{"id":4018,"date":"2014-08-26T13:40:01","date_gmt":"2014-08-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/08\/26\/nigeia-yaamka-kukabiliana-na-tishio-la-ukimwi-2\/"},"modified":"2014-08-26T13:40:01","modified_gmt":"2014-08-26T13:40:01","slug":"nigeia-yaamka-kukabiliana-na-tishio-la-ukimwi-2","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/08\/26\/nigeia-yaamka-kukabiliana-na-tishio-la-ukimwi-2\/","title":{"rendered":"Nige&#341;ia Yaamka Kukabiliana na Tishio la UKIMWI"},"content":{"rendered":"<p>Lagos, Nige&#341;ia, Agosti 25, 2014 (IPS) &ndash; Ndoa ya Tope Tayo ilivunjika miaka 11 iliyopita baada ya kugundulika alikuwa na VVU. Mume wake aliyekuwa na hasi&#341;a alimchukua mtoto wao wa pekee. Miezi mitatu baadaye, wakati mtoto wa kiume aliyekuwa na um&#341;i wa mwaka mmoja alipogundulika kuwa na vi&#341;usi, mwanaume huyo alikwenda kumtupia Tayo na kumtelekeza.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Alitutelekeza kana kwamba tulifanya uhalifu lakini nilimwambia kupata maambukizi ya VVU siyo uhalifu,&#8221; Tayo aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mwanamke huyo alikuwa hana aji&#341;a na mume wake hakulipia chochote cha matunzo ya mtoto. &#8220;Nilitebea mtaani na kuanza kulia, niliishi kwa kutegemea msaada,&#8221; Tayo anakumbuka.<\/p>\n<p>Mwanaume kutelekeza mke mwenye VVU na watoto ni suala la kawaida nchini Nige&#341;ia, anasema Rosema&#341;y Hua, m&#341;atibu wa shi&#341;ika la kutetea haki za watoto la &#8220;Fi&#341;st Step Action fo&#341; Child&#341;en&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Akina baba wanaondoa msaada wao kwa familia kwasababu wanahisi hakuna haja ya kuendelea kuwekeza kwa mtoto ambaye ana uwezekano wa kufa&#341;iki dunia akiwa bado mdogo,&#8221; Hua aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kiwango cha maambukizi cha asilimia 3.2 nchini Nige&#341;ia kinaonekana kuwa cha chini ikilinganishwa na kusini mwa Af&#341;ika, lakini ikiwa na idadi ya watu milioni 173, asilimia hiyo inatafsi&#341;iwa kuwa idadi kubwa ya watu &ndash; milioni 3.4 ya Wanige&#341;ia walikuwa na VVU mwaka 2013.<\/p>\n<p>Miongoni mwa hawa, watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka 14 ni 430,000, kwa mujibu wa &#341;ipoti ya hivi ka&#341;ibuni ya Shi&#341;ika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS). Nige&#341;ia inabeba theluthi moja ya maambukizi yote mapya kwa watoto katika nchi 20 zilizoathi&#341;ika zaidi na ugonjwa huo katika Af&#341;ika Kusini mwa Jngwa la Saha&#341;a.<\/p>\n<p>Ripoti hiyo inasema Nige&#341;ia inakabiliwa &#8220;na vitisho vitatu ambavyo ni mzigo mkubwa wa VVU, kutokupungua au kupungua kidogo sana kwa maambukizi mapya ya VVU na utoaji wa tiba kwa idadi ndogo ya waathi&#341;ika.&#8221;<\/p>\n<p>Hata hivyo, kiwango cha VVU kitaifa kinaonyesha tofauti kubwa iliyopo miongoni mwa majimbo 36 nchini humo: katika majimbo manne, kiwango cha maambukizi kinatofautiana kati ya asilimia nane hadi 15.<\/p>\n<p>Kwa nini wanawake hawataki kupima<\/p>\n<p>Tayo na mtoto wake wamekuwa wakitumia madawa ya ku&#341;efusha maisha kwa miaka 11 iliyopita sasa. Hawa wana bahati. Chini ya Wanige&#341;ia 600,000 wanatumia madawa hayo, au asilimia 20 tu ya wale wanaoyahitaji.<\/p>\n<p>Utoaji tiba kwa wachache unasababisha kuwepo kwa imani potofu na unyanyapaa, kama ambavyo haba&#341;i ya Tayo inavyoelezea.<\/p>\n<p>Kutelekezwa ma&#341;a nyingi kuna maana kuwa kujiingiza katika ugumu wa maisha kiuchumi. Nusu ya wanawake nchini Nige&#341;ia hawana aji&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Hofu ya kuendesha maisha yake peke yake au pamoja na kutunza mtoto wake kunasababisha wanawake wenye VVU kujitumbukiza katika ngono ili kupata fedha za kujikimu na hii inaweza sababisha kusambaza vi&#341;usi zaidi,&#8221; anasema Lucy Attah, mwanaha&#341;akati wa jinsia ambaye anaishi na VVU. Yeye ni mku&#341;ugenzi wa shi&#341;ika la kusaidia wanawake wanaoishi na VVU la &#8220;Women and Child&#341;en of Hope Foundation&#8221;, ambako IPS ilikutana na Tayo.<\/p>\n<p>Tayo aliiambia IPS kuwa alikataa kupima alipokuwa na mimba. Hospitali za umma nchini Nige&#341;ia zinapima ma&#341;a kwa ma&#341;a wanawake wajawazito lakini hofu ya kubaguliwa kama ukikutwa una vi&#341;usi kulisababisha Tayo kwenda kwenye hospitali za binafsi ambako siyo lazima kupima.<\/p>\n<p>&#8220;Ni jambo kubwa ninalolijutia katika maisha yangu,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Sababu moja ambapo wanawake wenye mimba wanakataa kupima, anasema Hua, ni kutokana na wafanyakazi wa afya &#8220;kukosa weledi kwa kushindwa kutunza si&#341;i za matokeo ya wagonjwa wanaokutwa na VVU.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Kuna wakati inatubidi kupeleka wagonjwa katika hospitali ambazo ziko mbali na mahali tunapoishi kwasababu ya kuenezwa kwa taa&#341;ifa zao juu ya kuwa na vi&#341;usi,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Baadhi ya wafanyakazi wa afya hawataki kugusana na wanawake wenye VVU kwasababu wana imani kuwa wanaweza kuambukizwa vi&#341;usi kwa kuwagusa, anasema Attah.<\/p>\n<p> &#8220;Kwa juu juu inaonekana kuwa kuna uelewa mkubwa miongoni mwa wafanyakazi wa afya lakini katika uhalisia kuna unyanyapaa mkubwa,&#8221; anasema Attah.<\/p>\n<p>She&#341;ia dhidi ya ubaguzi na kutunza si&#341;i za wagonjwa imeshapitishwa na bunge na sasa inasubi&#341;i kutiwa saini na Rais Goodluck Jonathan.<\/p>\n<p>Lakini Nige&#341;ia inahitaji zaidi ya kuwa na she&#341;ia kukabiliana na ugonjwa huo.<\/p>\n<p>Mwaka 2012, UNAIDS ilielezea kuwa taifa hilo limesimama katika kuchukua hatua stahiki na zinazohitajika kupambana na ugonjwa huo.&#8221;<\/p>\n<p>Nige&#341;ia ina asilimia 13 ya watu wanaoishi na VVU na asilimia 19 ya vifo vinavyohusiana na VVU katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, kwa mujibu wa UNAIDS.<\/p>\n<p>Ni taifa la Chad pekee lipo chini ya Nige&#341;ia katika utoaji wa tiba kwa wanawake wajawazito wanaishi na VVU.<\/p>\n<p>Haba&#341;i njema<\/p>\n<p>Tangu kutolewa kwa taa&#341;ifa hizo, se&#341;ikali imechukua hatua kali kupunguza maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT) miongoni mwa majimbo 12 yaliyoathi&#341;ika zaidi.<\/p>\n<p>Huduma za utoaji wa madawa kwa PMTCT zilifika asilimia 27 mwaka 2013, kiwango kikubwa ikilinganishwa na asilimia 19 mwaka 2012, kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF).<\/p>\n<p>Baadhi ya majimbo yaliongeza ma&#341;a mbili au tatu idadi ya kliniki zinazotoa huduma za VVU, na hivyo kufikisha idadi ya vituo vya afya vinavyotoa huduma za PMTCT kufikia 2,216 &ndash; pamoja na kwamba bado ni idadi ndogo ikilinganishwa na mahitaji ya vituo 16,400.<\/p>\n<p>Maambukizi ya kila mwaka kwa watoto yalishuka kutoka 60,000 mwaka 2012 hadi 51,000 mwaka 2013.<\/p>\n<p>Lakini, hali ikionyesha kuwa wanawake wawili katika kila watatu wenye mimba hukataa kutumia huduma za kliniki, changamoto inayobakia ni jinsi ya kuwafikia kwa kubo&#341;esha huduma na kuwapatia taa&#341;ifa.<\/p>\n<p>&#8220;Lazima tuwafikie badala ya kusubi&#341;i waje kwetu katika vituo vya afya,&#8221; A&#341;jan de Wagt, mkuu wa VVU na watoto katika UNICEF nchini Nige&#341;ia, aliiambia IPS. &#8220;Tusipofanya hivyo watoto wataendelea kufa&#341;iki dunia kutokana na gonjwa la UKIMWI.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Lagos, Nige&#341;ia, Agosti 25, 2014 (IPS) &ndash; Ndoa ya Tope Tayo ilivunjika miaka 11 iliyopita baada ya kugundulika alikuwa na VVU. Mume wake aliyekuwa na hasi&#341;a alimchukua mtoto wao wa pekee. Miezi mitatu baadaye, wakati mtoto wa kiume aliyekuwa na um&#341;i wa mwaka mmoja alipogundulika kuwa na vi&#341;usi, mwanaume huyo alikwenda kumtupia Tayo na kumtelekeza&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":450,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4018","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4018","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/450"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4018"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4018\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4018"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4018"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4018"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}