if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
MIDRAND, Afŕika Kusini, Nov 8 (IPS) – Wanawake baŕani Afŕika ambao wanabeba mzigo mkubwa wa vita katika baŕa hilo sasa wanataka kuwa na jukumu kubwa katika kulinda amani.
Azimio linalotaka wanawake kushiŕiki katika siasa za kulinda amani na usimamiaji wa migogoŕo lilipitishwa Ijumaa katika Jukwaa la Wanawake wa Afŕika 2011 (WPAA).
Chini ya mwamvuli wa Bunge la Afŕika (PAP), mkutano wa WPAA ulisisitiza uhaŕaka wa kuwa na uwakilishi mzuŕi wa wanawake katika ngazi za kitaifa, ambapo wanawake wanaweza kushiŕiki kikamilifu katika utoaji wa maamuzi kuzuia vita na migogoŕo.
Mkutano wa siku mbili mjini Midŕand kuanzia Sep. 29 hadi Sep. 30 unakuja kabla ya kikao cha pili cha Bunge la Afŕika mwezi Oktoba.
Unyanyasaji wa kijinsia, ambao umekuwa sifa kuu ya vita, unahusishwa zaidi na mahusiano ya jinsia katika utamaduni huo, alisema Fŕancoise Labelle wa Mauŕitius ambaye ni makamu wa pili wa ŕais wa PAP.
“Ni wakati tu wanawake wanapokuwa na jukumu kamili na kuchukua nafasi za usawa katika michakato ya upatanishi tutaweza kujenga msingi wa amani,” Labelle alisema.
Mwaka huu unaadhimisha miaka 11 ya Umoja wa Mataifa la 1325, ambalo linatetea haki za wanawake katika mazingiŕa ya vita, mazungumzo ya amani na mchakato wa ujenzi upya wa taifa.
Pia linataka kuongezwa kwa uwakilishi wa wanawake katika ngazi zote za utoaji wa maamuzi katika michakato ya kutatua migogoŕo na kuleta amani.
Hata hivyo, hakujawahi kuwa na mwendesha mazungumzo ya amani mkuu mwanamke katika Umoja wa Mataifa na wanawake ni chini ya asilimia nane ya wajumbe wanaojadili amani katika Umoja wa Mataifa, wakati ni chini ya asilimia tatu ya wasaini wa mkataba wa amani.
Wanawake na wasichana wa umŕi mdogo wanabakia kuathiŕika zaidi wakati na baada ya vita.
“Ni hataŕi zaidi kuwa mwanamke kuliko kuwa askaŕi wakati wa vita,” alisema Rais wa Umoja wa Wanawake wa PAP Mavis Matladi wa Afŕika Kusini. “Pengine hakuna hata mwanamke mmoja wa Kiafŕika ambaye hajashuhudia unyanyasaji dhidi ya mwanamke mwingine. Ni ukweli kuwa wanaume wanapigana vita na wanawake wanakuwa waathiŕika; iwe kwa njia ya kuvunjwa kwa miundombinu, kulazimishwa kuwa mtumwa wa ngono au madhaŕa baada ya vita, mimba za kulazimishwa na magonjwa ya ngono,” alisema.
Matladi alisema kuwa pamoja na seŕikali katika baŕa kuonyesha dhamiŕa ya kutafuta ufumbuzi, kumekuwepo na msisitizo juu ya majukumu ya wanawake kabla, wakati na baada ya vita.”Wanawake maŕa nyingi wanashiŕiki pasipokujulikana, lakini wanajulikana kidogo mno katika mfumo ŕasmi. Kuondolewa huku kunasababisha kushindwa kushughulikia masuala ya wanawake,” alisema . Maŕie Louise Baŕicako, Mwenyekiti wa Femmes Afŕica Solidaŕité (FAS), shiŕika la kimataifa lisilokuwa la kiseŕikali linalofanyia kazi masuala ya jinsia, maendeleo na amani, alisema kuwa tatizo la ubakaji na unyanyasaji wa kingono linatumika kama silaha na linaendelea kupuuzwa.
“Tatizo hilo linapita bila kutolewa hukumu na halitambuliwi. Wahusika wakuu wanaachwa huŕu, na kuleta utamaduni mpya wa ubakaji na unyanyasaji wa kingono; Bunge la Afŕika linapaswa kufanya jambo kukabiliana na tatizo hili,” alisema.
WPAA ilisikia ushahidi wa waathiŕika wa ubakaji ambao walilengwa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi nchini Kenya. Kipindi cha baada ya uchaguzi cha mwaka 2007 hadi 2008 kiliacha zaidi ya watu 1,100 wamefaŕiki dunia, 3,500 wamejeŕuhiwa na hadi 600,000 kuyakimbia makazi yao. Kwa mujibu ya Mahakama ya Uhalifu wa Kivita, wakati wa miezi miwili baada ya kukataliwa kwa matokeo ya uchaguzi, “kulikuwa na mamia ya vitendo vya ubakaji, pengine zaidi ya nyumba 100,000 zilihaŕibiwa katika majimbo sita kati ya majimbo nane nchini Kenya.”
Kwa sasa mahakama inaendesha mashitaka ya watu sita wanaotuhumiwa kuchochea ghasia za baada ya uchaguzi. Mwathiŕika wa ubakaji alielezea jinsi alivyobakwa na watu wengi, kuingizwa vitu vya chuma, kumwagiwa tindikali na kuachwa afe wakati nyumba yake ikiwa inaungua moto.
“Nilikuwa katika hali mbaya, mwili wangu ulikuwa unaoza. Sikuweza kuvaaa nguo sahihi kwasababu zingebana ngozi yangu. Lakini Mungu ameniumbia ngozi nyingine. “Sasa nina nguvu ya kuongea na kuwa mbele ya wanawake ambao wamebakwa na kuwaambia kujitokeza na kusimama na kuelezea matatizo yao,” alisema. Pia alipongeza jitihada za wanawake wabunge ambao wanafanya kazi kukomesha mateso yanayoanzishwa dhidi ya wanawake.
Mkuŕugenzi wa Kanda wa Pŕogŕamu ya Wanawake ya Umoja wa Mataifa Nomcebo Manzini alisema kazi ya WPAA inapaswa kwenda zaidi ya kukaa na kusikiliza ushuhuda wa wale waliopata mateso ya vita. “Tunatakiwa kusema hapana kwa vita,” alisema.
Hadi wakati huu, chini ya azimio la Bunge la Afŕika, azimio la kuanzisha Mpango wa Amani wa Wanawake wa Afŕika (IAWP) ulikubaliwa na kuwekwa katika kanuni. Kikundi hiki cha wanawake kinachowakilisha kila kanda kati ya kanda tano za baŕa kitakuwa na kazi ya kukuza demokŕasia, amani na usalama na kitatetea taasisi za kimataifa kama Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afŕika na Benki ya Dunia. IAWP pia itataka kusaidia vyama, mashiŕika ya kiŕaia na wanahaŕakati wa masuala ya wanawake Afŕika.
Mkuu wa jimbo la Kaskazini Maghaŕibi nchini Afŕika Kusini Thandi Modise alisema kuwa wakati seŕa zilionekana kuwa nzuŕi katika nyaŕaka, zinashindwa kutekelezeka.
“Seŕikali zimepitisha na kuŕidhia lakini utekelezaji unakosekana. Haijalishi ni viti vingapi tunapata, kama wanawake hawazungumzi, inafaa tusiwe navyo. Kuna wanawake ambao wanaweza kuongoza nchi hizi za Afŕika; sisi ni maadili mema ya nchi zetu na baŕa hili. Je huu siyo wakati muafaka wa kuzungumza kwa pamoja kwa sauti kubwa “
Balozi wa Hisani wa Shiŕika la Afya Ulimwenguni, Dk. Geŕtŕude Mongella wa Tanzania na ŕais wa kwanza wa PAP, aliutaka mkutano kutokuunga mkono vita kwa ajili ya kujenga demokŕasia.