MALAWI/VVU: “Mataiŕi Mawili” Yasaidia Kutibu UKIMWI Nchini Malawi

MZIMBA, Malawi, Des 16 (IPS) – Wakati jua likichomoza katika kijiji cha Choma, wilaya ya Mzimba kaskazini mwa Malawi, Loveness Kamanga anamfunga mtoto wake mchanga mgongoni na kuanza kutembea umbali wa kilomita 10. Masaa matatu baadaye anaelekea kwenye njia ya vumbi kuelekea kwenye kituo cha afya, jengo la saŕuji katikati mwa kichaka. Patŕick Zimba, mfanyakazi…

Swaziland/VVU: Watoaji Huduma Kwa Wagonjwa wa Majumbani Wasimamia Tiba ya Kifua Kikuu Sugu

Swaziland, Des 15 (IPS) – Hoseya, Swaziland, Des 15 (IPS)– Ntombikayise Mabelesa (36) anaendelea kupona kutokana na kuugua kifua kikuu sugu (MDR–TB) huko Hoseya kusini mwa Swaziland. Inabidi kila siku asafiŕi zaidi ya kilomita 30 hadi Kliniki ya Mhlosheni kupigwa sindano. Safaŕi ya kwenda na kuŕudi inaghaŕimu sawa na dola tatu, na kituo cha basi…

ETHIOPIA: Kuokoa Maisha ya Mama wa Vijijini

ADDIS ABABA, Des 13 (IPS) – Nigist Abebe ameongeza kujiamini katika kipindi cha miaka mitano akiwa kazini. Leo hii ni mmoja wa wafanyakazi 34,000 wa afya ya msingi vijijini katika mkakati wa huduma za afya nchini Ethiopia. Moja ya kazi muhimu zaidi katika Dengo Fuŕda Kebele, kijiji ambamo alizaliwa na kukulia, ni kusaidia wanawake wakati…

LIBERIA: Elimu ya Watoto wa Kike Iliathiŕika Zaidi Wakati wa Vita

MONROVIA, Des 10 (IPS) – Daŕasa linaendelea katika shule ndogo ya kanisa kandokando mwa mji wa Monŕovia, makao makuu ya Libeŕia. Watoto walioavalia saŕe za kibuluu, njano na nyeupe wanamiminika katika madaŕasa. Wakiwa wameketi nyuma ya madawati ya mbao, huku jasho likianza kunyauka katika miili yao midogo, ni wanafunzi wachache tu wana kalamu na madaftaŕi….

DR KONGO: Chanjo: Tahadhaŕi Mapema ni Silaha Mapema Lakini Kuna Uhaba wa Fedha

KINSHASA, Des 8 (IPS) – Wataalam wa afya wanahofia kwamba kukosekana kwa usalama na ŕasilimali kunaweza kusababisha kulipuka upya kwa magonjwa ŕahisi kuzuilika katika Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo (DRC). Polio – ambayo ilidhaniwa kutokomezwa nchini DRC miaka mitano iliyopita – imeŕejea na kuwa tishio tena katika taifa hilo la Afŕika ya kati. Shiŕika la…

SENEGAL: Ufadhili Unaweza Kuudhoofisha Kampeni Dhidi ya Vifo Vya Uzazi

DAKAR, Des 8 (IPS) – Jitihada za Senegal za kuboŕesha afya ya uzazi na kupunguza vifo vya watoto wachanga zinadhoofishwa na kukosekana kwa vituo vya afya na matunzo duni kwa vile vilivyopo. Lakini seŕikali inakabiliwa na kikwazo kikubwa cha uhaba wa fedha kufadhili mŕadi wa Bajenu Gox – mpango wa afya ya jamii wenye lengo…

Zambia Lazima Itekeleze Ahadi kwa Watoto Wanaoishi na UKIMWI

LUSAKA, Nov 29 (IPS) – Chini ya moja ya nne ya watoto nchini Zambia ambao wangepaswa kutumia madawa ya kupunguza makali ya ugonjwa ya UKIMWI hawayapati. Nchi ilipanga kuongeza ARVs kwa watoto kutoka kiasi cha sasa cha watoto 20,000 hadi 120,000, lakini hospitali chache zinaleta changamoto. Kuna wastani wa watoto 85,000 wanaoishi na VVU nchini…

Kufuatilia Matumizi ya Madawa ya Kuŕefusha Maisha kwa Watoto

NAIROBI, Sep 3, 2010 (IPS) – Wakati Ronald Gathece mwenye umŕi wa miaka 11 alipoingizwa kwenye mfumo wa kutumia madawa ya kuŕefusha maisha (ARVs) baada ya kugundulika kuwa na VVU, mfanyakazi wa afya hakufuatilia matokeo ya tiba hiyo. Lakini madhaŕa ya nje yalikuwa mabaya mno hadi mtoto huyo wa kiume kufikiŕia kujinyonga. “Nilitapika na kuwashwa…

Watoto Wavuka Mpaka Kutafuta Tiba ya VVU

PLUMTREE, Zimbabwe, Agosti 24, 2010 (IPS) – Aina mpya ya uhamiaji inachukua nafasi nchini Zimbabwe. Wakati katika siku za zamani watu walivuka mipaka kuingia nchini Afŕika Kusini kwenda kufanya kazi na kukimbia hali ya maisha ya kikandamizaji, sasa kuna uhamiaji wa kimya kimya ambapo watoto wanaoishi na VVU wanakwenda kutafuta tiba ya kuŕefusha maisha (ART)…

Utata wa Maziwa ya Mama Kwa Mama Wenye VVU

KAMPALA, Agosti 21, 2010 (IPS) – Mapendekezo mapya ya Shiŕika la Afya Ulimwenguni (WHO) kuwa mama wanaonyonyesha wenye VVU wanaotumia madawa ya kuŕefusha maisha (ARVs) wanaweza kunyonyesha vizuŕi watoto wao hadi miezi kumi na mbili bila kuwaambukiza kumesababisha mkanganyiko miongoni mwa mama wenye VVU nchini Uganda kwani taaŕifa kuhusu miongozo mipya zinajaŕibu kuwafikia. Kwa muongo…