{"id":4010,"date":"2014-03-13T13:40:01","date_gmt":"2014-03-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/03\/13\/matumaini-kwa-vijana-wanaoishi-na-vvu-kaskazini-mwa-ghana\/"},"modified":"2014-03-13T13:40:01","modified_gmt":"2014-03-13T13:40:01","slug":"matumaini-kwa-vijana-wanaoishi-na-vvu-kaskazini-mwa-ghana","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/03\/13\/matumaini-kwa-vijana-wanaoishi-na-vvu-kaskazini-mwa-ghana\/","title":{"rendered":"Matumaini kwa Vijana Wanaoishi na VVU Kaskazini mwa Ghana:"},"content":{"rendered":"<p>TAMALE, Machi 13, 2014 (IPS) &ndash; Ikiwa machozi yanamti&#341;i&#341;ika shavuni mwake, Zainab Salifu alipanga foleni katika kitengo cha tiba ya homa katika Hospitali ya Mafunzo ya Tamale kaskazini mwa Ghana. Mapema siku hii, kijana huyo mwenye um&#341;i wa miaka 18 alishaonekana kuwa na Vi&#341;usi Vya Ukimwi (VVU).\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Pamoja na aina ya ushau&#341;i nasaha alioupata kutoka kwa nesi Felicity Bampo, Salifu aliuona ulimwengu wake ukimwangukia. Alifiki&#341;ia afadhali angekufa tu. Salifu aliiambia IPS, alianza kutetemeka na kuanguka sakafuni. Watu walimwangalia. Halafu mwanaume mwenye um&#341;i wa makamo, alimchukua na kumpeleka katika kona moja ya hospitali hiyo kimyakimya. Sulemana Sulley alimwambia Salifu kuwa yeye mwenyewe aliambukizwa VVU miaka 10 iliyopita baada ya kuwa na wapenzi wengi na bila kujua alimwambukiza pia mke wake. Lakini wanandoa hao waliendelea kuishi pamoja, na wote wanatumia madawa ya ku&#341;efusha maisha (ARV), na wameshapata watoto wawili ambao hawajaambukizwa VVU. &#8220;Huu siyo wakati wa kulia,&#8221; alimwambia Salifu. &#8220;Kubali hali uliyo nayo. VVU siyo kibali cha kifo. Elekeza nguvu zako katika kutumia ARVs, kula chakula bo&#341;a na fanya sana mazoezi.&#8221; &#8220;Wewe hauko peke yako, kila mmoja wetu anaweza kuambukizwa vi&#341;usi. Hebu ona mimi nilivyo,&#8221; aliongeza. Sulley anafanya kazi katika kikundi cha kujitolea cha &#8220;Model of Hope&#8221;, ambacho kilianzishwa na shi&#341;ika la &#8220;Catholic Relief Se&#341;vices&#8221;. Kikundi hicho kina wanachama 19 katika eneo la Tamale na wana mafunzo kama washau&#341;i nasaha wa kujitolea wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi ya Ghana. Mji huo ukiwa na wakazi 540,000, Tamale, iliyopo tak&#341;ibani kilomita 600 kaskazini mwa mji mkuu wa Ghana wa Acc&#341;a, unakuwa mji wa nne kwa ukubwa na makao makuu ya ukanda wa kaskazini. Kila Jumanne na Ijumaa, siku maalum katika Hospitali ya Tamale kwa ajili ya kupima VVU na kuchukua ARV, wafanyakazi wa kujitolea wanakuwepo hapo kusaidia watu wapambane vema na matokeo mapya ya vipimo na kuangalia ni jinsi gani wagonjwa wanaotumia tiba wanakabiliana na ugonjwa. Kwa mujibu wa Bampo, upimaji na utoaji wa huduma za ushau&#341;i nasaha huwafikia wastani wa vijana sita hadi 10 kwa siku, ma&#341;a nyingi kupitia madakta&#341;i wa &#341;ufani. Wachache wanafika hapo kwa kupenda wao wenyewe, aliiambia IPS. &#8220;Upimaji wa vi&#341;usi kwa hia&#341;i siyo jambo linalofanyika ma&#341;a kwa ma&#341;a miongoni mwa vijana kwasababu wanahofia unyanyapaa&#8221;, alisema. Miongoni mwa vijana wenye um&#341;i wa kufanya mapenzi kati ya miaka 15&ndash;24, ni wanne tu kati ya 10 miongoni mwa watoto wa kike na wawili kati ya kumi miongoni mwa watoto wa kiume wamepima afya zao, kwa mujibu wa Utafiti wa Viashi&#341;ia Vingi Ghana (MICS) wa mwaka 2011. <\/p>\n<p> &#8220;Watu wengi wanatambua VVU ni nini na baadhi ya dlili zake lakini wachache wanajua kuwa ARVs inaweza kuongeza mfumo wa kinga mwilini na mtu anaweza kuishi maisha ma&#341;efu,&#8221; alisema Bampo.<\/p>\n<p>Maambukizi madogo, unyanyapaa mkubwa Kwa wastani Ghana ina maambukizi ya chini ya VVU kwa asilimia 1.4, kutoka asilimia 2.3 ya mwaka 2001. Lakini maambukizi ya chini yanaleta matatizo yake: kukosekana kwa uelewa wa jinsi ya kuusimamia ugonjwa, viwango vya juu vya unyanyapaa na viwango vya chini vya kuvumiliana. Ni asilimia sita tu ya wanawake na asilimia 15 ya wanaume wenye um&#341;i kati ya miaka 15 na kuendelea wanakubaliana na suala la kuishi na VVU, kwa mujibu wa MICS. Salifu, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika chuo cha ufundi, aliiambia IPS kuwa aliambukizwa vi&#341;usi na &#341;afiki yake wa kiume. Waliachana naye lakini bado hajaweza kukubali kumwambia yeye wala familia yake kuhusu suala lake la kuonekana na VVU mwezi Disemba 2013. Kama ilivyo kwa Salifu, wanawake saba kati ya 10 wangeweza kuficha kuwa mwanafamilia ameambukizwa vi&#341;usi vya Ukimwi. Sulley anakosoa kuenea kwa wingi kwa mtizamo kuwa vi&#341;usi hivyo ni kifo na kwamba mtu anaweza kuambikizwa VVU kwa kuwa ka&#341;ibu na mtu ambaye ameambukizwa. &#8220;Tumeachana na upimaji wa bu&#341;e kwasababu upimaji wote sasa umeelekezwa kwa wanawake wajawazito.&#8221; &ndash; kwa mujibu wa Nuhu Musah, m&#341;atibu wa VVU na Kitengo cha Kusaidia wenye Ukimwi. Mwaka 2013, Sulley aliwapatia ushau&#341;i nasaha vijana 200 ambao waliambukizwa, huku wengi wao wakiwa wanafunzi. Wengi waliwaza kujiua, na Sulley na wafanyakazi wenzake wanatoa elimu juu ya kuishi maisha chanya na yenye fu&#341;aha. Sulley aliiambia IPS kuwa vijana kadhaa wameshajiua miaka ya ka&#341;ibuni baada ya kutambulika kuwa wanaishi na VVU. Nuhu Musah, m&#341;atibu wa VVU na Kitengo cha Kusaidia wenye Ukimwi kaskazini mwa Ghana, anasikitika kuwa Kampeni ya Tambua Hali Yako iliyoelekezwa kwa vijana ilisitishwa kutokana na kukosekana kwa vifaa vya kupimia. &#8220;Tumeshaachana na kazi zote za kupima bu&#341;e kutokana na kukosekana kwa vifaa kwasababu kwa sasa vimeelekezwa kwa wanawake wajawazito,&#8221;aliiambia IPS. Kampeni hiyo ilifanya p&#341;og&#341;amu za elimu kila mwezi katika jamii wakati wa matukio ya kitaifa, kama vile Siku ya Uhu&#341;u, kushawishi upimaji. Kwa mujibu wa Musah, ukanda wa kaskazini una vituo vinne kwa ajili ya vijana kupima VVU na afya ya kujamiiana lakini kutokana na kukosekana kwa &#341;asilimali hadi sasa havifanyi kazi. Hii haitaondoa takwimu za wachache wanaopima VVU na kuongeza ufahamu miongoni mwa vijana. Katika hali ya kitaifa, ni vijana wa kiume na vijana wa kike wanne tu kati ya 10 wenye um&#341;i kati ya miaka 15&ndash;24 wana ufahamu wa kutosha kuhusu Ukimwi , MICS iligundua.<\/p>\n<p>Kaskazini mwa Ghana kuna ufahamu wa chini zaidi wa wanaume na wanawake juu ya Ukimwi, ambao ni asilimia 17 ikilinganishwa na asilimia 47 katika Acc&#341;a Kuu. Takwimu za MICS zinaonyesha kuwa Ghana imeshindwa kufikia lengo lake la kuwezesha asilimia 95 ya vijana wenye um&#341;i kati ya miaka 15&ndash;24 wana ufahamu wa kutosha juu ya VVU ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>&#8220;Ufahamu wa kutosha wa kuzuia VVU na maamukizi bado ni mdogo nchini Ghana, pamoja na kuwa na miaka mingi ya uhamasishaji wa umma,&#8221; ulihitimisha utafiti huo. &#8220;Nguvu za pamoja zinafaa kuelekezwa kwa vijana kwani wengi wao wanaambukizwa kutokana na ufahamu wao mdogo wa VVU.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>TAMALE, Machi 13, 2014 (IPS) &ndash; Ikiwa machozi yanamti&#341;i&#341;ika shavuni mwake, Zainab Salifu alipanga foleni katika kitengo cha tiba ya homa katika Hospitali ya Mafunzo ya Tamale kaskazini mwa Ghana. Mapema siku hii, kijana huyo mwenye um&#341;i wa miaka 18 alishaonekana kuwa na Vi&#341;usi Vya Ukimwi (VVU). Pamoja na aina ya ushau&#341;i nasaha alioupata kutoka&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":974,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4010","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4010","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/974"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4010"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4010\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4010"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4010"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4010"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}