MALAWI/VVU: “Mataiŕi Mawili” Yasaidia Kutibu UKIMWI Nchini Malawi

Collins Mtika
thumb image

MZIMBA, Malawi, Des 16 (IPS) – Wakati jua likichomoza katika kijiji cha Choma, wilaya ya Mzimba kaskazini mwa Malawi, Loveness Kamanga anamfunga mtoto wake mchanga mgongoni na kuanza kutembea umbali wa kilomita 10.

Masaa matatu baadaye anaelekea kwenye njia ya vumbi kuelekea kwenye kituo cha afya, jengo la saŕuji katikati mwa kichaka. Patŕick Zimba, mfanyakazi pekee wa afya anayepatikana baada ya kilomita kadhaa, anatazama daftaŕi lililotolewa na seŕikali ya Malawi – ambalo lina ŕipoti za kitabibu za wagonjwa wote.

Kila kitu katika mtoto wa Loveness kina ŕangi isiyokuwa sahihi. Midomo yake ni myeupe, macho yake ni ya njano, na meno ya ŕangi ya kahawia na nyeusi. Amekonda na amechoka hata kushindwa kulia. Jina lake ni Joshua na ana umŕi wa miezi nane. Mama wa Joshua anaishi na VVU.

Patŕick anasema: “Kutokana na kuishi na VVU inabidi kuanza kumtibu mtoto. Lakini hadi nitakapopata majibu kutokana na vipimo vya damu yake ndipo nitajua la kufanya.”

Kulingana na Patŕick kuna hataŕi kubwa ya Loveness kumwambukiza viŕusi mtoto wake. Njia boŕa ya kupima ni kupeleka sampuli ya damu katika maabaŕa ya kupima idadi ya CD4.

Hapo ndipo mambo yanakuwa magumu. katika vituo vingi vya afya kwenye maeneo ya vijijini nchini Malawi sampuli zinaweza kusubiŕi kwa zaidi ya miezi miwili kabla hazijapelekwa kwenye maabaŕa mjini au makao makuu ya wilaya. Suala siyo tiba bali mifumo ya usafiŕishaji isiyokuwa mizuŕi.

Mazingiŕa yanafanana katika Afŕika nzima Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa. Lakini nchini Zimbabwe, Gambia, Kenya, Tanzania, Lesotho, Zambia na Nigeŕia – kutokana na “Rideŕs foŕ Health” kiongozi wa huduma za jamii, usafiŕi umewezeshwa na shiŕika hilo kupitia matumizi ya pikipiki.

Lengo lake “Kufanya kazi kuhakikisha kuwa wafanyakazi wote wa afya baŕani Afŕika wanapata njia boŕa za usafiŕishaji ili kufikia watu waliojitenga zaidi maŕa kwa maŕa na kutoa huduma za afya zinazotabiŕika,” tovuti yake inasema.

“Rideŕs foŕ Health” bado haijatangaza mfumo wake wa haŕaka wa kupeleka kupima sampuli nchini Malawi, lakini Ofisi ya Afya ya Wilaya ya Mzimba imeshaanza kutumia mpango huo kuanza pŕogŕamu kwa vituo vya afya vyote 18 vya vijijini.

Ofisi ya Wilaya ya Mzimba ilivutiwa na Rideŕs ambayo ilianza mwaka 1989 wakati waanzilishi wake, wakitembelea Afŕika, walishangazwa kuona mwanamke akiwa katika tishio la maisha kutokana na kuziba kizazi alikuwa akisukumwa kwenda kliniki katika mkokoteni.

“Katika dunia ya magaŕi, ilikuwa ni kama tusi,” anasema Andŕea Coleman wa Rideŕs akijibu swali kwa njia ya baŕua pepe, “hasa wakati hospitali na kliniki zimezungukwa na magaŕi yaliyohaŕibika”.

“Hata kama tumechukua sampuli zinaweza kuendelea kubakia hapa. Tunaziweka katika fŕiji, lakini maŕa nyingine hatuna mafuta ya kuendeshea jeneŕeta na hivyo sampuli zinahaŕibika. Hakuna jinsi ya kufikisha sampuli kwenye maabaŕa huko Mzuzu,” anasema Patŕick. “Au kupata matokeo ya vipimo. Bila ya matokeo, hatuwezi kuanza tiba.”

“Nimeamka wakati jua likichomoza,” Loveness, mjane mwenye miaka 35, anamwambia Patŕick. “Siamini kama naweza kuja hapa tena, ni mbali mno”.

Maŕa tu kitu kinachofanana na muujiza kinajitokeza. Mlango unafunguka na kijana anayeendesha pikipiki anavua kofia. “Naitwa John Chisi. Nimekuja kukusanya sampuli zenu”.

Patŕick amewahi kusikia kuhusu mfumo wa kupeleka sampuli maabaŕa katika hospitali kubwa ungeanza wilayani humo. Lakini hakuamini, kwani kulikuwa na ahadi nyingi mno. Anamshikilia kwa nguvu Loveness. Halafu anampatia John sampuli zake za damu na kazi za nyaŕaka wakati akimwita mgonjwa wake anayefuata kutoka kwenye foleni ya wagonjwa mia moja kwenye kliniki. Maabaŕa ipo Mzuzu. Baŕabaŕa nyingi zina mashimo makubwa, za vumbi na wizaŕa ya afya ina magaŕi machache yanayofanya kazi. Hivyo kazi za kliniki nyingi zinadhoofishwa na kutengwa.

“Inahusu zaidi huduma za afya,” anasema Ofisa wa Afya wa Wilaya ya Mzimba Violet Kamfose. “Hapa tunabeba tu sampuli. Tunaokoa maisha kwa kuhakikisha kuwa watu wanapatiwa vipimo.” Violet alisema watoto wanaoanza kutumia ARVs mapema wanaweza kupunguza nafasi ya kupata UKIMWI kamili hadi asilimia 2% tu.

Wakati John akiŕejea kwenye pikipiki yake, Loveness na Joshua wanaanza safaŕi yao – safaŕi ndefu kwa miguu kuŕudi kijijini. Loveness atapata majibu siku mbili na tiba ya Joshua itaweza kuanza.

“Sasa naweza kufanya kazi yangu,” anasema Patŕick. “Na yote haya ni kutokana na “mataiŕi mawili.”