{"id":3999,"date":"2013-07-19T13:40:01","date_gmt":"2013-07-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/19\/tanzania-lulu-yatimiza-ndoto-za-mafanikio-kwa-wanawake-zanziba\/"},"modified":"2013-07-19T13:40:01","modified_gmt":"2013-07-19T13:40:01","slug":"tanzania-lulu-yatimiza-ndoto-za-mafanikio-kwa-wanawake-zanziba","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/19\/tanzania-lulu-yatimiza-ndoto-za-mafanikio-kwa-wanawake-zanziba\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Lulu Yatimiza Ndoto za Mafanikio kwa Wanawake Zanziba&#341;"},"content":{"rendered":"<p>ZANZIBAR, Julai 19 (IPS) &ndash; Lulu ni miongoni mwa madini adimu sana ambayo hupatikana ndani ya viumbe baha&#341;i wajulikanao kama Chaza(viumbe vitokanavyo na jamii ya Konokono). Madini haya ya Lulu yameendelea kuwa adimu kwenye maeneo mengi kutokana na kukithi&#341;i kwa vitendo vya uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a hususan vitendo vya uvuvi ha&#341;amu pamoja na upasuaji wa ba&#341;uti katika matumbawe ambayo ndiyo nyumba kuu za Chaza.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Watengenezaji wa lulu na mapambo kwa kombe Zanziba&#341; ni m&#341;adi wa kimaisha ambao unakusudia kuufanya ukulima wa lulu na utengenezaji wa bidhaa za mapambo kwa kutumia mkono ikiwemo utumiaji wa magamba ya chaza na kombe kama ni njia moja wapo ya kujipatia kipato kwa jamii zinazoishi katika vijiji vya mwambao. Pia ni n jia inayotumika na wananchi hawa kutunza mazingi&#341;a ya baha&#341;i kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo. Wananchi hao wamekuwa wakitegemea ukusanyaji wa chaza na makombe kwa ajili ya chakula na biasha&#341;a. Eneo la Fumba Bondeni wilaya ya magha&#341;ibi, mkoa wa mjini Magha&#341;ibi Visiwani Zanziba&#341; ni miongoni mwa maeneo maa&#341;ufu kwa kilimo cha Chaza za Lulu, uzalishaji na uuzaji wa mapambo yatokanayo na madini aina ya Lulu. Hatua hiyo imefikiwa baada ya muunganiko wa vijiji vinne ambavyo vipo chini ya usimamizi wa M&#341;adi wa Uhifadhi wa Mazingi&#341;a ya Pwani(Tanzania Coastal Management Pa&#341;tne&#341;ship&ndash; Pwani P&#341;oject&ndash; TCMP&ndash; Pwani) ambao unafadhiliwa na shi&#341;ika la misaada la Ma&#341;ekani USAID na kupata ushau&#341;i wa kifundi kutoka Kituo cha Rasilimali za Baha&#341;i cha Chuo Kikuu cha Kisiwa cha Rhode nchini Ma&#341;ekani. Wananchi wa vijiji hivyo ambavyo ni Fumba Bondeni, Fumba Chaleni, Nyamazi na Bweleo walifikia hatua ya kuunda umoja baada ya kupata mafunzo ya utunzaji na uhifadhi wa mazingi&#341;a sambamba na utumiaji sahihi wa &#341;asilimali zinazowazunguka. Baada ya kujikita katika m&#341;adi huo, haba&#341;i za mafanikio zinatofautiana kutoka kwa mwanachama mmoja hadi mwingine. &#8220;Sikuona zawadi nyingine ya kumpatia mume wangu kutokana na kitendo chake cha ujasi&#341;i wa kuni&#341;uhusu kufanya kazi jambo ambalo ni kinyume na mila na destu&#341;i zetu zaidi ya kumnunulia Jahazi ili aweze kuendelea na shughuli zake za uvuvi kwa ufanisi mkubwa,&#8221; anasema Rahma Mussa mkazi wa Kijiji cha Fumba Chaleni, ambaye ameweza kupata mafanikio makubwa kutokana na kilimo hicho cha Chaza za Lulu.  Kwa mujibu wa Rahma &#341;uksa ya kufanya kazi kwa mwanamke ni jambo adimu sana kulingana na mila, tamaduni na destu&#341;i zao. Kimsingi Rahma ni mama wa familia ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wanawake walio katika umoja wa wakulima wa Chaza za Lulu. Awali mama huyu alikuwa akijishughulisha na shughuli za ukataji wa miti na uchomaji wa mkaa na kwa maelezo yake hakuwa akiamini kuwa baha&#341;i inaweza kuwa na &#341;asilimali za kumfanya yeye na familia yake wamudu kuendesha maisha yao ya kila siku. &#8220;Tumezoea toka enzi na enzi wazazi wetu, waume waliotuoa wote wavuvi lakini maisha yalikuwa ni vile vile bila mabadiliko yoyote zaidi ya kubobea katika umaskini&#8230;mimi sikujua kama siku moja baha&#341;i inaweza kunifikisha hapa nilipo,&#8221; anasema. Anasema ndoto za mafanikio zilianza kujitokeza baada ya wanawake kujikusanya ili kuunda vikundi ambavyo vingewezeshwa kutumia &#341;asilimali zitokanazo na Baha&#341;i katika kukabiliana na umaskini. &#8220;Nilipopata taa&#341;ifa za kutaka kujiunga na wenzangu katika vikundi kutoka washau&#341;i wa m&#341;adi wa TCMP, nilitafaka&#341;i na kukubaliana na wenzangu kujiunga katika vikundi ambavyo baadaye tulipata mafunzo ya matumizi ya &#341;asilimali zitokanazo na baha&#341;i ikiwemo kilimo cha chaza za lulu&#8221;,anafafanua. Rahma anasema awali kutokana na kutokuwa na jengo la kuweka biasha&#341;a zao walikuwa wakizitembeza kwenye maga&#341;i ya watalii hatua iliyomuwezesha kujifunza lugha mbalimbali za kigeni ikiwemo Kiitaliano ili kutamka bei na kupata wateja ki&#341;ahisi. &#8220;Sasa hivi najua kiitaliano yaani zile bei nazipanga kwa lugha zao mwanzo nilikuwa naogopa lakini sasa nipo taya&#341;i kukabiliana na mtu yeyote yule na kuzungumza naye biasha&#341;a. Nimepata ujasi&#341;i mkubwa sana hata kuzungumza mbele za watu kutokana na shughuli hizi&#8221;,anasema.  Kuhusiana na soko la bidhaa zao anasema ni kubwa na la uhakika ingawaje limekuwa ni la msimu kuanzia mwezi Julai hadi Machi ambapo kunakuwa na wimbi la watalii kutoka nje ya nchi. &#8220;Wageni wengi wanaanza mwezi wa saba kundi la kwanza ni la Waitaliano, wanakuja wazungu wengine na mwezi wa kumi wageni wengi ni kutoka Af&#341;ika ya Kusini katika kipindi hicho tunaingiza kuanzia dola 150 au wakati mwingine Eu&#341;o 200 kwa siku katika msimu. Kusema kweli biasha&#341;a inakuwa ni kubwa sana katika msimu huo wa Julai mpaka Machi kila mwaka,&#8221; anabainisha. Kwa mujibu wa mwanakikundi huyo ni kwamba kutokana na kilimo hicho maisha yao kwa ujumla yamebadilika na wameweza kupata mitaji ya kutosha katika kuanzisha biasha&#341;a nyingine.  M&#341;adi wa kilimo cha Chaza katika vijiji hivyo ulianza mwaka 2006 baada ya kujitokeza kwa wahisani na wafadhili mbalimbali ambao walifanya utafiti na kubaini kuwa iwapo mazingi&#341;a yatalindwa basi &#341;asilimali hiyo inaweza kuwa endelevu kwa kizazi cha sasa na baadaye. Lulu za maji ya baha&#341;ini hupatikana katika ukubwa na maumbile tofauti, hufanyika ndani ya gamba la chaza na kimsingi wananchi katika vijiji husika hujishughulisha na ukulima wa lulu kwa awamu zote toka kupachikwa kwa mbegu hadi uvunaji wa lulu ambazo hutengeneza mapambo na kombe ambazo husafishwa na kutengenezwa bidhaa kama vile mikufu, he&#341;eni na bangili. Alli Mataka, ni miongoni mwa wanakikundi ambao wanalima Chaza za Lulu katika maeneo hayo ambaye anasema ili kukabiliana na hali hiyo wameweka maeneo tengefu ya miamba kwa ajili ya uzalishaji endelevu wa chaza. Mataka anasema tangu kupandikizwa kwa vifungo vya chaza mpaka uzalishaji wa Lulu ni zoezi linalochukua kwa kipindi cha mwaka mmoja ingawaje mauzo yake nayo hudumu kwa mwaka mzima. &#8220;Pamoja na kwamba utaona ni muda m&#341;efu tangu kupandikiza kwa vifungo mpaka kupatikana kwa lulu lakini pia lulu inayopatikana unaweza kuiuza kwa mwaka mzima,&#8221; anafafanua Mataka. Kutokana na upatikanaji wa chaza kuhitaji uzamiaji baha&#341;ini wanavikundi wanaoendesha kilimo hicho wamejigawa katika makundi ambapo wanaume ndiyo wazamiaji baha&#341;ini na wanawake wamekuwa watengenezaji wa mapambapo yanayotokana na Lulu pamoja na Magamba ya Chaza. Miongoni mwa mapambo yanayotengenezwa kutokana na aina ya viumbe baha&#341;i hao ni pamoja na he&#341;eni,mikufu,na bidhaa nyingine mbalimbali za u&#341;embo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ZANZIBAR, Julai 19 (IPS) &ndash; Lulu ni miongoni mwa madini adimu sana ambayo hupatikana ndani ya viumbe baha&#341;i wajulikanao kama Chaza(viumbe vitokanavyo na jamii ya Konokono). Madini haya ya Lulu yameendelea kuwa adimu kwenye maeneo mengi kutokana na kukithi&#341;i kwa vitendo vya uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a hususan vitendo vya uvuvi ha&#341;amu pamoja na upasuaji wa ba&#341;uti&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":716,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3999","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3999","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/716"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3999"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3999\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3999"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3999"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3999"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}