{"id":4007,"date":"2014-01-13T13:40:01","date_gmt":"2014-01-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/01\/13\/hofu-ya-kupima-viusi-vya-ukimwi-kwa-vijana-wa-zimbabwe\/"},"modified":"2014-01-13T13:40:01","modified_gmt":"2014-01-13T13:40:01","slug":"hofu-ya-kupima-viusi-vya-ukimwi-kwa-vijana-wa-zimbabwe","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/01\/13\/hofu-ya-kupima-viusi-vya-ukimwi-kwa-vijana-wa-zimbabwe\/","title":{"rendered":"Hofu ya Kupima Vi&#341;usi vya Ukimwi kwa Vijana wa Zimbabwe"},"content":{"rendered":"<p>HARARE, Jan 13, 2014 (IPS) &ndash; Natalie Mlambo* mwenye um&#341;i wa miaka kumi na saba ana sababu mbili muhimu za kupima Vi&#341;usi vya Ukimwi (VVU). Ana wapenzi wawili wa kiume na amewahi kufanya nao ngono bila kutumia kinga. Mmoja ni mwanafunzi mwenzake katika da&#341;asa la sekonda&#341;i. Mwingine ni mtu mzima, anafanya kazi benki na ana uwezo wa kumpatia Mlambo zawadi ndogo ndogo na fedha.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Ndiyo, huwa nalala nao wote wawili,&#8221; Mlambo anaiambia IPS. Na, tangu aanze kufanya nao ngono, wameshaacha kutumia kondomu. Lakini Mlambo ana wasiwasi anaweza kuwa ameambukizwa na hivyo kuhofia kupima VVU. &#8220;Naogopa,&#8221; alisema. &#8220;Ni vema kubakia gizani kuliko kujua kuwa nakabiliwa na kifo; tiba haiondoi ugonjwa huo.&#8221; Mlambo, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho sekonda&#341;i kutoka kitongoji cha watu wengi mjini Ha&#341;a&#341;e cha Kuwadzana, siyo kwamba yupo peke yake &ndash; katika kufanya mapenzi na wanaume wengi au kufanya mapenzi ili kupewa kitu, wala ambaye anaogopa kupima VVU. Felicia Chingundu, mwanaha&#341;akati katika shi&#341;ika la kutoa misaada ya Ukimwi la Shingai&ndash;Batanai mjini Masvingo, mji uliopo kilomita 300 kusini masha&#341;iki mwa Ha&#341;a&#341;e, anaona vijana wengi wakikataa kupima kila siku. &#8220;Vijana wanashi&#341;iki katika tabia hata&#341;ishi za kufanya ngono lakini ni vigumu mno kuona wanakwenda kwenye vituo vya upimaji,&#8221; Chingundu aliiambia IPS. Zimbabwe ilianzisha p&#341;og&#341;amu kabambe ya kuzuia maambukizi mapema miaka ya 1990 ambayo inasifiwa kwa kupunguza kiwango cha maambukizi kutoka asilimia 24 mwaka 2001 &ndash; moja ya viwango vya juu kabisa duniani &ndash; hadi chini ya asilimia 15 mwaka 2012, kwa mujibu wa Shi&#341;ika la UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS). Pamoja na kwamba mlolongo wa migogo&#341;o ya kiuchumi na kisiasa baada ya mwaka 2000 ilizo&#341;otesha mipango mingi, uelewa wa Ukimwi umeenea. Moja ya matokeo ni kwamba zaidi ya nusu ya vijana wenye um&#341;i kati ya miaka 15&ndash;24 wana ufahamu wa kutosha wa Ukimwi, kwa mujibu wa Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya (DHS) wa mwaka 2011 kiwango ambacho ni kikubwa zaidi ya wastani. Hata hivyo, maa&#341;ifa peke yake hayawezi kutafsi&#341;iwa katika vitendo. Wiza&#341;a ya Afya imeanzisha miundombinu ya kupima inayohama hama ambayo inatembelea shule na vituo vya kupima katika kliniki. Lakini vijana wanasema vituo hivyo siyo &#341;afiki kwa vijana. &#8220;Vijana wengi hawaji maeneo haya, wanasema yamejaa watu wazima,&#8221; alisema Mavis Chiga&#341;a, m&#341;atibu wa Mtandao wa Ukimwi wa Vijana katika wilaya ya Mwenezi katika jimbo la Masvingo nchini Zimbabwe. Mwaka 2012, shi&#341;ika lake lilifanya utafiti wa vijana 12,500 katika wilaya; na ni asilimia tano tu walikuwa wamepima VVU. <\/p>\n<p>&#8220;Kupima VVU ni sawa na kutafuta kibali cha kifo, na kutumia ARVs ni mzigo wa maisha yote,&#8221; alisema Te&#341;&#341;ence Changa&#341;a, 19, kutoka kitongoji cha kipato cha chini mjini Ha&#341;a&#341;e cha Highfield. Unyanyapaa nao unachangia. Pamoja na kuenea kwa ugonjwa na p&#341;og&#341;amu nyingi za tiba na kampeni za kusambaza taa&#341;ifa, bado ubaguzi unaendelea. &#8220;Wapenzi wangu wawili wa kiume wanatania watu wanaoishi na VVU\/Ukimwi,&#8221; alisema Mlambo. Mtizamo wao unaonyesha kuwa wenyewe hawawezi kupata ugonjwa huo, alielezea.<\/p>\n<p>Utafiti wa mwaka 2011 wa DHS ulikuta kuwa kiwango cha maambukizi cha ka&#341;ibu asilimia nne kwa vijana wa kiume na asilimia sita kwa vijana wa kike. Sensa inakadi&#341;ia kuwa kuna vijana milioni 3.1 wenye um&#341;i kati ya miaka 15&ndash;24 nchini. Faida za kupima Kupima kunaweza kuogopesha, na kuelezea kwa mshau&#341;i nasaha kuwa nilifanya ngono isiyokuwa salama kunaweza kumfanya mtu kuhisi vibaya, lakini faida zake ni nyingi. &#8220;Ni muhimu kwa vijana kujua hali zao za VVU kwasababu kutawawezesha kuanza tiba mapema na kubo&#341;esha afya zao,&#8221; alisema Judith She&#341;man, mtaalam wa VVU\/Ukimwi katika Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa nchini Zimbabwe. &#8220;Kwa vijana wenye um&#341;i mkubwa kidogo, itaondoa hata&#341;i ya kuambukiza vi&#341;usi kwa mtu mwingine,&#8221; aliongeza. &#8220;Mwisho wake, inasaidia vijana ambao hawana VVU kujilinda wasiambukizwe.&#8221; Pamoja na hofu, wanne kati ya watoto wa kike 10 katika um&#341;i wa kufanya ngono kati ya miaka 15&ndash;19 wame&#341;ipoti kupima VVU katika kipindi cha miezi 12 iliyopita, kwa mujibu wa DHS. Lakini sababu moja kubwa ya ma&#341;a kwa ma&#341;a ya kupima ni kwamba watoto wa kike walipata mimba na wanahudhu&#341;ia kliniki. &#8220;Kujipeleka kupima kwa vijana ni jambo la nad&#341;a sana,&#8221; alisema Mandy Chiwawa, mshau&#341;i nasaha wa masuala ya Ukimwi mjini Ha&#341;a&#341;e. &#8220;Kwa kweli wanahitaji msaada.&#8221; Hata hivyo, watu wengi wenye um&#341;i kati ya miaka 15&ndash;24 wanapima, ikilinganishwa na takwimu za mwaka 2006 za DHS. Asilimia ya vijana wa kiume wanaofanya ngono ambao walipima iliongezeka ma&#341;a tatu hadi asilimia 23, wakati wanawake iliongezeka ma&#341;a tano hadi asilimia 45. Hii ni idadi kubwa kuliko wastani wa ukanda wa asilimia 22 kwa wanawake na asilimia 14 kwa wanaume. Bado kuna safa&#341;i ndefu kusaidia akina Mlambo ambao wanahitaji kuondokana na hofu, lakini hali inatia tumaini. *Siyo jina halisi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>HARARE, Jan 13, 2014 (IPS) &ndash; Natalie Mlambo* mwenye um&#341;i wa miaka kumi na saba ana sababu mbili muhimu za kupima Vi&#341;usi vya Ukimwi (VVU). Ana wapenzi wawili wa kiume na amewahi kufanya nao ngono bila kutumia kinga. Mmoja ni mwanafunzi mwenzake katika da&#341;asa la sekonda&#341;i. Mwingine ni mtu mzima, anafanya kazi benki na ana&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":973,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4007","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4007","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/973"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4007"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4007\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4007"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4007"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4007"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}