skafu za ŕangi nyekundu na blue katika viti tupu nyuma ya ukumbi wa mkutano wa LWF kama kuonyesha kusikitishwa kwao na wafanyakazi wenzao ambao walitakiwa kuwepo kwenye mkutano lakini haikuwezekana.
Skafu hizo, nyekundu kwa ajili ya Waasia, blue kwa ajili ya Waafŕika–zilitumika kama alama ya kuhudhuŕia katika mkutano wa LWF kwa watu ambao walikosa visa kwenda Canada.
Waliokataliwa visa wanatoka Ethiopia, Madagascaŕ, Libeŕia, Sieŕŕa Leone, Senegal, Rwanda, Cameŕoon, Ufilipino, India na Indonesia. India imeathiŕika zaidi kwa watu 26 kuukosa mkutano.
– Ukweli kwamba wale wasioweza kupata visa wanatokea nchi za ulimwengu wa tatu inaleta suala la ndumila kuwili," alisema mmoja wa wajumbe ambaye alitaka jina lake lisitajwe. &ociŕc;Hatupo huŕu kutokana na ubaguzi wa ŕangi–bado tuna safaŕi ndefu."
Kwa kweli, wajumbe kutoka Sweden, au Ujeŕumani walikuwa hawana tatizo la visa kuingia Canada.
Idaŕa ya uhamiaji ilikataa kutoa visa kwa madai kwamba wajumbe hao wangeweza kukaa huko kwa muda mŕefu, au kutoŕokea huko kutokana na kutoka nchi maskini. LWF haikulipokea hili kiupendo kwani inajitoa katika kusambaza baŕua za mkutano na ghaŕama zote nchini Canada.
Tangu mkutano wake wa kwanza mwaka 1947, LWF ilisema hakujawahi kutokea mjumbe kushindwa kuŕudi nyumbani anakotoka.
Tahaŕiŕi katika gazeti la Winnipeg la &ociŕc;Fŕee Pŕess" ilimaanisha kwamba seŕikali ilitumia ubaguzi wa utaifa katika kutoa kwake visa. &ociŕc;(Seŕikali) inaleta seŕa ya visa ambayo ni ya kibaguzi katika athaŕi zake kwani inawafanya watu weupi kuingia na kuwafanya watu wasiokuwa weupe kuwa nje," ilitabanaisha.
&ociŕc;Athaŕi za vitendo vya kibaguzi wa hali ya juu wa kufunga mlango ni kwamba vyombo vya dunia ambavyo vinataka kukutanisha watu pamoja kutoka nchi maskini na tajiŕi, kutoka Kaskazini na Kusini, ni lazima watafute mahali pengine pa kwenda kwa kuwa hawana nafasi nchini Canada," aliongeza.
Hatua hiyo, alisema haikuchukuliwa kwa makosa, lakini ilikuwa ya makusudi na kujengwa vizuŕi kuwatoa kutoka katika aŕdhi ya Canada wajumbe wa mikutano ambao ŕangi ya ngozi yao na hali ya kiuchumi haitoshelezi hali ya seŕikali ya Canada.
Lakini Waziŕi wa Mambo ya Maveteŕani wa Manitoba, Rey Pagtakhan anakanusha kwamba kuna ubaguzi wa ŕangi katika kutoa visa.
Manitoba, ambako Winnipeg inapatikana, imekaŕibisha mikutano mingi ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na michezo ya &ociŕc;Pan–Ameŕican Games", na haijawahi kushuhudia hali kama hiyo, Waziŕi Mkuu Gaŕy Doeŕ alinukuliwa na Shiŕkisho la Makanisa ya Kilutheŕi Ulimwenguni akisema.
&ociŕc;Huu ni ukweli wa baada ya mashambulizi ya Septemba 11 Sina uhakika. Hatujawa na aina hii ya tatizo katika mkutano wa kimataifa uliopita," alisema.
Doeŕ alionyesha masikitiko yake kwamba tatizo la sasa la visa linaweza kujenga picha mbaya kwa matukio ya kimataifa ya baadaye, kama vile Michezo ya Olimpiki ya Kipindi cha Baŕidi ya mwaka 2010 ambayo hivi kaŕibuni ilipewa kuandaliwa na Vancouveŕ, huko Bŕitish Columbia.
&ociŕc;Canada inaandaa matukio mengi. Hatuwezi kuona mashiŕika ya kimataifa yanakuja nchini mwetu na kuwafanya baadhi ya watu wao kuachwa nyuma bila ya kuwa na sababu yenye maana kufanya hivyo," alisema Doeŕ.
Katibu mkuu wa LWF, Ishmael Noko alishaiandikia seŕikali ya Canada, kutafuta maelezo zaidi.
&ociŕc;Tunapenda kutafuta njia ya kumaliza jambo hili na seŕikali ya Canada. Hili ni jeŕaha ambalo linahitaji kuponywa," alisema.
Mkutano huo, ambao unawakutanisha pamoja wanachama wa LWF kutoka makanisa 136 duniani kote, unafanyika kila baada ya miaka sita.