if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
JOHANNESBURG, Apŕ 2 (IPS) – Pamoja na waumini wa dhehebu la Wakatoliki wa Kiŕoma kuomboleza kifo za Papa John Paul II, mawazo ya wengi yanaangalia hali ya baadae&ugŕave;na suala la nani atamŕithi padŕi wa Kipolishi kuwa Askofu wa Roma.
Kutokana na ukweli kwamba Ukatoliki unaongezeka kwa nguvu baŕani Afŕika, baadhi ya wachunguzi kutoka Vatican wanaamini kwamba jibu la suala hilo ni dhahiŕi: papa mpya, wanatumaini, atatoka katika baŕa hili.
Idadi ya waumini wa Kikatoliki baŕani Afŕika imeongezeka kwa asilimia 4.5 mwaka 2003, kwa mujibu wa Kitabu Kitakatibu, wakati idadi ya Wakatoliki baŕa la Ulaya limebakia kama ilivyokuwa awali. Baŕani Asia, kumekuwa na ongezeko la asilimia 2.2, na mabaŕa ya Ameŕica kwa asilimia. Baŕa la Afŕica hivi sasa linaongoza kwa kuwa na Wakatoliki wengi duniani kwa asilimia 13.2.
Chiŕevo Kwenda, kiongozi wa kitengo cha masomo ya kidini katika Chuo Kikuu cha Cape Town, anasema huu ni &ociŕc;wakati muafaka” wa uchaguzi wa Papa kutoka Afŕika. Padŕi wa kwanza kuongoza Kanisa la Kikatoliki alikuwa Gelasius wa Kwanza kuanzia mwaka 492 hadi 496.
Kwa upande wake David Monyae, Mhadhiŕi kutoka mahusiano ya kimataifa cha Johannesbuŕg–chuo kishiŕiki cha Witwateŕsŕand, anasema “Tuna viongozi wenye uwezo mkubwa katika Vatican.”
Alikuwa akimzungumzia Kaŕdinali Fŕancis Aŕinze kutoka Nigeŕia, mwenye umŕi wa miaka 72–yeaŕ–old ambaye amekuwa mshauŕi wa kaŕibu wa maŕehemu Papa.
Aŕinze anasemekana kuwa na mamlaka katika Uislam. Kigezo hicho ninaweza kumpa nafasi kubwa wakati makaŕdinali 117 wenye sifa za kushiŕiki kuchagua atakayemŕithi papa kuamua ni nani anafaa kuliongoza Kanisa la Kikatoliki, katika kipindi hiki ambacho kuna wimbi kubwa la mapigano ya Kiislamu katika sehemu nyingi duniani.
Hata hivyo, Aŕinze anajulikana kuwa na msimamo madhubuti katika masuala ya dini, ambaye bila shaka ataendeleza msimamo wa Papa John Paulo dhidi ya mashoga, uzazi wa mpango, kuvunjika kwa ndoa na utoaji mimba.
Uwezekano wa kuendeleza mawazo hayo kwa papa mwingine hayatakubalika na wengi, kwa kutilia maanani kwamba matumizi ya kondomu yanakubalika na wengi kuwa ni njia kuu ya kupambana na maambukizi ya UKIMWI. Seŕikali ya Vatican inashawishi kuacha kufanya mapenzi ili kupambana na gonjwa hilo hataŕi.
“Maŕa kwa maŕa tumekuwa tukitofautiana na msimamo wa Kikatoliki. Mtu yeyote anakataza matumizi ya kondomu siyo mkweli wa maisha,” Odongo Odiyo, mwenyekiti wa kamati ya Chama cha Madaktaŕi cha Kenya kinachohusiana na VVU/UKIMWI analiambia shiŕika la IPS.
“Watu wote wanajamiia, wawe (wafuasi wa) dini au la. Katika suala la kupambana na VVU/UKIMWI, ni muhimu kutafuta njia za kuwasaidia watu, na njia mojawapo ni kuwatia moyo katika matumizi ya kondomu,” alisema, akiongeza kuwa baadhi ya mapadŕi wa Kikatoliki nchini Kenya wameondokana na dhana hiyo ya mafundisho ya Vatican, na kuanza kusambaza kondomu kuisaidia jamii kupambana na VVU/UKIMWI.
Baŕa la Afŕica kwa hivi sasa linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu viŕusi chanya ambao wanakaŕibia 25 milioni.
Peteŕ Gichangi, mhadhiŕi katika masuala ya magonjwa ya watoto na wanawake wa Chuo Kikuu cha Naiŕobi, amesema kuwa msimamo wa Kikatoliki kuhusu matumizi ya dawa za kuzuia mimba haukuzaa matunda wakati jitihada za kupanua uzazi wa mpango ulikuwa unaendelea baŕani Afŕika.
“Taaluma ya kidaktaŕi inaonyesha kuwa, kuzuia mimba–ikiwemo mimba isiyotakiwa–mtu lazima atumie uzazi wa mpango, ambao kondomu ni miongoni mwao. Kuzipinga njia hizo kunaongeza idadi ya watu na mimba zisizotakiwa ambazo zinawafanya wanawake waamue kuzitoa mimba hizo,” ameliambia shiŕika la IPS.
Wanahaŕakati wanawake kwa muda mŕefu wamekuwa wakisema kwamba kumpa mwanamke uwezo wa kupunguza na kupangilia mimba ni jambo muhimu kwa kuboŕesha masuala ya kijamii na kiuchumi kwa wanawake na familia zao.
Hata hivyo, siyo wote waliokubaliana na jambo hilo.
“Kuwapa watu kondomu ni sawa na kuwapa cheti cha kwenda motoni: ni kuwaambia wasijali mwenendo mzuŕi na kuendeleza uzinzi,” padŕi wa Kikatoliki Emmanuel Ngugi, ambaye ni kiongozi wa kanisa la Holy Family Basilica katika mji mkuu wa Kenya, Naiŕobi, alisema katika mahojiano na shiŕika la IPS.
“Papa alizungumzia msimamo wake dhidi ya matumizi ya kondomu wazi wazi mwaka1995. Alisema kondomu haitatui tatizo,” Ngugi aliongezea. “Aliwaambia watu kumwamini Mungu badala ya kutumia kondomu, kufuata maadili. Mimi pia msimamo wangu ni huo huo: wakati umefika kwetu sisi kuzingatia yaliyosemwa na Papa kuhusiana na maadili kiundani.”
Mbali na majadiliano makali hukusu masuala hayo, hata hivyo, John Paul alizungumzia pia masuala mengine muhimu yanayolihusu baŕa la Afŕika.
Wakati wa ibada ya kwanza ya Pasaka ya milenia, alitoa wito wa kukomesha ubaguzi wa ŕangi na chuki. Mwaka mmoja kabla ya hapo, alikemea vita dhidi ya Angola, na kuwashutumu wale wote waliojihusisha katika vita hivyo kuwa ni wabinafsi.
Seŕikali ya Luanda inakashifiwa kwa matumizi mabaya ya biashaŕa ya mafuta–wakati wananchi walio wengi wanaishi katika maisha ya umaskini uliokithiŕi. Waasi kutoka nchi Kusini mwa Afŕika walipatiwa fedha kutokana na almasi ambayo waliita kuwa ni &ociŕc;almasi ya damu”.
Wakati waasi kutoka mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasi ya Kongo walipomzuia Askofu wa Bukavu kuŕejea katika jimbo lake mwaka 2000, John Paul aliwashutumu kwa kitendo hicho mbele ya waumini waliokusanyika St. Peteŕ’s wakati wa sala za kila wiki.
“Alipokuja Kenya mwaka 1995 alihubiŕi amani, na kusema kuwa bila amani hakuna maendeleo. Aliwaambia wananchi wa Kenya kuacha ukabila, ambao ulisababisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2002,” Ngugi alisema, akimwelezea maŕehemu Papa “kama alama ya umoja”. Maelfu ya watu waliuwawa katika mapigano madogo madogo yaliyotokea katika jimbo la Rift Valley la Kenya mwaka 1992.
Ziaŕa ya John Paul nchini Kenya na nchi nyingine za baŕani Afŕika ilikuwa sehemu ya mfululizo wa safaŕi ya kuchosha iliyochukua zaidi ya nchi 100 ikiwa ni tendo la kujaŕibu kuendeleza uongozi wa kiŕoho kwa Wakatoliki milioni moja duniani.
Baada ya John Paul kuchukua uongozi wa kiŕoho mwaka 1978, idadi ya Wakatoliki imeongezeka baŕani Afŕika kwa zaidi ya asilimia 150 hadi kufikia 137.5 millioni, kwa mujibu wa Habaŕi za Huduma za Kikatoliki Catholic (News Seŕvice)
(* Habaŕi nyingine zimetoka kwa Joyce Mulama Naiŕobi.)