{"id":4005,"date":"2014-01-13T13:40:01","date_gmt":"2014-01-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/01\/13\/kuhakikisha-ngombe-na-mbuzi-wanaboesha-maisha-ya-wakenya\/"},"modified":"2014-01-13T13:40:01","modified_gmt":"2014-01-13T13:40:01","slug":"kuhakikisha-ngombe-na-mbuzi-wanaboesha-maisha-ya-wakenya","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2014\/01\/13\/kuhakikisha-ngombe-na-mbuzi-wanaboesha-maisha-ya-wakenya\/","title":{"rendered":"Kuhakikisha Ng&#8217;ombe na Mbuzi Wanabo&#341;esha Maisha ya Wakenya"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 13, 2014 (IPS) &ndash; &#8220;Hiyo ni sauti ninayoipenda zaidi katika dunia,&#8221; Hussein Ahmed anasema wakati kengele iliyofungwa kwenye ng&#8217;ombe ikianza kugonga wakati waki&#341;ejea nyumbani. Ahmed, mfugaji katika wilaya ya Ma&#341;sabit katika eneo kame kaskazini mwa Kenya, alipoteza wanyama wake wote mwaka 2011 wakati wa moja ya ukame mkubwa kuwahi kutokea katika ukanda huo katika kipindi cha miaka 60.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wakati huo, Ahmed alisafi&#341;i kwenda nchi ji&#341;ani ya Ethiopia kutafuta maji na malisho kwa ajili ya ng&#8217;ombe wake. &#8220;Nilikuwa nawakimbia wezi wa ng&#8217;ombe wenye silaha ambao walifika na kuiba wanyama ambao waliachwa na ukame. Wakati wa safa&#341;i ya umbali wa kilomita 250 kutoka Ma&#341;sabit hadi Ethiopia nilipoteza ng&#8217;ombe wangu wote kutokana na kukosa malisho na maji. Ali&#341;ejea Ma&#341;sabit mwezi mmoja baadaye, akiwa hana kitu. Lakini kiongozi wa ukoo, ambaye alisaini bima ya wanyama, alimpatia Ahmed mbuzi watano na ng&#8217;ombe mmoja ili kuanza tena. Maisha ni tofauti sasa. Ahmed ame&#341;ejesha wanyama wake na ana ulinzi, hata kukiwa na ukame na wezi wa wanyama. Mwaka uliopita alisaini bima ya mifugo kama aliyokuwa nayo mkuu wa ukoo wake &ndash; bima ya kwanza kuwahusu wafugaji nchini Kenya, ambayo inatolewa na NGO ya Inte&#341;national Livestock Resea&#341;ch Institute (ILRI). &#8220;Nilijiunga mwaka 2012, na tangu kipindi hicho nimekuwa nikilipwa kutokana na kupoteza mifugo ma&#341;a mbili, ikiwa ni pamoja na Machi mwaka jana,&#8221; Ahmed anasema. Bima hiyo imepatiwa &#341;uzuku na washi&#341;ika wa ILRI: Ida&#341;a ya Maendeleo ya Kimataifa ya Uinge&#341;eza, Umoja wa Ulaya na Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kimataifa la Aust&#341;alia. Katika kipindi cha kwanza bima ilikuwepo katika wilaya ya Ma&#341;sabit pekee. Lakini mwezi Agosti ilianza kutekelezwa kaskazni mwa nchi katika maeneo ya Isiolo na Waji&#341;. Na kutokana na mafanikio yake katika taifa la Af&#341;ika masha&#341;iki, kwa sasa inafanyiwa maja&#341;ibio katika eneo la Bo&#341;ana, na maeneo ya ukame kusini mwa Ethiopia. Kwa ILRI, wafugaji 4,000 au nusu yao kaskazini mwa Kenya wamepatiwa bima. Hata hivyo, ni vigumu kuthibitisha idadi ya jumla ya wafugaji katika ukanda huo. Te&#341;esia Nje&#341;i, ofisa mazingi&#341;a kaskazini mwa Kenya, aliiambia IPS hii inatokana na &#8220;wafugaji kutokukaa katika eneo moja kwa muda m&#341;efu, wanasafi&#341;i ma&#341;a kwa ma&#341;a.&#8221; Wafugaji wana jukumu kubwa katika ukanda. Kwa mujibu wa wiza&#341;a ya kilimo, mifugo na uvuvi ya Kenya, wastani wa thamani ya sekta ya mifugo nchini ni dola milioni 800. Benki ya Dunia inaonyesha kuwa Kenya ina pato la taifa la jumla ya dola bilioni 37. Na Mamlaka ya Maendeleo ya Se&#341;ikali za Masha&#341;iki mwa Af&#341;ika, inakadi&#341;ia kuwa zaidi ya asilimia 90 ya nyama inayotumiwa Af&#341;ika Masha&#341;iki inatokana na jumuiya ya wafugaji. Lakini siku zote maisha ya wafugaji yamekuwa magumu. Issa Salesa, mfugaji huko Isiolo, anaiambia kwa IPS kuwa ma&#341;a zote wana maisha duni. &#8220;Ma&#341;a nyingi ukame unatupiga kaskazini mwa Kenya kuanzia Juni hadi Disemba na unazidi kati ya mwezi Janua&#341;i hadi Ap&#341;ili, kwa hiyo kimsingi wafugaji na wanyama wao wanakuwa hata&#341;ini kufa njaa na kushambuliwa na wezi wa ng&#8217;ombe mwaka mzima,&#8221; Salesa anasema. Lakini kwa sasa Ahmed na Salesa, kama ilivyo kwa maelfu ya wafugaji katika wilaya zao ambao wamesaini bima, wanatambua kuwa kama wanyama wao watakufa na ukame, watapata fidia. Na hii ina maana kuwa familia ya Ahmed itapata chakula mwaka mzima na watoto wake wanaweza sasa kwenda shule. Yusuf Aden, mfugaji wa Ma&#341;sabit na mmoja wa wanaofadika na bima, aliiambia IPS kuwa wafugaji wanapaswa kuhakikisha angalau moja ya kumi ya mifugo yao imechanganya wanyama mbalimbali. &#8220;Kwa mfano, mbuzi 10 na unalipa bima ya kiasi cha dola 20 kwa mwaka. Hii gha&#341;ama inawezekana kwasababu tunauza mbuzi mmoja tu kupata fedha za kuhakikisha unawekea bima mbuzi 10,&#8221; Aden alisema. &#8220;Bima ina lengo la kutoa fidia kama kutatokea kupoteza mifugo, lakini ikilinganishwa na bima za kawaida, ambazo zinalipa kutokana na kiasi mtu ambacho amepoteza, bima hii ya mifugo inalipa watu kulingana na viashi&#341;ia vya nje, kama vile upatikanaji wa malisho,&#8221; And&#341;ew Mude, ambaye anahusika na bima ya mifugo katika m&#341;adi wa ILRI, aliiambia IPS. Alielezea kuwa takwimu za satelaiti zinatoa wastani wa upatikanaji wa malisho na kuna se&#341;a ya malipo wakati uhaba wa malisho unapotabi&#341;iwa kusababisha vifo vya wanyama katika eneo fulani. Mifugo iliyowekewa bima inalipiwa fidia ya zaidi ya asilimia 15 ya hasa&#341;a ya mifugo. Lakini faida kwa maisha yao ni kubwa mno. &#8220;Kaya zilizowekewa bima zilishuhudia kushuka kwa asilimia 33 katika uwezekano wa kupunguza lishe zao, asilimia 50 ya kushuka kwa uuzaji mifugo wa bei nafuu na asilimia 33 ya kutegemea chakula cha misaada,&#8221; Mude alisema. Hata hivyo, hakuna uhakika kama aina hii ya bima itaenea katika maeneo mengine ya Kenya. Mtaalam wa bima Beat&#341;ice Wambui anasema kuwa &#8220;kuwekea bima mifugo hakuna faida kibiasha&#341;a.&#8221; &#8220;Kuweka bima za majanga ya asili ni biasha&#341;a hata&#341;i sana, huna udhibiti wa hali ya hewa &#8230; Lakini katika maeneo ambayo bima ya mifugo inafanya kazi, na kama makampuni yanaweza kupata njia za shinda nishinde na wafugaji, aina hii ya bima inaweza kubadili maisha,&#8221; Wambui aliiambia IPS, akiongeza kuwa kama makampuni ya bima hayatashi&#341;ikiana na NGOs hayataweza kufikia wafugaji. Alisema kuwa wakati makampuni ya bima yalikuwa yakianza kuzingatia kuanzisha bima za namna hiyo, walikuwa wakiingia huko kwa &#8220;kiwango cha chini sana na hawako taya&#341;i kujitangaza.&#8221; &#8220;Baadhi wanafanya kazi na wateja wachache kama vile 50 tu kuona kama inafanya vizu&#341;i katika kipindi cha mwaka,&#8221; Wambui anasema. Nje&#341;i anasema kuwa wakati bima ya ILRI ilikua ikibo&#341;esha maisha na usalama, inapaswa kufikia watu wengi zaidi. Wafugaji kutoka wilaya za Sambu&#341;u, Tu&#341;kana, Pokot na Ma&#341;akwet kaskazini mwa Kenya bado wanabakia katika hata&#341;i ya kupoteza vyanzo vya &#341;iziki zao kutokana na wezi wa ng&#8217;ombe &ndash; lakini bado bima haipo katika maeneo hayo. Moses Lentoimaga ni mfugaji toka Sambu&#341;u na anaishi kwa hofu kutokana na wezi wenye bastola. Wezi walishambulia kijiji Oktoba 18 na kuua maji&#341;ani zake watano na kuiba ng&#8217;ombe 1,000. Yeye pia anahitaji usalama ambao wanao Ahmed na Aden. &#8220;Kabla ya kwenda kwa maji&#341;ani zetu nchini Ethiopia, kwanza wanatakiwa kuja kutuokoa,&#8221; Lentoimaga aliiambia IPS <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 13, 2014 (IPS) &ndash; &#8220;Hiyo ni sauti ninayoipenda zaidi katika dunia,&#8221; Hussein Ahmed anasema wakati kengele iliyofungwa kwenye ng&#8217;ombe ikianza kugonga wakati waki&#341;ejea nyumbani. Ahmed, mfugaji katika wilaya ya Ma&#341;sabit katika eneo kame kaskazini mwa Kenya, alipoteza wanyama wake wote mwaka 2011 wakati wa moja ya ukame mkubwa kuwahi kutokea katika ukanda huo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":898,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4005","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4005","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/898"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4005"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4005\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4005"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4005"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4005"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}