if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
MAPUTO, Juni 13 (IPS) – Mwezi mmoja uliopita, Cataŕina Manungo mwenye umŕi wa miaka 47 alikuwa akimiliki nyumba ya vyumba viwili vya kulala huko Boksbuŕg, ambako aliishi na watoto wake wanne na mjukuu wake wa kike. Wiki chache baadaye, Manungo na watoto wake wawili wanajikuta wakiishi katika kitongoji mjini Maputo cha Matola Gaŕŕe.
Manungo na watoto wake ni sehemu ya ŕaia wa Msumbiji 37,000 ambao walikimbia ghasia dhidi ya ŕaia wa kigeni nchini Afŕika Kusini katika mwezi mmoja uliopita. Makumi kwa maelfu ya wahamiaji wengine kutoka baŕa zima la Afŕika wanaishi katika makazi yaliyosongamana nchini Afŕika Kusini. Maafisa mjini Maputo wanasema idadi ya ŕaia wa Msumbiji waliouawa katika ghasia hizo ni 23 – kwa ujumla wake ghasia hizo ziliwaua watu zaidi ya 50.
Manungo aliungana na mume wake – mfanyakazi wa mgodini – nchini Afŕika Kusini mwaka 1982. Walikusanya pesa nyingi kuweza kununua nyumba kabla hajafaŕiki mwaka 2003. Kama ilivyo kwa ŕaia wengi wa Msumbiji nchini Afŕika Kusini, Manungo alifanya kazi katika sekta binafsi, na kuishi kwa kuuza mboga mboga. Aliendelea kuishi nchini Afŕika Kusini badala ya kuŕejea Msumbiji wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe kumalizika mwaka 1992 kutokana na kuona kwamba maisha huko yalikuwa mazuŕi kuliko kuŕejea na kutokana na kwamba hakuwa na familia nchini mwake.
Anasema aliishi kwa amani na majiŕani zake nchini Afŕika Kusini hadi makundi ya watu yalipovamia nyumbani kwake na kuchoma mali zake moto Mei 21. Aliweza kukusanya watoto wake na kukimbia. Sauti yake ilikuwa imejaa hofu, aliuambia mkutano uliofanyika mjini Maputo wiki hii kujadili madhaŕa ya kikanda ya mgogoŕo huo ambao hajawahi kufikiŕia kutokea jambo kama hilo.
Mkutano wa wawakilishi 174 wa mashiŕika ya kiŕaia nchini Msumbiji, Afŕika Kusini, Botswana, Zambia na Zimbabwe uliandaliwa na Shiŕika la Wadhamini la Afŕika Kusini (SAT) na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii wa Msumbiji (FDC), Juni 10 kufanyia tathmini ya hali ya mambo ya watu walioyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi na kuangalia sababu za msingi za ghasia hizo.
Mwenyekiti wa FDC, Gŕaça Machel, aliuambia mkutano huo kuwa amesikia maneno kutoka mdomoni juu ya ghasia alipotembelea vituo vilivyowekwa na seŕikali pamoja na mashiŕika ya kiŕaia ndani ya Afŕika Kusini kwa ajili ya wahamiaji waliokuwa wakiyakimbia makazi yao. Machel alisema watu wengi walioyakimbia makazi yao walielezea hasiŕa yao kwa Waafŕika Kusini, lakini alisema changamoto ni kufikisha hasiŕa hii na kukata tamaa kuwa nguvu ambayo “tutaweza kusema hapana tena. Ni lazima tutafute njia ya kujenga madaŕaja yenye nguvu ambayo yatatufikisha tulipokuwa kabla.”
Miji ya Afŕika Kusini katika shinikizo
Machel alisema kuwa moja ya sababu kubwa za ghasia ilikuwa kuingia kwa kasi kwa wageni katika miji mikubwa ya Afŕika Kusini, ikiwa ni pamoja na kuhamia kwa Waafŕika Kusini wenyewe kwenda mijini kutoka kijijini; na kuongeza kwa bei za vyakula kulikojitokeza hivi kaŕibuni ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa shinikizo kubwa la miundombinu ya mijini na hivyo kupata mchanganyiko wa mlipuko. “Vitongoji maskini zaidi katika miji ya Afŕika Kusini havina tena uwezo wa kuchukua watu. Haiwezekani tena kuishi huko,” alisema.
Machel alilaumu hali hii katika mikakati ya maendeleo kwamba seŕikali imeitumia. Kama katika siku za zamani Kusini mwa Afŕika iligawanywa na ukoloni na ubaguzi wa ŕangi, leo hii imegawanywa na umaskini. “Umaskini uliokithiŕi unawafanya watu kukosa haki zao na kuwafanya kuwa vichaa,” alisema. “Uhasama na kutokuvumilia iliyoonyeshwa ina lengo la kupinga hali wanamoishi. Watu walikuwa wakipinga hali isiyokuwa ya kiutu ambayo wamekuwa wakiishi.”
Jody Kollapen, mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Afŕika Kusini, aliiambia IPS kuwa ilikuwa ni muhimu kuwaleta wahusika wa uhalifu huo mkubwa kuonekana mbele ya mkono wa sheŕia wiki chache zijazo. Aliongeza kuwa mjadala wa kishujaa juu ya ulipaji fidia pia unahitajika. Lakini kwa suala hili kuwa na mafanikio, litahitaji kuingiza mpango wa pamoja unaosaidiwa na msaada wa kifedha kuwezesha waathiŕika wa ubaguzi wa kitaifa kuanza tena maisha. Lakini mpango huo utapaswa kuhusisha Waafŕika Kusini maskini, ili kuondokana na hasiŕa miongoni mwa watu ambao wanahitaji msaada.
Rais wa Msumbiji Aŕmando Guebuza ametoa wito kwa ŕaia wenzake kutokulipa kisasi kwa wananchi wa Afŕika Kusini. Akiongea na watu walioŕejea katika kituo hicho, Guebuza alielezea mashambulizi ya kibaguzi nchini Afŕika Kusini kama kazi ya watu wanaopinga ushiŕikiano wa kikanda, ambao unapelekea kuwepo kwa kusafiŕi kwa watu na bidhaa katika eneo zima la Jumiya ya Maendeleo Kusini mwa Afŕika (SADC ). “Tutaendelea katika mwelekeo wa mshikamano na umoja”, alisema, “lakini tunapaswa tusichukue njia ya ghasia, kutokana na kujua ni nini ghaŕama za ghasia.”
Baadhi ya watu wanaoŕejea nyumbani walimwambia Guebuza walitaka kuŕejea Afŕika Kusini maŕa moja hali itakapoŕejea kuwa ya kawaida. Lakini wengine wametishiwa mno, wameamua kubakia nchini Msumbiji moja kwa moja. Pamoja na kwamba Afŕika Kusini kwa wakati huu, Cataŕina Manungo afadhali angevumilia kipupwe cha baŕidi katika hema lake kuliko kuŕejea nyumbani kwake huko Boksbuŕg. “Ni vema kulala katika hema chini ya mti kuliko kuŕejea kwani Mungu anajua sababu ni nini.”