{"id":4003,"date":"2013-10-09T13:40:01","date_gmt":"2013-10-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/10\/09\/mabadiliko-ya-tabia-nchi-yatoa-somo-climate-change-teaches-some-lessons\/"},"modified":"2013-10-09T13:40:01","modified_gmt":"2013-10-09T13:40:01","slug":"mabadiliko-ya-tabia-nchi-yatoa-somo-climate-change-teaches-some-lessons","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/10\/09\/mabadiliko-ya-tabia-nchi-yatoa-somo-climate-change-teaches-some-lessons\/","title":{"rendered":"Mabadiliko ya Tabia Nchi Yatoa Somo &ndash; Climate Change Teaches Some Lessons"},"content":{"rendered":"<p>PORT LOUIS, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Utalii, kilimo, uvuvi, maji ya kunywa &ndash; mabadiliko ya tabia nchi yanatishia misingi ya jamii na uchumi wa Mau&#341;itius. Wakati taifa hilo la kisiwa katika Baha&#341;i ya Hindi linaandaa mikakati ya kukabiliana na hali hiyo, linafanya kazi kuhakikisha kizazi kijacho kinajikita kabisa katika kanuni za maendeleo endelevu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ikizinduliwa Jul. 5, Se&#341;a ya Taifa ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi (NCCAPF) ilihusisha masuala ambayo yanajulikana lakini yanayotia hofu juu ya mustakabali wa baadaye. Nusu ya fukwe katika taifa hilo lenye mvuto mkubwa wa watalii zitapotea ifikapo mwaka 2050, kutokana na kuzama kutokana na baha&#341;i inayozidi kuongezeka kina chake na kuongezeka kwa kasi na nguvu ya upepo utakaojitokeza ma&#341;a kwa ma&#341;a. Rasilimali za maji safi zinaweza kupungua kwa asilimia ipatayo 13 wakati mahitaji yataongezeka kwa kiasi kikubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Tunashtushwa kujifunza kuwa kisiwa chetu kizu&#341;i au sehemu ya kisiwa hiki &ndash; inaweza kutokomea kutokana na kupanda kwa kina cha baha&#341;i,&#8221; mwanafunzi Felicia Beniff aliiambia IPS wakati akitoka katika da&#341;asa la mazingi&#341;a na mabadiliko ya tabia nchi akiwa na &#341;afiki zake wanne. &#8220;Tuna mashaka. Tuna miaka mingi ya kuishi. Tutakwenda wapi &#8220;<\/p>\n<p>Mwanafunzi huyo wa um&#341;i mdogo katika da&#341;asa la Shule ya Sekonda&#341;i ya MEDCO Cassis katika mji mkuu wa Mau&#341;itius wa Po&#341;t Louis ni miongoni mwa &#341;obo ya wanafunzi milioni katika kisiwa hicho ambao watafundishwa kanuni za maendeleo endelevu.<\/p>\n<p>Mau&#341;itius inafanya kazi kwa bidii kusahihisha mbinu zisizokuwa endelevu, hasa kwa kupitia Mau&#341;ice &#038;Ici&#341;c;le Du&#341;able.Kuelimisha vijana juu ya maendeleo endelevu ni sehemu ya ndoto hii ya muda m&#341;efu ya kujenga uchumi mpya ambao unazingatia ikolojia.<\/p>\n<p>Katika Sekonda&#341;i ya Rabind&#341;anath Tago&#341;e Statehuko Ilot, kaskazini mwa Mau&#341;itius, wanafunzi wanaingiza takataka katika shimo kwa ajili ya kuziacha zioze.<\/p>\n<p>&#8220;Tunakusanya chupa za plastiki. Tunazima taa na kiyoyozi tunapoondoka da&#341;asani. Tunafungua madi&#341;isha ili ku&#341;uhusu hewa kuingia mada&#341;asani. Hii inasaidia kupunguza gha&#341;ama za shule. Pia tunapanda miti,&#8221; mmoja wa wanafunzi, Ashootosh Joga&#341;ah, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Rafiki yake, Va&#341;ounen Samy, aliiambia IPS kuwa kwa sasa &#8220;wamebadilika mitizamo yao kuhusu mazingi&#341;a.&#8221;<\/p>\n<p>Mahen Gangape&#341;sad, mwalimu katika shule hiyo, ana imani kuwa &#341;aia wa Mau&#341;itius wamelichukulia suala la mazingi&#341;a kwa mtizamo hafifu zaidi bila kutambua madha&#341;a yake katika maliasili. Mpango mpya wa elimu unalenga katika kusahihisha hali hii. &#8220;Afadhali kuchelewa kuliko kutokufanya kabisa,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Upandaji wa miti, kufunga mitambo ya jua kwa ajili ya nishati mbadala, bustani, bustani za mazingi&#341;a ya nyumbani, utengaji wa taka, utengenezaji wa mbolea kwa kutumia taka, uvunaji wa maji ya mvua na udhibiti wa maji kwa sasa ni jambo linalojitokeza katika shule nyingi. Mpango huo ni kuwezesha wanafunzi wote kujua hifadhi ya mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa hiyo kwa sasa tunafikia watu 250,000 na zaidi,&#8221; Veenace Koonjal, mshau&#341;i maalum wa Wiza&#341;a ya Elimu aliiambia IPS. Ana imani mafunzo haya yatakuwa na matokeo makubwa katika kutoa uelewa miongoni mwa watu milioni 1.2 juu ya nini wanaweza kupeleka nyumbani kwa familia zao na jamii kwa ujumla.<\/p>\n<p>&#8220;Mabadiliko ya tabia nchi yanadhoofisha uchumi, misingi ya kijamii na kimazingi&#341;a ya kisiwa hiki,&#8221; alisema Wazi&#341;i wa Mazingi&#341;a na Maendeleo Endelevu wa Mau&#341;itius Deva Vi&#341;ahsawmy, wakati wa uzindizu wa NCCAPF.<\/p>\n<p>Uzinduzi wa mkakati wa kise&#341;a ambao maandalizi yake yamekamilika ulifanyika pamoja na uzinduzi wa Kituo cha Taa&#341;ifa za Mabadiliko ya Tabia Nchi cha Po&#341;t Louis, mpango ambao ungekusanya taa&#341;ifa za ndani na za kimkoa juu ya mabadiliko ya tabia nchi na kuzifanya kupatikana kwa kila mtu &ndash; wanasayansi, wahandisi, wasanifu wa majengo, ikiwa ni pamoja na wakulima na wanafunzi.<\/p>\n<p>Kuima&#341;isha na kupanua maa&#341;ifa, ufahamu na taa&#341;ifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi ni jambo la msingi katika kukabiliana na ongezeko la joto kisiwani humu. Mau&#341;itius, kama ilivyo kwa mataifa mengine ya visiwa, yanaweza kutegemea kubeba mzigo mzima wa mabadiliko ya tabia nchi pamoja na kuchangia kwa kiasi kidogo katika uzalishaji wa hewa ukaa.<\/p>\n<p>Zaidi ya hapo, mkakati wa se&#341;a unakubali kuwa jiog&#341;afia ya kisiwa hicho inazuia kile ambacho kingeweza kufanyika kukabiliana na madha&#341;a mabaya ya ongezeko la joto duniani katika uvuvi na a&#341;dhi ya mwambao wa pwani, utalii na kilimo.<\/p>\n<p>Khalil Elahee,mwenyekiti wa Ofisi ya Usimamizi wa Kiufanisi wa Nishati, ana imani kuwa watu wameanza kutambua madha&#341;a makubwa ya mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Watu wanataka maendeleo endelevu. Kwa hiyo ni suala muhimu kuanza njia mpya za maisha na kuendeleza kisiwa chetu, &#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Kila tunachokifanya kinaweza kisitutosheleze lakini hatua zinazochukuliwa na Mau&#341;itius katika mpango wake wa elimu ya mabadiliko ya tabia nchi inasaidia kukabiliana na madha&#341;a ya mabadiliko hayo katika kisiwa,&#8221; Elahee alisema.<\/p>\n<p>Vi&#341;ahsawmy alisema elimu ya mabadiliko ya tabia nchi ingewezesha Mau&#341;itius kuima&#341;isha nguvu zake za kukabiliana na hali hiyo katika sekta muhimu za uchumi wake na kuondokana na hata&#341;i na kuzuia kupotea kwa maisha ya watu na mali zao.<\/p>\n<p>Mau&#341;itius imeshapata taya&#341;i dola milioni tatu kutoka kwa Mpango wa Af&#341;ika wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi &ndash; unaofadhiliwa na Se&#341;ikali ya Japan chini ya Mpango wake wa &#8220;Cool Ea&#341;th Pa&#341;tne&#341;ship fo&#341; Af&#341;ica&#8221; &ndash; katika kuunganisha na kuingiza njia za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika mikakati ya kitaasisi na se&#341;a muhimu za maendeleo.<\/p>\n<p>Ofisa katika Wiza&#341;a ya Mazingi&#341;a na Maendeleo Endelevu aliiambia IPS kuwa m&#341;adi wa Tathmini ya Mahitaji ya Kiteknolojia (TNA) pia utakelezwa mwaka huu. Utapata msaada wa kiufundi kutoka Kitengo cha Teknolojia, Viwanda na Uchumi cha Shi&#341;ika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, na katika Kituo chake cha Risoe nchini Denma&#341;k. Unafadhiliwa na Mfuko wa Mazingi&#341;a wa Kimataifa katika kiwango cha dola 120,000.<\/p>\n<p>Lengo kuu la TNA ni kuziba pengo kati ya kubainisha teknolojia zinazofaa na kuandaa mpango wa utekelezaji. Lengo ni ku&#341;uhusu Mau&#341;itius kutekeleza teknolojia za kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa na kusaidia njia za kupunguza madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi jambo ambalo linakwenda sawa na vipaumbele vya maendeleo vya kitaifa.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ina matumaini kupata fedha zaidi kwa ajili ya jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kutoka Mfuko wa Hali ya Hewa ya Kijani, mfuko wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi wa Umoja wa Mataifa pamoja na kutoka kwa GEF.<\/p>\n<p>Mbali zaidi na da&#341;asani, mipango mingine mingi inayoendeshwa na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali inajazia kile ambacho watoto hawa wadogo wanajifunza mashuleni. Mpango wa &#8220;Youth be Awa&#341;e&#8221; unaondeshwa na Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu la Mau&#341;itius, kwa mfano, unashi&#341;ikisha vijana 600 katika kukabiliana na hata&#341;i inayoweza kuletwa na mabadiliko ya tabia nchi katika kisiwa hicho. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PORT LOUIS, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Utalii, kilimo, uvuvi, maji ya kunywa &ndash; mabadiliko ya tabia nchi yanatishia misingi ya jamii na uchumi wa Mau&#341;itius. Wakati taifa hilo la kisiwa katika Baha&#341;i ya Hindi linaandaa mikakati ya kukabiliana na hali hiyo, linafanya kazi kuhakikisha kizazi kijacho kinajikita kabisa katika kanuni za maendeleo endelevu. Ikizinduliwa Jul&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":357,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4003","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4003","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/357"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4003"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4003\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4003"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4003"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4003"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}