{"id":3994,"date":"2013-07-12T13:40:01","date_gmt":"2013-07-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/12\/vijana-wasema-ni-rahisi-kupata-coca-cola-kuliko-kondomu\/"},"modified":"2013-07-12T13:40:01","modified_gmt":"2013-07-12T13:40:01","slug":"vijana-wasema-ni-rahisi-kupata-coca-cola-kuliko-kondomu","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/12\/vijana-wasema-ni-rahisi-kupata-coca-cola-kuliko-kondomu\/","title":{"rendered":"Vijana Wasema ni Rahisi Kupata Coca Cola Kuliko Kondomu"},"content":{"rendered":"<p>KUALA LUMPUR, Julai 12 (IPS) &ndash; &#8220;Kama nina kiu na nataka chupa ya Coca&ndash;Cola naweza kupata kiu&#341;ahisi, bila kujali nipo katika dunia gani wakati huo. Lakini ni kwa nini ni vigumu kupata njia za uzazi wa mpango au huduma za afya ya uzazi &#8221; aliuliza Ca&#341;los Jimmy Macazana Quispe, mwakilishi wa vijana kutoka nchini Pe&#341;u ambaye kwa sasa yupo mjini Kuala Lumpu&#341; katika mkutano wa tatu wa kimataifa wa wanawake unaojulikana kama &#8220;Women Delive&#341;&#8221; unaohusu afya na ustawi wa wanawake na watoto wa kike. Akiwa mwanachama wa NGO yenye makazi yake mjini Lima ya Instituto Pe&#341;uano de Pate&#341;nidad Responsable (INPPARES), ambayo inasaidia vijana wa Pe&#341;u kujifunza kuhusu haki zao za kujamiiana na uzazi, Quispe alikuwa akielezea kuchanganyikiwa kwake kuwa asilimia 36 ya watu wenye um&#341;i wa kufanya mapenzi nchini Pe&#341;u&ndash;wengi wakiwa vijana hawapati huduma za uzazi wa mpango.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kuna mamia ya vijana kama Quispe wanaoishi&#341;iki katika mkutano wa siku tatu ambao ulianza Mei 28, wengi wao wakitoka nchi zilizoendelea za Asia, Af&#341;ika na Ame&#341;ika Kusini ambako &#8220;njia za uzazi wa mpango &#8221; zinajulikana kuwa ni kondumu peke yake, hata hivyo mimba za um&#341;i mdogo zinazidi kuongezeka na ndoa za utotoni ma&#341;a nyingi zinaonekana kama za kawaida katika jamii.<\/p>\n<p>Mmoja wa mabalozi ni Sh&#341;eejana Baj&#341;acha&#341;ya, mshau&#341;i mtaalam wa vijana kutoka katika NGO ya Nepal ijulikanayo kama Ipas, inayofanya kazi ya kuzuia vifo na magonjwa yanyotokana na utoaji wa mimba usiokuwa salama nchini humo ambapo asilimia 21 ya mama wote wana um&#341;i chini ya miaka 18.<\/p>\n<p>Baj&#341;achay&#341;a, ambaye anatoa ushau&#341;i kwa vijana walioolewa na wasioolewa wanaofanya kazi viwandani kuhusu ngono salama, anasema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wanawake wenye um&#341;i wa kufanya ngono wanafanya ngono isiyokuwa salama na wana hata&#341;i ya kupata mimba kutokana na kuhofia kuwa njia za uzazi wa mpango zinaweza kudhu&#341;u maumbile yao.<\/p>\n<p>&#8220;Nilikutana na kijana ambaye aliniambia kuwa vidonge vya uzazi wa mpango vinaweza kuua figo au moyo,&#8221; aliiambia IPS, huku akiongeza kuwa: &#8220;Na hawa ni wanawake ambao wanaishi katika mji mkuu wa nchi Kathmandu. Kama kiwango cha ufahamu katika mji mkuu kiko chini kiasi hiki, fiki&#341;i itakuwaje kwa vijana wanaoishi maeneo ya vijijini.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Pablo Aguile&#341;a, mkuu wa shi&#341;ika la mjini New Yo&#341;k la HIV Young Leade&#341;s Fund, hali ni mbaya zaidi kwa jamii nyingi ambazo zinajibainisha kuwa zenye jinsia zaidi ya moja, au watu wanaoishi na VVU\/UKIMWI.<\/p>\n<p>Aguile&#341;a, ambaye yeye mwenyewe ni kijana anayeishi na VVU, alielezea matatizo mawili yanayofanana: siyo tu kwamba wako katika hata&#341;i ya kutokutambua taa&#341;ifa muhimu juu ya ngono salama na afya ya uzazi, lakini pia wanakabiliwa na kutokutambuliwa, hawaonekani katika &#341;ada za tafiti wala jitihada nyingine za kubainisha walengwa katika jamii.<\/p>\n<p>&#8220;Tunapaswa kushi&#341;ikisha vijana wengi zaidi waliopo katika makundi ya pembezoni na jamii zinazonyanyapawa,&#8221; aliielezea IPS, akiongeza kuwa vijana waliopo pembezoni lazima washi&#341;ikishwe katika tafiti &#8220;siyo kama watu wanaohojiwa lakini kama watu wanaohoji wengine. Hii haitasaidia tu kupokea taa&#341;ifa za awali kabisa, lakini pia itasaidia kuwahamasisha katika suala hilo kwa uha&#341;aka zaidi.&#8221;<\/p>\n<p>Wataalam wanaoongoza katika masuala ya afya ya uzazi wanatambua haja ya kuongeza jitihada. Babatunde Osotimehin, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), anakubaliana kuwa kuna uhaba wa takwimu za afya ya kujamiiana na uzazi, lakini anasema UNFPA inasaidia mashi&#341;ika ya se&#341;ikali duniani kote kutambua haja ya kutokomeza hali hii.<\/p>\n<p>Hata katika wakati ambapo takwimu zipo, se&#341;ikali hazizitumii kwa &#8220;malengo ya kiutendaji kama vile kupanga mipango, na hiyo ni changamoto kubwa,&#8221; Osotimehin aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Jyoti Sh&#341;eshtha, mwanafunzi wa udhamili kutoka Kathmandu, alisema se&#341;ikali ya Nepali &#8220;haifanyi jitihada za kutosha za kutoa elimu&#8221; juu ya masuala ya vijana kama vile VVU\/UKIMWI na haki za kujamiiana.<\/p>\n<p>Katika nchi kama za Bangladesh, anasema kiogozi wa wanafunzi Umme Mahbuba, matukio na mikutano kuhusu mimba, ndoa za utotoni, ngono salama na matumizi ya uzazi wa mpango inalenga zaidi wasomi na wataalam. &#8220;Ma&#341;a nyingi vijana hawahusishwi katika majukwaa haya kana kwamba masuala hayo siyo ya kwao,&#8221; Mahbuba aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Hii kwa kiasi inaweza kuhusishwa na maneno ambayo yanazunguka mazungumzo ya afya ya kujamiiana. Kwa mujibu wa Faustina Fynn&ndash;Nyame, mku&#341;ugenzi mkaazi wa Taasisi ya Kimataifa ya Ma&#341;ie Stopes (MSI) nchini Ghana, vijana wanatengwa na matamshi kama ya &#8220;kupanga uzazi&#8221;, ambayo hawawezi kuyaelewa.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna haja ya kuchukulia suala la mawasiliano kwa uzito mkubwa na kutumia maneno ambayo ni &#341;afiki kwa vijana,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Lakini hakuna hata moja kati ya mbinu hizi za ushi&#341;ikishwaji wa vijana zitakwenda mbali bila ya kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika jitihada hii ya kimataifa.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna haja ya kuchukua hatua za ha&#341;aka kuwekeza zaidi katika kujenga mbinu bo&#341;a za mawasiliano na kujenga ujuzi wa mawasiliano,&#8221; alisema Aguile&#341;a.<\/p>\n<p> Baadhi ya nchi zinakabiliwa na matatizo ya kifedha na nyingine hazina matatizo hayo. Sinthuka Vive, mwanafunzi kutoka eneo lenye vita la Jaffna kaskazini mwa S&#341;i Lanka, anasema se&#341;ikali inajitahidi kufadhili huduma za afya ya uzazi.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati wa vita hospitali nyingi ziliha&#341;ibiwa,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Chache ambazo zilibaki zinajitahidi kutoa huduma kwa wanawake walioolewa. Vijana, wakati huo huo, hawana pa kwenda, hakuna anayewapatia ushau&#341;i nasaha wala taaa&#341;ifa.&#8221;<\/p>\n<p>Suala la ufadhili limekuwa mjadala mkubwa katika mkutano unaoendelea nchini Malaysia, hasa juu ya ahadi zilizotolewa Julai 2012 katika mkutano wa kilele wa uzazi wa mpango mjini London, ambapo viongozi wa dunia waliahidi jumla ya dola bilioni 2.6 kutoa hudum za uzazi wa mpango kwa wanawake na watoto wa kike milioni 120 katika nchi maskini zaidi duniani ifikapo mwaka 2020.<\/p>\n<p>Bado inasubi&#341;iwa kuona kama fedha hizo zitatolea kubo&#341;esha afya ya kujamiiana na uzazi wa mpango kwa vijana duniani kote. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KUALA LUMPUR, Julai 12 (IPS) &ndash; &#8220;Kama nina kiu na nataka chupa ya Coca&ndash;Cola naweza kupata kiu&#341;ahisi, bila kujali nipo katika dunia gani wakati huo. Lakini ni kwa nini ni vigumu kupata njia za uzazi wa mpango au huduma za afya ya uzazi &#8221; aliuliza Ca&#341;los Jimmy Macazana Quispe, mwakilishi wa vijana kutoka nchini Pe&#341;u&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":968,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3994","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3994","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/968"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3994"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3994\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3994"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3994"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3994"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}