{"id":4002,"date":"2013-10-09T13:40:01","date_gmt":"2013-10-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/10\/09\/raia-wa-cameoon-waona-mpango-wa-redd-cameoonians-see-redd\/"},"modified":"2013-10-09T13:40:01","modified_gmt":"2013-10-09T13:40:01","slug":"raia-wa-cameoon-waona-mpango-wa-redd-cameoonians-see-redd","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/10\/09\/raia-wa-cameoon-waona-mpango-wa-redd-cameoonians-see-redd\/","title":{"rendered":"Raia wa Came&#341;oon Waona Mpango wa REDD &ndash; Came&#341;oonians See REDD"},"content":{"rendered":"<p>YAOUNDE, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Kukosekana kwa uhakika wa umilikaji wa a&#341;dhi na upatikanaji wa a&#341;dhi zenye misitu ni kizuizi kinachoweza kuzuia utekelezaji wa mpango wa pamoja wa Umoja wa Mataifa wa Kupunguza Uzalishaji wa Hewa Ukaa Unaotokana na Uteketezaji wa Misitu na Ukataji Miti (REDD) nchini Came&#341;oon.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika eneo la Adjab, kijiji cha &#341;aia wazawa katika mkoa wa kusini mwa Came&#341;oon, Chifu Ma&#341;celin Biang aliiambia IPS kuwa anahisi she&#341;ia zilizopo zinasukuma wakazi wa maeneo hayo kuangamiza misitu ili waweze kuwa na msingi wa kutoa madai yao.<\/p>\n<p>Kufuatia mgogo&#341;o wa a&#341;dhi kati ya wakazi wa Adjab na kamuni ya mbao, kipande cha a&#341;dhi yao kili&#341;ejeshwa kwao &ndash; lakini kwa masha&#341;ti kuwa wanakijiji wanaonyesha uthhibitisho kuwa wanatumia a&#341;dhi kufanya vipato vyao kuwa endelevu.<\/p>\n<p>Biang alisema kuwa wanategemea misitu kwa ajili ya uwindaji wanyama, kupanda mbogamboga na kukusanya kuni. Kulima katika a&#341;dhi kubwa siyo sehemu ya utamaduni wao, lakini sasa lazima wajifunze jinsi ya kupanda miweze na miti ya mpi&#341;a ili waendeleze a&#341;dhi yao.<\/p>\n<p>&#8220;Tumechanganyikiwa juu ya tufanye nini,&#8221; alisema Biang. &#8220;Walitutaka kuhifadhi msitu, lakini tutafanya hivyo lini, wakati wakataji wa miti kwa ajili yam abo wamefika.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Hata kama REDD haitatuletwa pesa, itatuletea utawala bo&#341;a.&#8221; &ndash; Augustine Njamnshi, wa NGO ya Mandeleo ya Rasilimali za V iumbe Hai na Hifadhi ya Mazingi&#341;a Came&#341;oon, alisema.<\/p>\n<p>Mipango ya Came&#341;oon ya utekelezaji kwa mafanikio wa mi&#341;adi ya REDD utazuia nchi kutatua changamoto za muda m&#341;efu katika kusimamia misitu na &#341;asilimali nyingine.<\/p>\n<p>Mwezi Janua&#341;i, mipango ya mpango wa REDD kwa taifa hili la Af&#341;ika ya kati ilipitishwa na Mfuko wa Kusimamia Hewa Ukaa kwa Kutumia Misitu (FCPF) uliopo chini ya benki ya Dunia .<\/p>\n<p>&#8220;nchi zenye misitu zinaweza kupata malipo kutokana na kuhifadhi hewa ukaa, lakini hili lazima litokane na upangaji wenye ufanisi na utekelezaji wa Mchanganuo wa Maandalizi (RPP),&#8221; Se&#341;ge Menang, mtaalam mwandamizi wa masuala ya mazingi&#341;a wa FCPF nchini Came&#341;oon aliiambia IPS.<\/p>\n<p>FCPF ilipatia Came&#341;oon msaada wa dola milioni 3.6 katika kutekeleza mpango wake wa RPP, ambao unaandaa mkakati wa kitaifa.<\/p>\n<p>Mataifa ya Kusini yanata&#341;ajia kupata malipo makubwa kutokana na wachafuzi wa hali ya hew awa Kaskazini kutokana na Kusini kuhifadhi mazingi&#341;a na kuongezeka kwa misitu. Miiti inashikilia kiasi kikubwa cha hewa ukaa, ambayo kama ingetolewa ovyo katika anga, ingechangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa joto duniani.<\/p>\n<p>Mipango ya REDD inataka kupelaka kiasi Fulani cha faida ya kuhifadhi misitu kwa wahifadhi kwa njia ya stakabadhi za hew ukaa, ambazo zinaweza kuuzwa kwa makampuni yanayochafua anga katika nchi za Kaskazini ambayo yangependa kupunguza kiasi cha atha&#341;i zinazotokana na uzalishaji wao wa hewa ukaa. REDD inakwenda mbali zaidi na kuhusisha kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Mkakati wa REDD umejikita katika di&#341;a ya taifa ya kuifanya REDD kuwa chombo cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika taifa hilo,&#8221; Joseph Amougou wa Timu ya Kitaifa ya Ku&#341;atibu Mpango wa REDD nchini Came&#341;oon, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Ili kufikia ndoto hii kutahitaji kupatia ufumbuzi changamoto zilizopo za kiutawala, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmimi na kuima&#341;isha se&#341;a na kuhakikisha kuwa kuna ushi&#341;iki wenye maana na wa jamii zinazotegemea misitu &ndash; hasa makundi yaliypo pembezoni katika maeneo ya vijijini kama vile wanawake na watu wa makabila ya wenyeji.<\/p>\n<p>&#8220;REDD haitafanya kazi nchini Came&#341;oon bila kuendelezwa kuanzia chini. Haitaweza kutekelezwa bila ya kuhesabu kazi zinazofanywa na wakazi wa maeneo husika ambao wanaendesha kilimo, matumizi ya &#341;asilimali za misitu na ufugaji wa mifugo. REDD inatakiwa kubo&#341;esha shughuli zao hizi na hali ya maisha ya watu hao ili wasiongeze shinikizo katika matumizi ya misitu,&#8221; Amougou alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa mfano, katika sehemu ya kaskazini mwa Came&#341;oon ambako tatizo kubwa ni la nishati inayotokana na kuni na mkaa, REDD lazima kuweka kipaumblele cha mahitaji ya nishati kwa wakazi wa maeneo hayo.&#8221;<\/p>\n<p>Taya&#341;i kuna majukwaa mengi kuunga mkono aina hii ya ushi&#341;iki.Kamati ya Utekelezaji ya Taifa &ndash; ambayo ni pamoja na uwakilishi wa watu wazawa &ndash; inawaleta mawazi&#341;i kujadili pamoja na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na NGOs, wakati ambapo REDD na Jukwaa la Mabadiliko ya Tabia Nchi hupatia mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na jamii mahali pa kujadiliana.<\/p>\n<p>Haman Unusa anatoka Kitengo cha taifa cha Ku&#341;atibu Mpango wa REDD katika Wiza&#341;a ya Mazingi&#341;a na Utunzaji wa Viumbe Asili na Maendeleo, chombo ambacho kina wajibu wa kutekeleza kazi za kiufundi ikiwa ni pamoja na mikutano na ushau&#341;iano. Aliiambia IPS kuwa watu wazawa walishi&#341;iki katika ushau&#341;iano katika mchakato mzima wa maandalizi ya RPP. Hii itaendelea hata katika awamu ya pili ya utekelezaji.<\/p>\n<p>&#8220;Wazawa watashi&#341;iki kwa kupitia katika mashi&#341;ika yao mbalimbali. Wazawa pia watajiwakilisha wenyewe katika matawi ya kimkoa na kijamii ya REDD na Jukwaa la Mabadiliko ya Tabia Nchi,&#8221; Unusa alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Mpango wa kuunganisha jinsia katika mchakato wa REDD umeandaliwa na utapanuliwa kama sehemu ya muendelezo wa mkakati huo. Wanawake pia wana uwakilishi katika vyombo vya kitaifa &ndash; moja ya nafasi za kiutendaji za u&#341;atibu wa kitaifa zimetengwa kwa ajili ya wanawake,&#8221; alisema afisa huyo.<\/p>\n<p>Unusa aliongeza kuwa mkakati wa mawasiliano katika awamu ya utekelezaji utahusisha matumizi ya lugha za kienyeji na mawasiliano kwa njia ya kuona kama vile mabango madogo na makubwa. Wakalimani watatumiwa kuendesha mawasiliano ya pande zote mbili kati ya wawezeshaji wa REDD na wakazi wenyeweji.<\/p>\n<p>Hata hivyo mipango hii ya kuongeza njia za mawasiliano inaweza kuwa na mapungufu yake katika mchakato huo. Kwa mujibu wa Aehshatu Manu, ambaye amewakilisha wanawake wazawa wa Mbo&#341;o&#341;o katika mikutano ya FCPF, wanawake wengi wazawa bado hawajui REDD inataka kufanya nini, na wana wasiwasi wataweza kupoteza misitu yao na mazao yake kama vile vifaa vya ujenzi, mimea ya madawa na chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na ushi&#341;iki wa wanaume na wanawake katika mikutano,&#8221; aliiambia IPS, &#8220;ushi&#341;iki kamilifu bado haujafikiwa kupitia mkakati wa mawasiliano unaotekelezwa sasa. Bado REDD haifahamiki vizu&#341;i kwa wananchi wa maeneo husika.&#8221;<\/p>\n<p>Amougou alisema kuwa watunga se&#341;a wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kubuni na kutekeleza mikakati ya REDD na se&#341;a.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;REDD ni mpya, lakini ni lazima kujengwa katika mali zilizopo na maono ya utekelezaji wa se&#341;a. REDD inaweza kutekelezwa pamoja na se&#341;a za kitaifa, kitaasisi na shughuli za utekelezaji zilizopo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Tishio jingine la utekelezaji linatokana na kukosekana kwa &#341;asilimali fedha. Dola milioni 3.6 kutoka FCPF ni jambo zu&#341;i, lakini bajeti ya jumla ya RPP nchini Came&#341;oon ni dola milioni 28, na hizo bado hazijajulikana zitatoka wapi.<\/p>\n<p>&#8220;Ili kuweza kuziba pengo hilo la kifedha, mikakati ya REDD ya Came&#341;oon inatakiwa kujikita katika &#341;asilimali ambazo taya&#341;i zipo kama vile o&#341;odha ya takwimu za misitu, tafiti za REDD za watu wanaoongoza katika uteketezaji wa misitu na jitihada za kuhifadhi misitu hiyo,&#8221; Menang alisema. &#8220;Na se&#341;ikali na washi&#341;ika wengine wa maendeleo lazima kufanya kazi pamoja kusaidia mchakato huu kifedha.&#8221;<\/p>\n<p>Kutafuta fedha zinazohitajika ni changamoto, lakini Augustine Njamnshi wa NGO ya Hifadhi na Uendelezaji wa Rasilimali za Viumbe Hai nchini Came&#341;oon anaona ni faida kama fedha hizo hazitapatikana. &#8220;Kama REDD haitaleta pesa, ituletee utawala bo&#341;a.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>YAOUNDE, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Kukosekana kwa uhakika wa umilikaji wa a&#341;dhi na upatikanaji wa a&#341;dhi zenye misitu ni kizuizi kinachoweza kuzuia utekelezaji wa mpango wa pamoja wa Umoja wa Mataifa wa Kupunguza Uzalishaji wa Hewa Ukaa Unaotokana na Uteketezaji wa Misitu na Ukataji Miti (REDD) nchini Came&#341;oon. Katika eneo la Adjab, kijiji cha &#341;aia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":971,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4002","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4002","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/971"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4002"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4002\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4002"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4002"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4002"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}