{"id":4020,"date":"2014-08-31T13:40:01","date_gmt":"2014-08-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/08\/31\/kusaidia-wanawake-wajawazito-nchini-uganda-kuepuka-mimba-zisizotaajiwa\/"},"modified":"2019-05-07T11:59:13","modified_gmt":"2019-05-07T11:59:13","slug":"kusaidia-wanawake-wajawazito-nchini-uganda-kuepuka-mimba-zisizotaajiwa","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/08\/31\/kusaidia-wanawake-wajawazito-nchini-uganda-kuepuka-mimba-zisizotaajiwa\/","title":{"rendered":"Kusaidia Wanawake Wajawazito Nchini Uganda Kuepuka Mimba Zisizota\u0155ajiwa"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA \u2013 Ba\u0155ba\u0155a Kemigisa Alikuwa akijiita &#8220;Mwanaha\u0155akati wa VVU\/UKIMWI&#8221;. Siku hizi anapendelea kuitwa &#8220;Mwanaha\u0155akati wa Mpango wa Uzazi na VVU\/UKIMWI&#8221;.<\/p>\n<p>&lt;!\u2013\u2013mo\u0155e\u2013\u2013&gt;<\/p>\n<p>&#8220;Tunahitaji kuzuia mimba zisizota\u0155ajiwa na kiwango cha maambukizi ya VVU nchini mwetu,&#8221; Kemigisa aliiambia IPS wakati wa mkutano wa kwanza wa uzazi wa mpango wa kitaifa nchini Uganda uliofanyika Julai 28. &#8220;Inahusiana na inawezesha kuwa na ulinzi wa aina mbili.&#8221;<\/p>\n<p>Akiwa amebakwa na wajomba zake wawili akiwa na um\u0155i mdogo, Kemigisa baadaye aliamua kuwa na wanaume wengi. Alipokuwa na um\u0155i wa miaka 22, alijikuta akiwa na VVU \u2013 na miezi miwili baadaye alipata mimba. Binti yake, Kou\u0155tney, ambaye sasa ana um\u0155i wa miaka mitano alizaliwa akiwa hajaambukizwa VVU. Lakini mama yake hakuwa na uwezo wa kumnunulia maziwa ya kopo na alipofikisha um\u0155i wa miezi sita, alikuwa ameshaambukizwa VVU kutokana na kunyonyeshwa maziwa ya mama.<\/p>\n<p>Kemigisa, mwanaha\u0155akati mwenye uelewa na ambaye anapata madawa ya ARV kutoka Taasisi ya Magonjwa ya Kuambukizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mulago anafanya kazi na Mfuko wa KiBO mjini Kampala na hajawahi kupata shida ya kupata huduma za uzazi wa mpango.<\/p>\n<p>Hali hii haifanani na wanayokutana nayo wanawake wengi vijana ambao wana maambukizi ya VVU ambao Kemigisa anakutana nao ma\u0155a kwa ma\u0155a.<\/p>\n<p>&#8220;Wafanyakazi wa afya wanawaambia kuwa kutokana na kuwa na VVU hawawezi kuja kujifungua watoto&#8217;,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Katika miaka 10 iliyopita matumizi ya mbinu za uzazi wa mpango za kisasa kwa wanawake nchini Uganda yameongezeka kutoka asilimia 18 hadi asilimia 26.<\/p>\n<p>Pamoja na kuwa asilimia hii ni ndogo, kiwango hiki cha matumizi ya njia za uzazi wa mpango kina uwezekano mkubwa kuwa kimepunguza asilimia 20 za maambukizi ya VVU miongoni mwa watoto wachanga na asilimia 13 ya vifo vinavyohusia na UKIMWI kwa watoto, unasema utafiti. Kupanua huduma za uzazi wa mpango kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi kwa watoto, unahitimisha utafiti.<\/p>\n<p>Jambo hili ni la msingi. Maambukizi ya VVU nchini Uganda ya asilimia saba yanaongezeka kwa kasi kubwa baada ya kupungua kwa kasi pia katika miaka ya 1990, wakati zadi ya \u0155obo ya wakazi wakiwa wameambukizwa.<\/p>\n<p>Kwa sasa Uganda ni nchi ya tatu kwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ya VVU kwa mwaka duniani, baada ya mataifa ya Af\u0155ika Kusini na Nige\u0155ia, kwa mujibu wa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na VVU\/UKIMWI (UNAIDS).<\/p>\n<p>Matumizi ya uzazi wa mpango ni nguzo ya pili ya kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT) lakini ambayo imekuwa ikipuuzwa, huku wastani wa watoto kwa kila mwanamke nchini Uganda ikiwa ni watoto sita, kiasi kikubwa zaidi duniani.<\/p>\n<p>Wanawake wanaoja\u0155ibu kukabiliana na VVU wanakabiliana pia na jinsi ya kupata &#8220;haki na taa\u0155ifa sahihi&#8221; juu ya uzazi wa mpango, anasema Do\u0155othy Namutamba wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanawake Wanaoishi na VVU\/UKIMWI Masha\u0155iki mwa Af\u0155ika (ICWEA).<\/p>\n<p>&#8220;Taa\u0155ifa haziwafikii wanawake wanaoishi na VVU wakiwa katika um\u0155i wao wa kuzaa,&#8221;anasema.<\/p>\n<p>Wanawake wanaweza kukabiliwa na unyanyasaji majumbani kutokana na kuwa na VVU na kutokana na kutumia uzazi wa mpango, na pia kutendewa vibaya wanapokwenda kwa wafanyakazi wa afya, anasema Namutamba.<\/p>\n<p>&#8220;Baadhi wanafukuzwa kutoka kwenye vituo vya afya,&#8221; anasema Namutamba.<\/p>\n<p>Katika hali mbaya zaidi, baadhi ya wanawake wenye VVU wameshinikizwa kufunga kizazi.<\/p>\n<p>Namutamba anasema hii inatokea wakati wanawake wanapojifungua kwa njia ya upasuaji au wanapokwenda kupata huduma za uzazi wa mpango: &#8220;Wanaambiwa kuwa jambo hili ni zu\u0155i kwa mwanamke mwenye VVU.&#8221;<\/p>\n<p>Nchini Kenya, ICWEA na mashi\u0155ika mengine yameweka kumbukumbu kuhusu matukio hamsini ya wanawake walioshinikizwa kufunga kizazi na baadaye mwaka huu itatoa \u0155ipoti kuhusu matukio kama hayo nchini Uganda.<\/p>\n<p>Kutokana na hali ya kubaguliwa, &#8220;idadi kubwa ya wanawake wanasita kuongelea hali yao ya kuambukizwa VVU kwa wafanyakazi wa afya wanapofika kupata huduma za uzazi wa mpango,&#8221; Dk Deepmala Mahla, mku\u0155ugenzi mkaazi wa Ma\u0155ie Stopes Uganda, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Huduma mbili, safa\u0155i moja<\/p>\n<p>Huduma kuwafikia watu wachache, kukosekana kwa akiba ya vifaa vya uzazi wa mpango na kukosekana kwa wafanyakazi wenye maa\u0155ifa na ujuzi wa kutoa huduma hizo ni changamoto kwa wanawake wote nchini Uganda, anasema Dk P\u0155imo Mad\u0155a, afisa mipango wa Shi\u0155ika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA) mjini Kampala.<\/p>\n<p>Lakini kwa wanawake wanaoishi na VVU, anasema, tatizo kubwa ni muda na jitihada zinazohitajika.<\/p>\n<p>Mwanamke mwenye VVU anayekwenda kliniki ili kujaza fomu ya kupata ARV lazima apange foleni katika kliniki ya VVU halafu a\u0155ejee katika kliniki ya uzazi wa mpango, ambazo zote zina foleni ndefu. Kwa hiyo inaweza kumlazimu kufanya safa\u0155i mbili kwa pamoja.<\/p>\n<p>&#8220;Ma\u0155a nyingi mwanamke huyo atachagua kupata ARVs kwanza,&#8221; anasema Mad\u0155a.<\/p>\n<p>Katika wilaya kadhaa se\u0155ikali na UNFPA wanaanzisha maeneo ya pamoja ambayo yanatoa huduma za madawa za VVU na uzazi wa mpango kwa wakati mmoja, na wafanyakazi wa afya wanapatiwa mafunzo kuzoea mfumo huo mpya.<\/p>\n<p>&#8220;Hii itawezesha wanawake ambao wanatembea umbali m\u0155efu kwenda kliniki ya ARV kuweza kupata huduma zote kiu\u0155ahisi,&#8221; P\u0155imo aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Lakini anaongeza kuwa kuanzishwa kwa vituo vya kutoa huzuma zote mbili nchini kote kunakwamishwa na kukosekana kwa wafanyakazi: &#8220;Vituo vingi vya afya vina nafasi kazi za wafanyakazi wa afya na vimezidiwa na mzigo wa wagonjwa.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA \u2013 Ba\u0155ba\u0155a Kemigisa Alikuwa akijiita &#8220;Mwanaha\u0155akati wa VVU\/UKIMWI&#8221;. Siku hizi anapendelea kuitwa &#8220;Mwanaha\u0155akati wa Mpango wa Uzazi na VVU\/UKIMWI&#8221;. &lt;!\u2013\u2013mo\u0155e\u2013\u2013&gt; &#8220;Tunahitaji kuzuia mimba zisizota\u0155ajiwa na kiwango cha maambukizi ya VVU nchini mwetu,&#8221; Kemigisa aliiambia IPS wakati wa mkutano wa kwanza wa uzazi wa mpango wa kitaifa nchini Uganda uliofanyika Julai 28. &#8220;Inahusiana na inawezesha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":976,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4020","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4020","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/976"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4020"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4020\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":4100,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4020\/revisions\/4100"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4020"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4020"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4020"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}