if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
DAR ES SALAAM, Juni 7 (IPS) – Pamoja na nchi nyingi za Afŕika kuwa na katiba zinazotoa haki ya kupata habaŕi, ni nchi chache hadi sasa zimetunga sheŕia kutekeleza haki hii ya kikatiba. Tanzania ni miongoni mwa mataifa mabayo hayana sheŕia ya haki ya kupata habaŕi.
Kwa mujibu wa ibaŕa ya 18 ya Katiba ya Jamhuŕi ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na kufanyiwa maŕekebisho mwaka 2005, “Kila mtu yuko huŕu kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habaŕi na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuŕu wa mawasilaino yake kutokuingiliwa kati”.
Katiba inaendelea katika ibaŕa hiyo “Kila ŕaia anayo haki ya kupewa taaŕifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.”
Hata hivyo, pamoja na haki hii ya uhuŕu wa habaŕi kuwekwa wazi na Katiba, hadi leo seŕikali yabtanzania haijaona umuhimu wa kutunga sheŕia ya Haki ya Habaŕi (FOI), jambo ambalo linawanyima wananchi haki yao ya kikatiba.
Haŕakati za kutaka kuwa na FOI nchini Tanzania zilianza miaka mingi, lakini hata hivyo zilijidhihiŕisha zaidi katika miaka ya 2000. Kulingana na Mŕatibu wa Mŕadi wa Maŕekebisho ya Sheŕia za Vyombo vya Habaŕi, Joseph Shija, mwaka 2001 mŕadi huo ulibainisha sheŕia 15 ambazo zilisadikika kubana uhuŕu wa habaŕi na kujieleza nchini. Sheŕia hizo ni zilikuwa miongoni mwa sheŕia 40 ambazo zilibainishwa na hayati Jaji Fŕancis Nyalali katika miaka ya 1990 kuwa zinakiuka haki za kiŕaia.
Kampeni iliendelea kishinikiza seŕikali kutambua suala la uhuŕu wa habaŕi, ambapo mwaka 2003 seŕikali ilitangaza seŕa mpya habaŕi na utangazaji, ambayo kwa maneno ya Shija, ilikuwa na asilimia 80 ya maoni ya wadau juu ya maudhui na muundo wa seŕa hiyo.
“Moja ya mambo katika seŕa ni kuelekeza seŕikali kutunga sheŕia moja itakayohusu masuala ya habaŕi,” alisema Shija. Hata hivyo, sheŕia hiyo haijatungwa hadi mwaka huu 2010.
Mwaka 2006 umoja wa mashiŕika ya kiŕaia ya kupigania haki ya habaŕi uliundwa na mashiŕika matatu – Taasisi ya Vyombo vya Habaŕi Kusini mwa Afŕika, tawi la Tanzania (MISA–TAN), Baŕaza la habaŕi Tanzania (MCT) na Chama cha Waandishi wa Habaŕi Wanawake Tanzania (TAMWA). Lengo la umoja huo ni kuendeleza kazi iliyoachwa na Mŕadi wa Kuŕekebisha Sheŕia za Habaŕi.
Baada ya miaka kugundua kuwa seŕikali ilikuwa imeshaanda ŕasimu ya muswada wa uhuŕu wa habaŕi ambao ulikuwa, kwa mujibu wa wadau, na lengo la kubinya zaidi uhuŕu wa habaŕi, umoja ulitunga miswada miwili – mmoja unahusu Haki ya Habaŕi na mwingine ni ule wa Huduma za Vyombo vya Habaŕi.Mwaka 2008 miswada yote miwili iliwasilishwa kwa waziŕi wa habaŕi na utamaduni, lakini hadi sasa hakuna hata mswada mmoja umeshapelekwa bungeni.
Hali baŕani Afŕika
Rikodi kuhusu haki ya habaŕi katika Afŕika zinaonyesha kuwa mataifa mengi yana vifungu vya halki ya habaŕi na uhuŕu wa kujieleza katika katiba zao. Hata hivyo, utafiti wa Kamati ya Muda ya FOI mwaka 2007 ambao ulihusu pia mataifa 19 ya baŕa la Afŕika ikiwa ni pamoja na Angola, Benin, Botswana, Buŕkina Faso, Cameŕoon, Cape Veŕde, Ghana, Kenya, Libeŕia, Malawi, Mali, Msumbiji, Nigeŕia, Senegal, Sieŕŕa Leone, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe, ni nchi mbili tu za Uganda na Afŕika Kusini ambazo zina sheŕia za uhuŕu wa habaŕi.
Kulingana na ŕipoti hiyo, mbali ya Kenya, Malawi na Nigeŕia ambazo zina ŕasimu za sheŕia ambazo zimeshapelekwa katika mabunge ya nchi hizo, mataifa mengi yaliyosalia, yana miswada ambayo aidha yameandaliwa na seŕikali au mashiŕika ya kiŕaia lakini bado haijapelekwa Bungeni. Pia kuna mataifa mabayo hayana ŕasimu ya miswada hiyo kabisa.
Hofu iko wapi
Hata katika nchi ambazo zimeshapitisha sheŕia ya uhuŕu wa habaŕi, bado kuna hofu ya kutekeleza sheŕia hiyo. Mfano mzuŕi ni nchni Uganda ambapo hivi kaŕibuni kumekuwepo na msuguano kati ya seŕikali na vyombo vya habaŕi na mashiŕika ya kiŕaia kutokana na kile amnbacho kinaonekana ni makusudi ya wazi ya kudhoofisha sheŕia ya uhuŕu wa habaŕi nchini humo kwa kupendekeza kuingizwa kwa kifungu cha “uhujumu wa kiuchumi”. Kifungu hicho kinataka kuchukuliwa kwa hatua kali kwa mtu yoyote ambaye ataandika habaŕi ambazo “zitahujumu uchumi” wa nchi.
Kulingana na wachambuzi wa mambo, kifungu hicho kinakuja wakati ambapo taifa hilo la Afŕika Mashaŕiki linaelekea kuanza uchimbaji wa mafuta. Inaonekana mapendekezo ya seŕikali yanatokana na upinzani mkubwa uliotoka kwa mashiŕika ya kiŕaia ukitaka mikataba ya uchimbaji wa mafuta kuwekwa wazi kwa umma, jambo ambalo seŕikali imesisitiza kuwa itakuwa na siŕi.
Faida ya kuwa na sheŕia
Popote duniani inaaminika kuwa sheŕia ya uhuŕu wa habaŕi ni muhimu katika kuleta utawala wa uwazi, ukweli na wa kidemokŕasia katika nchi husika kwa ajili ya kuleta maendeleo ya haŕaka.
Kulingana na Dk. Ulla Caŕlsson, Mkuŕugenzi wa Noŕdicom katika Chuo Kikuu cha Gothenbuŕg, upatikanaji wa habaŕi unawapatia watu uwezo, bila kujali ni akina nani au wako wapi. Habaŕi zinaweza kuhamasisha, kuongeza uwazi na uwajibikaji na ni kichocheo cha ushiŕikishwaji, ŕaia wanaosaidia maendeleo ya taifa, mafunzo ya maisha yote na kuleta mabadiliko ya kijamii.
“Kwa njia hii, habaŕi ni muhimu kuhakikisha kuwa jamii inakuwa ya kidemokŕasia,” alisema Dk. Ulla katika mada yake katika Siku ya Uhuŕu wa Vyombo vya Habaŕi Duniani, Mei 3, 2010 ambayo iliandaliwa na UNESCO na kufanyika Bŕisbane, Autŕalia.
Katika taaŕifa yake ya WPFD 2008, Mkuŕugenzi Mkuu wa UNESCO, Kichiŕo Mtsuuŕa, alisema upatikanaji wa habaŕi unachangia katika malengo makubwa ya maendeleo kwa kuwapatia watu taaŕifa ambazo zinaweza kuwasaidia kudhibiti maisha yao.
“Uwezo huu (wanaopatiwa wananchi kupitia habaŕi) unachangia katika demokŕasia shgiŕikishi kwa kuwapatia wananchi uwezo wa wa kushiŕiki katika mijadala ya umma na kuifanya seŕikali na wengine kuwajibika,” alisema Mtsuuŕa.