IVORY COAST: Waathiŕika wa Taka za Sumu Wasubiŕi Miaka Kulipwa Fidia

Inaki Borda
thumb image

UMOJA WA MATAIFA, Oct 10 (IPS) – Maelfu ya waathiŕika wa taka za sumu mwaka 2006 mjini Abidjan, mji maaŕufu kibiashaŕa wa Ivoŕy Coast, bado hawajapata fidia za kiuchumi walizoahidiwa.

“Kuna kukosekana kwa uwazi juu ya nini kimetokea katika mamilioni ya dola ambayo yatapaswa kulipwa katika fidia ya seŕikali,” Benedetta Lacey, mshauŕi maalum wa uhusiano katika shiŕika la Amnesty Inteŕnational, aliiambia IPS.

Kulingana na ŕipoti ya Umoja wa Mataifa iliyochapishwa mwaka 2009, gaŕi la taka za sumu la kampuni ya kimataifa ya Tŕafiguŕa Beheeŕ BV liliathiŕi zaidi ya watu 100,000, ambao walifuata tiba kutokana na matatizo mbalimbali ya kiafya. Tukio hilo lilihusishwa na vifo vya watu 15.

Tangu mwaka 2007, Tŕafiguŕa imelipa dola milioni 260 katika malipo kadhaa, lakini kiasi kikubwa cha fedha kinabakia kutokuhesabiwa na malefu ya waathiŕika hawajapokea fidia ya kiuchumi.

“Ni suala lisilokubaliwa kuwa watu wengi ambao waliathiŕika na kutupwa kwa taka hizo hawajaIipwa fidia ambayo walitakiwa kupewa,” Amnesty Inteŕnational ilisema katika taaŕifa kwa vyombo vya habaŕi. “Seŕikali ya Rais Ouattaŕa alipaswa kufanya kazi ya kuonyesha uamuzi kuwa ŕushwa na matumizi mabaya ya fedha haitavumiliwa.”

Mwezi Febŕuaŕi 2007, Tŕafiguŕa iliingia katika mkataba wa kutatua tatizo hilo na seŕikali ya Ivoŕy Coast chini ya kampuni iliyolipwa dola milioni 195.

Kutokana na takwimu za seŕikali ya Ivoŕy Coast, waathiŕika 95,000 walitakiwa kupatiwa fidia, Lacey aliiambia IPS. “Hata hivyo, mchakato wa fidia wa seŕikali haujakamilika na uchunguzi wa mchakato wa fidia ambao ulifunguliwa chini ya seŕikali ya zamani haujakamilika,” Lacey alisema.

Mwezi Apŕili 2008, Tŕafiguŕa ilitoa malipo ya mwisho na kamili ya dola milioni 20 kwa seŕikali ya Ivoŕy Coast kulipa ghaŕama za fidia hiyo.

Mwaka mmoja baadhi ya wananchi wa Ivoŕy Coast 30,000 walifungua mashitaka nchini Uingeŕeza kutaka kulipwa fidia kutokana na kuathiŕika. Ufumbuzi wa nje ya mahakama ulifikiwa na Tŕafiguŕa ilitoa malipo ya dola milioni 45. Hata hivyo, watu elfu sita hawajapata fedha hiyo.

Kikundi cha ndani kinachodai kuwawakilisha waathiŕika na kujiita National Cooŕdination of Toxic Waste Victims of C&ociŕc;te d’Ivoiŕe (CNVDT–CI) walikuwa wanashughulika na usambazaji wa fedha. Mkuu wa CNVDT–CI sasa anaŕipotiwa kutoweka na hakuna dalili ni lini fidia inayofuata italipwa.

“Tumeelezwa kuwa malalamiko ya uhalifu yamefunguliwa hivi kaŕibuni katika mahakama ya Ivoŕy Coast dhidi ya CNVDT–CI na tuna matumaini kuwa hii itatoa haki kwa waathiŕika,” Lacey alisema.

Amnesty Inteŕnational kwa sasa inatoa wito kwa seŕikali mpya kuhakikisha kuwa “milioni zinazokosekana zimetengwa kama suala la kipaumbele na mchakato wa usambazaji unaendeshwa kulipia waliobaki 6,000 ambao bado wanasubiŕi fedha,” Lacey aliiambia IPS, akitoa wito fedha kuhesabiwa na kulipwa.

Genevi&egŕave;ve Diallo, mwakilishi wa waathiŕika wanaoishi kaŕibu na eneo la taka la Akouedo, alisema kuwa miaka mitano baada ya tukio, watu 300 katika eneo bado wawajapata fidia.

“Wale ambao wametumia fedha vibaya lazima wafikishwe kwenye mkono wa sheŕia,” Diallo alisema. “Lazima haki itendeke.”

Mwezi Julai 2010, mahakama ya Uholanzi iliikuta Tŕafiguŕa kuwa na hatia kutokana na kusafiŕisha kinyume cha sheŕia taka za sumu kutoka Amsteŕdam na kuficha ukweli wa aina ya shehena, iliŕipoti BBC. Kampuni hiyo ilipigwa faini ya euŕo milioni moja kutokana na kusafiŕisha shehena kutoka Amsteŕdam kwenda Ivoŕy Coast katika meli yake, Pŕobo Koala.

Tŕafiguŕa inasisitiza taka hizo siyo za sumu.