{"id":3997,"date":"2013-07-15T13:40:01","date_gmt":"2013-07-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/15\/waelimishaji-wa-masuala-ya-kujamiiana-wapambana-kuvunja-miiko\/"},"modified":"2013-07-15T13:40:01","modified_gmt":"2013-07-15T13:40:01","slug":"waelimishaji-wa-masuala-ya-kujamiiana-wapambana-kuvunja-miiko","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/15\/waelimishaji-wa-masuala-ya-kujamiiana-wapambana-kuvunja-miiko\/","title":{"rendered":"Waelimishaji wa Masuala ya Kujamiiana Wapambana Kuvunja Miiko"},"content":{"rendered":"<p>KUALA LUMPUR, Julai 15 (IPS) &ndash; Mwandishi wa haba&#341;i wa Libe&#341;ia, Mae Azango, anasema alitumia mwaka mzima akiishi &#8220;kama panya, huku akipita mti mmoja hadi mwingine&#8221; akiwa na binti yake ili kuepukana na wanadini wenye msimamo mkali ambao walitishia kumuua kutokana na kutangaza masuala ya toha&#341;a kwa wanawake nchini mwake mwaka jana. Akiwa mwandishi mwandamizi katika gazeti la nchini humo la F&#341;ontPage Af&#341;ica, Azango aliiambia IPS kuwa pamoja na kwamba se&#341;ikali ya Libe&#341;ia ilitia saini mkataba mwaka 2012 unaoahidi wananchi wake haki ya haba&#341;i, inaendelea kushikilia takwimu za haki ya kujamiiana na uzazi kwa waandishi wa haba&#341;i.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kwa kila haba&#341;i ambayo naandika, nahata&#341;isha maisha yangu,&#8221; anasema, akiongeza kuwa nategemea kwa kiasi kikubwa taa&#341;ifa &#8220;za vyanzo vya si&#341;i&#8221; kutoka se&#341;ikalini kukusanya taa&#341;ifa, kwani ni haba&#341;i chache mno zinasambazwa kwa umma.<\/p>\n<p>Matatizo yake yanaungwa mkono na wanawake walio wengi na wataalam wa afya waliokusanyika katika mji mkuu wa Malaysia, Kuala Lumpu&#341; kwa ajili ya jukwaa la tatu la kila mwaka la Women Delive&#341; siku ya Alhamisi.<\/p>\n<p>Wakitoka pande zote za dunia, washi&#341;iki wa mkutano huo hawana shida na kubainisha malengo: na wameweza kuvunja miiko inayozunguka elimu ya kujamiiana na kujenga mazingi&#341;a salama ya utetezi, wasomi wa masuala ya afya na waelimishaji kusambaza elimu ya ngono salama na uzazi wa mpango.<\/p>\n<p>Nchini Mo&#341;occo, nchi yenye jumla ya wakazi milioni 32, mashule yamepigwa ma&#341;ufuku kutoa elimu ya kujamiiana kwa vijana kwasababu wabunge wana imani kuwa ni &#8220;dhana ya kishetani, iliyobuniwa kukuza uashe&#341;ati,&#8221; mtetezi wa afya ya kujamiiana na ya uzazi, Amina Lem&#341;ini, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Anasema mafanikio ya kubo&#341;esha huduma za afya ya uzazi nchini mwake yamekuja polepole mno kutokana na miiko iliyoanzishwa na viongozi wa kidini.<\/p>\n<p>Huku se&#341;ikali ikishindwa kuwakosoa viongozi wa dini, kazi ya kusambaza huduma muhimu za afya inaangukia kwa kiasi kikubwa kwa mashi&#341;ika ya kijamii, ambayo jitihada zao zinatishiwa.<\/p>\n<p>Lem&#341;ini anasema hatambui mwanaha&#341;akati hata mmoja wa haki za uzazi ambaye hajatishiwa maisha, hata hivyo se&#341;ikali haiwapatii ulinzi wowote ule.<\/p>\n<p>Matatizo yao yametambuliwa na wataalam wakongwe katika nyanja ya afya ya uzazi, ikiwa ni pamoja na mku&#341;ugenzi mtendaji wa Shi&#341;ika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA), Babatunde Osotimehin, ambaye aliiambia IPS kuwa imani kali za kidini ni &#8220;jambo linalotia wasiwasi&#8221; linapokuja suala la kuendeleza afya ya kujamiiana.<\/p>\n<p>Hata hivyo, bado anawataka wanaha&#341;akati kuendelea kufanya kazi zao, akiongeza kuwa, &#8220;Imani kali zinaendelea katika jamii na dini zote &ndash; jambo la msingi ni jinsi gani tunaweza kuwasilisha ujumbe.&#8221;<\/p>\n<p>Ana imani kuwa kama watu wengi zaidi wanatambua haki na chaguo lao, hawatasita kukataa she&#341;ia za kishamba na kile kinachojulikana kama &#8220;miiko ya kitamaduni.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Mtu wa kawaida mtaani hataki hali ambapo kifo kinaita kila wakati kutokana na sababu kwamba hakiwezi kuzuiliwa,&#8221; alisisitiza.<\/p>\n<p>Hata kwa kuangalia kwa ha&#341;aka takwimu za kimataifa inatosha kutoa msimamo wenye nguvu wa kuwasiliana vizu&#341;i: kwa mujibu wa UNFPA, ka&#341;ibu wanawake 800 wanakufa kila siku kutokana na matatizo yanayohusiana na mimba; kwa mwaka, idadi hiyo inafikia 350,000, ambapo kati ya vifo hivyo, asilimia 99 vinatokea katika nchi zinazoendelea.<\/p>\n<p>Utoaji wa mimba usiokuwa wa kitaalam na kutelekezwa kwa watoto wa kike wadogo wanaojifungua kumeasababisha wastani wa vifo milioni 134 duniani kote.<\/p>\n<p>Ikikusanya takwimu duniani kote, UNFPA inakadi&#341;ia kuwa &#8220;mamilioni ya watoto wa kike&#8221; wanafanya ngono isiyokuwa salama na wanakosa taa&#341;ifa za uzazi wa mpango. Osotimehin hivi ka&#341;ibuni aliandika kuwa &#8220;mahitaji yasiyofikiwa ya uzazi wa mpango ni miongoni mwa asilimia 33 ya watoto wa kike kati ya miaka 15 na 19 &#8230;nchini Ethiopia, asilimia 38 nchini Bolivia, asilimia 42 nchini Nepal, asilimia 52 nchini Haiti na asilimia 62 nchini Ghana.&#8221;<\/p>\n<p>Nya&#341;adzayi Gumbonzvanda, mkuu wa Chama cha Vijana wa Kik&#341;isto Wanawake (YWCA), aliiambia IPS kuwa kuwekeza katika mawasiliano ya afya ya kujamiiana na uzazi ni suala la kuchagua.<\/p>\n<p>&#8220;Tunahitaji mazingi&#341;a mazu&#341;i kwa wale wanaojadili suala hili,&#8221; alisema. &#8220;Tunahitaji kulinda vyombo vya haba&#341;i &ndash; hili siyo chaguo. Se&#341;ikali lazima iongeze kiwango cha ushi&#341;ikiano na kutoa msaada wa kishe&#341;ia pale ambapo haupo.&#8221;<\/p>\n<p>Gumbonzvanda anadhani kuwa uandishi wa haba&#341;i wa ki&#341;aia unapaswa kuchukua nafasi kuondokana na hata&#341;i inayotokana na misimamo mikali, siyo kwa kutoa sauti tu kwa wale ambao ma&#341;a nyingi hawasikiki, lakini pia kuwapatia uwezo wananchi wa kawaida kuchukua hatua.<\/p>\n<p>Hakuna mahali ambapo nguvu ya uandishi wa haba&#341;i wa jamii imeonekana zaidi kuliko kipindi cha mapinduzi nchini Mis&#341;i mwaka 2011, ambapo blogu, tweete&#341;, na Facebook vilichukua nafasi ya vituo vya televisheni, magazeti na vituo vya &#341;edio katika kuwafikia watu.<\/p>\n<p>Leo hii Wamis&#341;i wanakabiliana na se&#341;a za kihafadhina za utawala wa chama cha Muslim B&#341;othe&#341;hood, ambapo mitandao ya uandishi wa haba&#341;i wa kijamii imegeuza suala la afya ya uzazi na kujamiiana mada ambayo imetelekezwa na Uislam.<\/p>\n<p>Ahmed Awadalla, afisa jinsia na afya ya kujamiiana kwa Af&#341;ika katika Shi&#341;ika la Wakimbizi la Masha&#341;iki ya Kati (AMERA), aliiambia IPS kuwa kila mmoja anajadili suala la hata&#341;i ya kuwekwa kizuizini, kukamatwa na kuwekwa jela.<\/p>\n<p>Matokeo yake idadi ya wenye blogu inaongezeka kila siku, kwani wananchi na watetezi wanakimbilia katika nafasi ya mtandao kutafuta usalama wao katika kusambaza taa&#341;ifa.<\/p>\n<p>&#8220;Ninapoandika katika blogu kuhusu haki za kujamiiana za wanawake navunja she&#341;ia mbili,&#8221; Awadalla alisema. &#8220;Kwanza, kwa kuzungumza kuhusu suala ambalo limezuiliwa na pili kuzunguma kama mwanaume, ambaye hatakiwi kuchukua nafasi ya mwanamke.&#8221; Pamoja na kukabiliana na ukandamizaji mbaya, hakuna ambacho kitam&#341;ejesha nyuma kutoa utetezi wake.<\/p>\n<p>Lakini wakati wananchi wanabuni mawazo mapya ili kukabiliana na vitisho vikali vya kutoa elimu ya kujamiiana, wataalam wanasema se&#341;ikali lazima isiachwe kwa kushindwa kutoa huduma hizi za msingi.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali za ba&#341;a la Asia, Af&#341;ika na Ame&#341;ika Kusini, lazima ziwajibishwe na wafadhili wa kigeni, anasema Agnes Callama&#341;d, mku&#341;ugenzi mtendaji wa A&#341;ticle 19, London.<\/p>\n<p>&#8220;Kila se&#341;ikali imejitolea kutumia kiasi fulani cha fedha wanazopata (katika afya ya kujamiiana),&#8221; alisema, hivyo kufuatilia kumiminika kwa misaada kunaweza kushinikiza se&#341;ikali kubo&#341;esha &#341;ikodi zao za kutawanya taa&#341;ifa.<\/p>\n<p>Wakati shi&#341;ika lenye makao yake Mexico la G&#341;upo de Info&#341;maci&oacute;n en Rep&#341;oducci&oacute;n Elegida (GIRE) lilipoanza kufuatilia misaada inayopaswa kusaidia katika usambazaji wa taa&#341;ifa za afya ya uzazi na kujamiiana mwaka 2011, &#8220;tuligunndua kuwa ka&#341;ibu dola milioni zilikuwa zimepotea,&#8221; alisema Mtetezi wa Haki ya Haba&#341;i wa GIRE Alma Luz Belt&#341;&aacute;n y Puga. &#8220;Tulifungulia mashitaka se&#341;ikali kutokana na hili. Kama ufuatiliaji kama huo utafanyika duniani, unaweza kusababisha uwajibikaji wa kiasi kikubwa.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO), nchi zenye maendeleo zinachangia ka&#341;ibu dola bilioni 6.4 kusaidia kutoa taa&#341;ifa za afya ya uzazi katika nchi zinazoendelea. Kwa sasa ni hia&#341;i ya mashi&#341;ika ya kijamii kuhakikisha kuwa fedha zinatumika kwa umakini.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KUALA LUMPUR, Julai 15 (IPS) &ndash; Mwandishi wa haba&#341;i wa Libe&#341;ia, Mae Azango, anasema alitumia mwaka mzima akiishi &#8220;kama panya, huku akipita mti mmoja hadi mwingine&#8221; akiwa na binti yake ili kuepukana na wanadini wenye msimamo mkali ambao walitishia kumuua kutokana na kutangaza masuala ya toha&#341;a kwa wanawake nchini mwake mwaka jana. Akiwa mwandishi mwandamizi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":968,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3997","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3997","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/968"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3997"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3997\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3997"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3997"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3997"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}