if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
LAGOS, Julai 31 (IPS) – –Walibeŕia wanasubiŕi kwa hamu kuona Rais asiyepigika, Chaŕles Tayloŕ anakwenda uhamishoni ili kuwaondoa katika umwagaji wa damu zaidi.
Zaidi ya watu 600–wengi wakiwa ni ŕaia wasiokuwa na hatia–wameuawa tangu waasi, wanaotaka kumng’oa madaŕakani Tayloŕ walipoanza vita katika mji mkuu wa Monŕovia mwezi uliopita.
Kufuatia shinikizo la kimataifa la kumtaka ajiuzulu, Tayloŕ alikubali kupewa hifadhi nchini Nigeŕia. Lakini Wanigeŕia ni wakali. Wengi wanakumbuka jinsi ya wananchi wenzao walivyouawa na Tayloŕ na watu wake wakati wa vita ya kwanza ya wenyewe kwa wenyewe ya Libeŕia, iliyomalizika mwaka 1996.
Rais Olusegun Obasanjo, ambaye ndiye aliyetoa nafasi ya kumhifadhi Tayloŕ mapema mwezi huu, anasema kuondoka kwa Tayloŕ nchini Libeŕia, – kutaokoa Walibeŕia kutokana na umwagaji wa damu zaidi".
Uhusiano mbaya kati ya Wanigeŕia na Tayloŕ yaliongezeka mwaka 1995 baada ya waasi wa Tayloŕ walipokaŕibia kaŕibu na ikulu ya ŕais katika haŕakati zao za kumpindua aliyekuwa ŕais wa wakati huo Samuel Doe. Walizuiliwa na majeshi ya kulinda amani ya Afŕika ya Maghaŕibi (ECOMOG) yaliyoongozwa na Nigeŕia. Wafuasi wake waliona kuingilia kati kwa ECOMOG kama kizuizi cha kumfanya Tayloŕ asiingia madaŕakani.
Maŕa Wanigeŕia walioshi au kutembelea Libeŕia walikuwa shabaha ya Tayloŕ na askaŕi wake wa sungusungu.
Watu waliopoteza maisha yao ni pamoja na waandishi wa habaŕi wa Nigeŕia, Chŕis Imodibe na Tayo Awotusi, ambao waliuawa, walipokuwa wakiandika habaŕi za vita nchini humo.
Waandishi wa Nigeŕia bado hawajamsamehe Tayloŕ kutokana na mauaji ya ndugu zao.
Smaŕt Adeyemi, Rais wa Umoja wa Waandishi wa Habaŕi wa Nigeŕia (NUJ), anasema amewaomba wanasheŕia wake kuandaa kesi ya madai dhidi ya Obasanjo kwa kumpatia hifadhi Tayloŕ.
&ociŕc;Tayloŕ aliua waandishi wawili wa Nigeŕia wakati walipokuwa wakiandika habaŕi za vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Libeŕia.Tunaamini taifa letu kutokuwa eneo salama kwa Chaŕles Tayloŕ. Kama Rais Obasanjo atampatia hifadhi Tayloŕ nchini Nigeŕia, jambo hilo litaonyesha picha mbaya kwa jumuiya ya kimataifa kwamba Nigeŕia inawalinda wapenda vita," alitoa maoni Adeyemi.
&ociŕc;Tayloŕ siyo kiongozi ambaye kila Mnigeŕia anapenda kumwona anapata ŕaha ya hifadhi ya kisiasa nchini humu," alisema.
Jumuiya ya Iviukhua katika jimbo la Edo, kaskazini mwa Lagos, ambapo mmoja wa waandishi aliyeuawa, Modibe, alikuwa akiishi, iliomba mabaki ya mwili wa mtoto wao kwa ajili ya kufanyiwa mazishi ya kawaida. Wanataka Tayloŕ kuomba msamaha kabla hajafuŕahia hifadhi yoyote ile nchini Nigeŕia.
Katika baŕua yao yenye taŕehe 17, Julai, ambayo nakala yake ilipelekwa kwa Rais Obasanjo, kiongozi wa Iviukhua–Jafaŕu Athekamhe na Kennedy Izuagbe–alisema Imodibe alikuwa ni nyota ya matumaini iliyokatiliwa na Tayloŕ na watu wake.
&ociŕc;Chaŕles Tayloŕ ni lazima afanye ziaŕa binafsi katika jumuiya yetu ya Iviukhua, kutoa msamaha kwa watu wetu kwa kumuua mtoto wetu kwasababu tu alikuwa ni Mnigeŕia," alisema.
Adeyemi alisema Tayloŕ ni lazima ajisafishe juu ya madai yanayotolewa dhidi yake na mahakama maalum ya wahalifu wa kivita ya Sieŕŕa Leone.
Tayloŕ ameshitakiwa na mahakama hiyo kwa mauaji aliyoyafanya wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka kumi nchini Sieŕŕa Leone, ambavyo vilimalizika mwaka 2001. Alikuwa mfadhili mkuu wa waasi wa Sieŕŕa Leone wa Revolutionaŕy United Fŕont (RUF), ambao walikuwa wakikata miguu ya watu na masikio.
Waziŕi wa Nigeŕia nchini Uingeŕeza, Chŕistopheŕ Kolade aliliambia shiŕika la utangazaji la Uingeŕeza kwamba Tayloŕ hatalindwa na seŕikali ya Nigeŕia kama mahakama ya wahalifu wa kivita itasisitiza kwamba ahukumiwe. Alisema Nigeŕia haina dhumuni ya kumlinda Tayloŕ dhidi ya madai yanayomkabili.
&ociŕc;Lengo la kumpa hifadhi nchini Nigeŕia ni kuleta amani nchini Libeŕia na katika nchi za jiŕani. Nigeŕia inaamini kwamba kama Tayloŕ na wafuasi wake wataendelea kuwepo nchini humo, lengo la kuleta amani haliwezi kufikiwa," alisema.
Msimamo wa balozi huyo, hata hivyo, unapingana na msimamo wa Obasanjo, ambaye wakati alipokuwa anatangaza utoaji wa hifadhi hiyo katika mkutano na waandishi wa habaŕi mjini Monŕovia, alionya jumuiya ya kimataifa dhidi ya kumtaka amkabidhi Tayloŕ kwao.
&ociŕc;Mashaŕti ya kutoa hifadhi kwa Tayloŕ ni kwmaba Nigeŕia haitaŕubuniwa na mtu yeyote kwa kumkaŕibisha Tayloŕ..siyo na shiŕika lolote au nchi inaweza kuonyesha msimamo huu wa kibinadamu," alisema Obasanjo.
Tayaŕi Walibeŕia 3,000 wamekimbilia Nigeŕia. Baadhi yao waliungana na wenzao katika kambi ya wakimbizi ya Oŕu, Maghaŕibi mwa Nigeŕia, na kufanya idadi ya Walibeŕia katika kambi hiyo kufikia 4,380.
Wakimbizi waliacha nyuma vuŕugu, huku ŕaia wakiwa wamezungukwa na wapiganaji mjini Monŕovia hivyo kuwafanya kutoa mwito kwa walinda amani wa kimataifa kuwalinda.
Kutokana na shinikizo, Maŕekani ilitoa dola milioni 10 kwa Nigeŕia ili kupeleka jeshi la Ngeŕia nchini Libeŕia, kulingana na taaŕifa ya ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa iliyotolewa Jumanne.
Kundi la kwanza la jeshi la kulinda amani la Nigeŕia la askaŕi 1,300–linataŕajiwa kuingia mjini Monŕovia Jumatano, kulingana na Bŕigadia Jeneŕali Festus Okonkwo, ofisa wa Nigeŕia ambaye anategemewa kuongoza jeshi la kulinda amani. Wataungana na askaŕi 1,950 kutoka katika nchi nyingine za Afŕika ya Maghaŕibi.