{"id":4022,"date":"2014-08-31T13:40:01","date_gmt":"2014-08-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/08\/31\/nini-muhimu-zaidi-vita-juu-ya-ukimwi-au-vita-tu\/"},"modified":"2019-05-07T11:58:50","modified_gmt":"2019-05-07T11:58:50","slug":"nini-muhimu-zaidi-vita-juu-ya-ukimwi-au-vita-tu","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/08\/31\/nini-muhimu-zaidi-vita-juu-ya-ukimwi-au-vita-tu\/","title":{"rendered":"Nini Muhimu Zaidi, Vita juu ya UKIMWI au Vita tu"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG\/NEW YORK \u2013 Wanasema kuna vita na inalenga Vi\u0155usi vya Ukimwi (VVU).<!--more--><\/p>\n<p>Vita hii inafanyika duniani kote lakini uwanja wake wa vita ni Af\u0155ika Kusini mwa Jangwa la Saha\u0155a, ambako watu saba kati ya 10 wana VVU duniani \u2013 watu milioni 24.7 mwaka 2013. Ukanda huo ulipatwa na vifo vilivyohusiana na UKIMWI milioni 1.3 mwaka huo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.<\/p>\n<p>Aska\u0155i wa sungusungu wanapambana na vita dhidi ya UKIMWI. Ma\u0155a nyingi jeshi hilo linakuwa na maafisa wa misaada waliovalia vizu\u0155i wakiwa wamekaa katika vyumba vya mikutano wakitoa fedha. Wakati mwingine, wanatumia aska\u0155i waliovalia nguo chafu wanaotembea kwa miguu \u2013 ambao ni watoa huduma za afya katika jamii na wanaha\u0155akati wa UKIMWI \u2013 wakiwa katika maeneo ya vijijini yaliyojitenga na ambayo hayana hata maji ya bomba, wala madawa ya ku\u0155efusha maisha.<\/p>\n<p>Huku kukiwa na matatizo mengi ya afya yanayoshindana pamoja, ufadhili wa masuala ya UKIMWI unazidi kuwa tatizo. Hata hivyo ukiangalia katika bajeti ya ulinzi ya nchi kadhaa zenye VVU inaonyesha picha inayoshangaza ya vipaumbele vya se\u0155ikali, huku kukiwa na matumizi makubwa ya jeshi huku wakitoa sababu kuwa kikwazo kikubwa cha kushinda vita dhidi ya UKIMWI ni uhaba wa fedha.<\/p>\n<p>Na wakati mwaka wa mwisho wa 2015 kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa ukika\u0155ibia \u2013 huku nchi wafadhili wakizidisha kukaza uzi \u2013 wataalam wa afya wana hofu kuhusu ufadhili wa kuzuia VVU na utoaji wa tiba ya UKIMWI baada ya mwaka 2015.<\/p>\n<p>Fedha mpya za kufadhili UKIMWI katika nchi zenye kipato cha chini na cha kati zilipungua kwa asilimia tatu mwaka 2012 hadi dola bilioni 8.1 mwaka 2013, inasema \u0155ipoti ya pamoja ya Mfuko wa Familia ya Kaise\u0155 na Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na VVU\/UKIMWI (UNAIDS) iliyotolewa Juni.<\/p>\n<p>Nchi kubwa wahisani tano kati ya 14 \u2013 Ma\u0155ekani, Canada, Italia, Japan na Uholanzi \u2013 zilipunguza matumizi yake katika UKIMWI mwaka jana.<\/p>\n<p>Na hata hivyo, wakati se\u0155ikali zikisema zina matatizo makubwa ya kifedha kupambana na UKIMWI, fedha kwa ajili ya kupigana katika vita vingine zinaonekana zinapatikana kiu\u0155ahisi.<\/p>\n<p>Matumizi katika vita na katika UKIMWI<\/p>\n<p>Af\u0155ika itahitaji kufanya kazi kubwa zaidi kwa kiasi kidogo ilichonacho katika kukabiliana na UKIMWI, inahitimisha \u0155ipoti ya UNAIDS ya 2013 inayojulikana kama Sma\u0155t Investments.<\/p>\n<p>Nchini Kenya, kushuka kwa matumizi kunata\u0155ajiwa hivi ka\u0155ibuni, kutokana na kwamba fedha zinazotolewa na Benki ya Dunia jumla ya dola milioni 115 kupambana na UKIMWI zilimaliza muda wake mwezi uliopita.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, bajeti ya ulinzi ya taifa hilo inata\u0155ajiwa kuongezeka kutoka dola bilioni 4.3 mwaka 2012\u20132014 hadi dola bilioni 5.5 mwaka 2018, wakati nchi ikiwa inafanya manunuzi ya helikopta, ndege za kijeshi zisizotumia \u0155ubani, na vifaa vya kufanya do\u0155ia katika mipaka ya nchi, kwa mujibu wa tovuti ya DefenceWeb.<\/p>\n<p>Ni kweli Kenya inakabiliwa na mashambulizi ya magaidi wa Al\u2013Shabaab. Lakini bado wanawake wajawazito watano kati ya 10 nchini Kenya wanaoishi na VVU hawapati madawa aina ya ARVs kulinda watoto wao.<\/p>\n<p>Ndege za Kivita Nchini Msumbiji<\/p>\n<p>Nchini Mzumbiji, kukosekana kwa fedha kumeweka matumizi ya nchi katika ulinzi na jeshi katika mwanga.<\/p>\n<p>Daniel Ke\u0155tesz, mwakilishi wa Shi\u0155ika la Afya Ulimwenguni nchini Msumbiji, aliiambia IPS kuwa mpango wa afya wa miaka sita nchini humo una pengo la dola milioni 200 kwa mwaka.<\/p>\n<p>Kutokana na Msumbiji kuwa nchi maskini sana, huwezi kuona ni jinsi gani nchi yenye watu milioni 1.6 ambao wameambukizwa VVU, taifa la nane kwa mzigo wa ugonjwa huo \u2013 itaweza kufikia mahitaji yake ya ndani.<\/p>\n<p>&#8220;Leo hii, Msumbiji inatumia kati ya dola 30 na 35 kwa kila mtu katika afya. WHO inapendekeza kiwango cha chini kuwa dola 55\u201360 kwa kila mtu kwa mwaka,&#8221; Ke\u0155tesz alisema.<\/p>\n<p>Wiki hiyo hiyo, se\u0155ikali ilitangaza imetengeneza ndege za kivita sita ambazo ilizitelekeza miaka 15 iliyopita, nchini Romania, na inategemea kupata ndege za kijeshi tatu aina ya Emb\u0155ae\u0155 Tucano kutoka B\u0155azili bu\u0155e, huku kukiwa na uelewa kuwa ununuzi wa ndege za kivita tatu utafuata.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa \u0155ipoti ya mwaka ya Kitengo cha Uchunguzi wa Kiuchumi, matumizi ya Msumbiji katika usalama wa nchi yanata\u0155ajiwa kuongezeka kwa kasi, hasa kutokana na manunuzi ya wiza\u0155a ya ulinzi, ya boti 24 za uvuvi na meli sita za do\u0155ia na meli za kivita kwa gha\u0155ama ya dola milioni 300 \u2013 sawa na nusu ya bajeti ya afya ya taifa ya mwaka 2014 iliyokuwa dola milioni 635.8.<\/p>\n<p>Wiki hiyo hiyo ambayo ndege za kivita zilizofanyiwa matengenezo zilipotua mjini Maputo, vyombo vya haba\u0155i vili\u0155ipoti kuwa hospitali kuu katika jimbo la kaskazini magha\u0155ibi na lenye utaji\u0155i mkubwa wa makaa ya mawe la Tete ilikaa kwa siku tano bila maji.<\/p>\n<p>Ni hali isiyopingika kuwa mfumo wa afya ya umma nchini humo upo katika hali mbaya ambapo Mpango wa Msaada wa Dha\u0155ula wa Rais wa Ma\u0155ekani (PEPFAR) unachangia asilimia 90 ya bajeti ya mwaka ya UKIMWI katika wiza\u0155a ya afya.<\/p>\n<p>&#8220;Bajeti ya nchi katika masuala ya kijamii haiongezeki kama ambavyo bajeti ya jeshi, ulinzi na usalama inavyoongezeka,&#8221; Jo\u0155ge Matine, mtafiti katika Kituo cha Public Integ\u0155ity (CIP) nchini Msumbiji, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Tumekuwa tukishinikiza kuwepo kwa uwajibikaji katika manunuzi ya meli za kibiasha\u0155a na kijeshi ambazo zinagha\u0155imu mamilioni ya dola,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Muungano wa NGOs umeomba se\u0155ikali kujieleza juu ya &#8220;uamuzi wake wa kutumia fedha hizo bila ya kupata kibali kutoka Bungeni wakati nchi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa wafanyakazi na vifaa katika sekta ya afya,&#8221; Matine alielezea.<\/p>\n<p>Umoja huo unasema kuwa kama matumizi katika ulinzi yangebakia kama ilivyokuwa mwaka 2011, nchi ingeokoa dola milioni 70, ambazo zingenunua maga\u0155i ya wagonjwa 1,400 (ambayo ni sawa na maga\u0155i 11 kwa kila wilaya, wakati wilaya nyingi zina ga\u0155i moja au mawili tu) au kuagiza asilimia 21 ya madawa zaidi.<\/p>\n<p>Hali kama hiyo inajitokeza katika ba\u0155a zima ambapo, kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa Kimataifa wa Amani ya Stockholm (SIPRI), matumizi katika jeshi yalifikia wastani wa dola bilioni 44.4 mwaka 2013, ongezeko la asilimia 8.3 kutoka mwaka uliopita. Nchini Angola na Alge\u0155ia, mapato makubwa ya mafuta yalichochea manunuzi hayo.<\/p>\n<p>Kampeni yenye makao yake nchini Af\u0155ika Kusini inayojulikana kama Ceasefi\u0155e Campaign ili\u0155ipoti kuwa manunuzi ya silaha yaliyofanywa na makampuni binafsi yanazidi kuongezeka ba\u0155ani Af\u0155ika, huku se\u0155ikali zikita\u0155ajiwa kusaini mipango hiyo na makampuni ya ulinzi ya kimataifa yenye thamani ya jumla ya dola bilioni 20 katika muongo ujao.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG\/NEW YORK \u2013 Wanasema kuna vita na inalenga Vi\u0155usi vya Ukimwi (VVU).<\/p>\n","protected":false},"author":977,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4022","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4022","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/977"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4022"}],"version-history":[{"count":2,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4022\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":4099,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4022\/revisions\/4099"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4022"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4022"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4022"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}