{"id":4001,"date":"2013-10-08T13:40:01","date_gmt":"2013-10-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/10\/08\/jamii-zinazoishi-kaibu-na-misitu-zaweka-mipaka-ya-mpango-wa-redd\/"},"modified":"2013-10-08T13:40:01","modified_gmt":"2013-10-08T13:40:01","slug":"jamii-zinazoishi-kaibu-na-misitu-zaweka-mipaka-ya-mpango-wa-redd","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/10\/08\/jamii-zinazoishi-kaibu-na-misitu-zaweka-mipaka-ya-mpango-wa-redd\/","title":{"rendered":"Jamii Zinazoishi ka&#341;ibu na Misitu Zaweka Mipaka ya Mpango wa REDD"},"content":{"rendered":"<p>Uganda, Septemba 26 (IPS) &ndash; Wakati wino uliotumika kutia saini ya mkataba wa thamani ya dola milioni 3.6 kati ya Uganda na Benki ya Dunia kusaidia maandalizi ya taifa hilo ya Mpango wa REDD ukikauka, baadhi ya wachambuzi wa mambo wana mashaka mengi juu ya faida za baadaye za mpango huo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>REDD (mpango wa kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa unaotokana na uteketezaji wa misitu na ukataji miti), awali ulikubaliwa katika mazungumzo ya Mkakati wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi (UNFCCC) mjini Bali, Indonesia mwaka 2007. Mpango wa REDD una lengo la ku&#341;ejesha faida kutokana na uhifahi wa misitu kwa kuuza stakabadhi za hewa ukaa kwa makampuni ya Kaskazini ambayo yanazalisha hewa hizo kwa wingi. <\/p>\n<p>Mwendesha mazungumzo ya mpango wa REDD nchini Uganda, Xavie&#341; Mugumya, aliiambia IPS kuwa kwa kuongeza katika dola miloni 3.6 zilizotolewa na Benki ya Dunia, se&#341;ikali ya Aust&#341;ia imetoa msaada wa kiasi cha eu&#341;o 650,000 (dola 865,000). Lakini hii ni sehemu tu ya jumla ya fedha zilizotengwa na Mchanganuo wa Taifa wa Mpango huo unaojulikana kama RPP.<\/p>\n<p> &#8220;Tunahitaji ka&#341;ibu dola milioni sita kufikia bajeti yetu kama ambavyo tumependekeza katika bajeti yetu katika RPP,&#8221; alisema Mugumya.<\/p>\n<p>Lau&#341;en Goe&#341;s Williams ni kiongozi msaidizi katika Tasisi ya Rasilimali Duniani (WRI) yenye makao yake jijini Washington ambaye amefanya kazi na washi&#341;ika wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kwa zaidi ya miaka minne iliyopita nchini Came&#341;oon. Alikubali kuwa kuna mashaka kidogo juu ya REDD: &#8220;Kwa njia moja au nyingine ni dhana &#341;ahisi sana: kujenga motisha za kiuchumi kuhifadhi misitu.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Wakati ulipokuja, watu waliona kama ni mpango &#341;ahisi kama wa &#8216;Usikate miti, toka ukapime kiasi cha hewa ukaa na utakuwa umemaliza kazi.&#8217;<\/p>\n<p>&#8220;Lakini katika uhalisia mataifa yote haya yamekuwa yakipata shida ya jinsi gani ya kusimamia misitu yao au jinsi gani ya kulinda misitu wakati huo huo yakitaka kupata maendeleo ya kiuchumi,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mchambuzi huyo, ambaye pia ana uzoefu wa kufanya kazi nchini B&#341;azil na Indonesia, alisema kazi zake nyingi zinahusu kuleta ufahamu wa utawala bo&#341;a na masuala ya kijamii katika kubuni na kutekeleza mipango ya REDD.<\/p>\n<p>&#8220;Hapo kabla watu hawakuzungumzia juu ya watu wazawa. Walikuwa hawazungumzii kuhusu haki za watu ambao wanaishi katika misitu hii iliyo mingi,&#8221; alisema. &#8220;Wakazi wengi katika misitu hii hawana haki &#341;asmi ya kuishi humu, lakini bado wanaendelea kuishi katika maeneo haya, kutegemeana na &#341;asilimali hizi na wengi wao wana umiliki wa jadi wa a&#341;dhi.&#8221;<\/p>\n<p>David Mwayafu, kutoka NGO ya Umoja wa Maendeleo Endelevu Uganda, pia amekuwa akishi&#341;iki katika utekelezaji wa mi&#341;adi ya REDD. Alisema ni jambo la msingi fedha zinazolenga kukabiliana na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi zinafikia jamii na kushughulikia mambo yanayosababisha uteketezaji wa misitu wakati huo huo ziki&#341;uhusu watu wanaoishi katika misitu hiyo wakiitumia kwa njia endelevu.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna njia za wazi za kugawa mapato nchini Uganda, pamoja na kuwa kuna uwezekano kuwa inahitaji mifumo mbalimbali kutegemeana na mahitaji ya jamii na mahali husika kwani mahitaji ya jamii yanatofautiana,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Lakini Waganda wana nia ya kutunza misitu kwasababu wanaelewa umuhimu wa jambo hili, Mwayafu alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Wamekuwa wakifanya hivi wakiwa na ufahamu kuwa misitu inatoa huduma mbalimbali kama vile mbao, madawa, vifaa vya ujenzi, kuni za kupikia, mkaa, kukinga upepo na makazi ya wanyama,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Goe&#341;s Williams alisema moja ya ujumbe muhimu kutokana na uzoefu wake nchini Came&#341;oon ni kwamba watunga se&#341;a lazima watafute njia za kushi&#341;ikisha wanajamii wa maeneo husika juu ya REDD kwa kutumia matamshi ya wazawa wenyewe na kwa jinsi ambayo wataelewa.<\/p>\n<p>&#8220;Kunaweza kuwa na kazi nyingi mno na wasiwasi mwingi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa hiyo kuna haja ya kuwepo kwa ufahamu wa kweli na mafunzo ya kuelewa ni wapi makundi haya yanatoka na jinsi gani mahitaji yao yanaweza kuwa tofauti na mahitaji ya mtu ambaye anaishi katika mji mkubwa, na kuja&#341;ibu kufanya kazi kuleta ufumbuzi.&#8221;<\/p>\n<p>Mwayafu alisisitiza haja ya kuwepo kwa usambazaji wa taa&#341;ifa kutoka pande zote mbili.<\/p>\n<p>&#8220;Kama unatekeleza m&#341;adi katika jamii, unapaswa kuwahimiza juu ya fu&#341;sa, changamoto na umuhimu wa m&#341;adi; wapatie fu&#341;sa za kuuliza maswali wakati uliopo na ujao kupitia mijadala, ili taa&#341;ifa zisiwe zina mwelekeo mmoja tu lakini kuwe na ubadilishanaji wa taa&#341;ifa hizo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Unapozungumza kuhusu REDD, ma&#341;a nyingi tunazungumzia kuhusu &#8216;binadamu na mahjitaji yao&#8217;,&#8221; Mwayafu alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Kama hatutaangalia masuala hayo ya vipato, tutakuwa tunafanya kazi kupingana na jamii zetu ambazo zinategemea zaidi &#341;asilimali za misitu kwa ajili ya vipato vyao,&#8221; Mwayafu alisema. &#8220;Kuna masuala mengi mno magumu ambayo yanajitokeza, masuala ya kijamii na ya kimazingi&#341;a na pia masuala ya kiuchumi.&#8221;<\/p>\n<p>Goe&#341;s Williams aliongeza: &#8220;sina uhakika kama tutakuja kuona mfumo mzu&#341;i wa REDD ambao unafanya kazi kimataifa, ukiongozwa na UNFCCC ambao utaweza kuwapatia fidia kiu&#341;ahisi watu ili kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini nadhani kuna mambo mengi mno madogo madogo ambayo REDD inaweza kuyafanya.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Uganda, Septemba 26 (IPS) &ndash; Wakati wino uliotumika kutia saini ya mkataba wa thamani ya dola milioni 3.6 kati ya Uganda na Benki ya Dunia kusaidia maandalizi ya taifa hilo ya Mpango wa REDD ukikauka, baadhi ya wachambuzi wa mambo wana mashaka mengi juu ya faida za baadaye za mpango huo. REDD (mpango wa kupunguza&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":970,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-4001","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4001","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/970"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4001"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4001\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4001"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4001"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4001"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}