{"id":3990,"date":"2013-05-20T13:40:01","date_gmt":"2013-05-20T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/05\/20\/watu-milioni-mbili-wameweka-matumaini-yao-katika-usuluhishi-wa-mgogoo-wa-ziwa-nyasa\/"},"modified":"2013-05-20T13:40:01","modified_gmt":"2013-05-20T13:40:01","slug":"watu-milioni-mbili-wameweka-matumaini-yao-katika-usuluhishi-wa-mgogoo-wa-ziwa-nyasa","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/05\/20\/watu-milioni-mbili-wameweka-matumaini-yao-katika-usuluhishi-wa-mgogoo-wa-ziwa-nyasa\/","title":{"rendered":"Watu Milioni Mbili Wameweka Matumaini yao Katika Usuluhishi wa Mgogo&#341;o wa Ziwa Nyasa"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, Mei 20 (IPS) &ndash; Zaidi ya familia milioni mbili ambazo zinategemea Ziwa Nyasa kwa ajii ya kipato chao zinasubi&#341;i kwa hamu usuluhishi wa mgogo&#341;o wa ziwa hilo kati ya Malawi na Tanzania ili kukomesha mgogo&#341;o wa umiliki wa ziwa hilo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mchakato wa kutafuta ufumbuzi wa mgogo&#341;o huo baina ya pande husika utaanza mwezi Machi baada ya makubaliano ya mwezi Desemba ya nchi hizo mbili kutoa kibali kwa Jukwaa la Wakuu wa Zamani wa Af&#341;ika na Se&#341;ikali, linaloongozwa na &#341;ais wa zamani wa Msumbiji Joachim Chissano kuendesha usuluhishi huo.<\/p>\n<p>&#8220;Baada ya hatua kadhaa za kutatua mgogo&#341;o huo, tumekuja kukubaliana kuwa tumeshindwa na tunahitaji upande wa tatu kutusaidia,&#8221; Katibu Mkuu katika Wiza&#341;a ya Mambo ya Nje ya Malawi, Pat&#341;ick Kambabe, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Mwezi Janua&#341;i, Malawi iliwakilisha msimammo wake baada ya kukubali kuwa Jukwaa hilo lingesaidia kutatua mgogo&#341;o huo,&#8221; Kambabe alisema. &#8232; Katika mahojiano na vyombvo vya haba&#341;i vya Tanzania, katibu mkuu wa wiza&#341;a ya mambo ya nje ya Tanzania John Haule alithibitisha kuwa nchi yake pia imekubali kushi&#341;ikisha viongozi wa zamani na imepeleka msimamo wake kwa Chissano.<\/p>\n<p>&#8220;Jukwaa kwa sasa linapitia wa&#341;aka wetu na baada ya hapo litatafuta taa&#341;ifa zaidi kama zinahitajika,&#8221; kwa mujibu wa Haule.<\/p>\n<p>Alisema kuwa alita&#341;ajia kuwa suala hilo litatatuliwa katika kipindi cha miezi mitatu.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa mamlaka, Wamalawi wapatao milioni 1.5 na Watanzania 600,000 wanategemea ziwa hilo la tatu kwa ukubwa ba&#341;ani Af&#341;ika kwa ajili ya chakula, usafi&#341;i na mahitaji mengine ya kila siku.<\/p>\n<p>Wakati IPS ilipotembelea Wilaya ya Ka&#341;onga, katika mwambao wa Ziwa Nyasa, jamii kuzunguka ziwa hilo zilisema zina wasiwasi kuhusu uhasama unaozidi kuongezeka na wanata&#341;ajia ma&#341;idhiano kupatikana.<\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa navuka mpaka kuingia Kyela nchini Tanzania kila baada ya wiki mbili kuuza suka&#341;i na kupata nguo, ambazo naziuza upande wa nchini kwetu. Lakini sasa nakwenda huko ma&#341;a moja tu kwa mwezi kwasababu maafisa uhamiaji wa Tanzania katika mpaka wa Songwe wamekuwa wakali sana,&#8221; alisema Joyce Nyi&#341;ongo, mama wa watoto wanne.<\/p>\n<p>Likijulikana kama Ziwa Malawi upande wa Malawi na Lago Niassa nchini Msumbiji, mgogo&#341;o wa ziwa hilo umeongezeka kutokana na hifadhi kubwa ya gesi na mafuta, kwa mujibu wa taa&#341;ifa za ka&#341;ibuni za se&#341;ikali ya Malawi.<\/p>\n<p>Uwezekano wa kuwepo kwa mafuta na gesi kumeibua upya mgogo&#341;o wa mpaka kati ya Malawi na Tanzania, ambao umebaki bila kutatuliwa kwa ka&#341;ibu nusu ka&#341;ne.<\/p>\n<p>Mgogo&#341;o ulienea Julai iliyopita wakati Malawi ilipotoa kibali cha kutafuta mafuta kwa kampuni yenye makao yake nchini Uinge&#341;eza ya Su&#341;est&#341;eam Pet&#341;oleum.<\/p>\n<p>Na Desemba mwaka jana Malawi ilitoa leseni nyingine kubwa kwa kampuni ya mafuta ya SacOil Holdings Ltd.kutoka Af&#341;ika Kusini, hatua ambayo imeongeza msuguano.<\/p>\n<p>Mataifa hayo yameja&#341;ibu ma&#341;a mbili kutatua mgogo&#341;o kwa njia za kidiplomasia lakini imeshindikana.<\/p>\n<p>Mataifa yote mawili yanata&#341;ajia matokeo mazu&#341;i ambayo yatatatua mgogo&#341;o huo kabisa wakati mchakato wa usuluhishi utakapoanza mwezi Machi.<\/p>\n<p>Madai ya mikataba ya kikoloni Rais wa kwanza wa Malawi, Hastings Kamuzu Banda, alikuwa wa kwanza kudai kuwa Ziwa Nyasa ni sehemu ya nchi yake. Alikuwa akitoa madai yake hayo kutokana na mkataba wa 1890 unaojulikana kama Mkataba wa Heligoland kati ya Uinge&#341;eza na Uje&#341;umani, ambao ulielezea kuwa mpaka kati ya nchi hizo mbili uwepo upande wa Tanzania wa ziwa hilo.<\/p>\n<p>Mkataba huo uli&#341;idhiwa katika Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Nchi Hu&#341;u za Af&#341;ika mwaka 1963 nchini Ethiopia na ulikubaliwa shingo upande na Tanzania.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Mambo ya Nje wa Malawi Eph&#341;aim Chiume aliiambia IPS kuwa msimamo wao unajikita katika Mkataba wa 1890 na kuwa Umoja wa Af&#341;ika mwaka 2002 na 2007 ulipitisha azimio la kuendeleza mkataba huo wa kikoloni.<\/p>\n<p>&#8220;Mkataba wa Heligoland ulitupatia ziwa lote sisi na huu ndiyo msingi wa msimamo wetu na uthibitisho kuwa ziwa lote ni la kwetu,&#8221; alisema Chiume.<\/p>\n<p>Msimamo wa Tanzania ni kwamba mkataba huo una mapungufu. Tanzania imebakia na msimamo kuwa inamiliki nusu ya ziwa hilo &ndash; ikisema kuwa mpaka kati ya nchi hizo mbili upo katikati mwa ziwa ukiondoa sehemu ya taifa la Msumbiji.<\/p>\n<p>Msimamo wa Tanzania ni kuwa mpaka upo katikati mwa ziwa, na kusisitiza kuwa hii ni kanuni inayofuatwa kama nchi zinamiliki bodi ya maji kwa pamoja.<\/p>\n<p>&#8220;Tanzania inafuata she&#341;ia za kimataifa, ambazo zinasema kuwa mipaka kwa ujumla inakuwa katikati mwa maji &#8230; kwa sababu hiyo Tanzania inamiliki nusu ya ziwa,&#8221; Wazi&#341;i wa Mambo ya Nje wa Tanzania Bena&#341;d Membe aliiambia IPS katika mahojiano kwa njia ya simu.<\/p>\n<p>Membe alisema mkataba una mapungufu kwasababu umewanyima Watanzania wanaoishi kandokando mwa ziwa haki zao za kutumia maji na &#341;asilimali za majini kuendesha maisha yao ya kila siku.<\/p>\n<p>Hii ni misimamo ambayo Chissano na wenzake wawili; &#341;ais wa zamani wa Af&#341;ika Kusini Thabo Mbeki na &#341;ais wa zamani wa Botswana Ketumi&#341;e Masi&#341;e watayapitia.<\/p>\n<p>Suala la Kimazingi&#341;a Wakati huo huo, mgogo&#341;o huo pia umeibua suala la madha&#341;a ya kuchimba mafuta katika ziwa hilo la maji ba&#341;idi ambalo limejaliwa kuwa na aina tofauti zaidi ya 2,000 ya samaki, ambalo linavutia pia wapiga mbizi kutoka duniani kote.<\/p>\n<p>Wanamazingi&#341;a nchini Malawi wana wasiwasi uchimbaji wa mafuta utaha&#341;ibu bayoanuai ya ziwa hilo inayovutia utalii wa kimazingi&#341;a na mazingi&#341;a ya ziwa hilo na hivyo kuathi&#341;i mikoa inayotegemea uvuvi kaskazini mwa nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Utahata&#341;isha maisha ya mamilioni ya watu kijamii na kiuchumi ambao moja kwa moja wanategemea maji ya ziwa hilo, usafi&#341;i na suala la msingi zaidi p&#341;otini inayotokana na samaki,&#8221; alisema Reginald Mumba wa shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la Hifadhi ya Mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>Baada ya mazungumzo baina ya nchi hizo mbili kushindikana mwishoni mwa mwaka jana, Rais wa Malawi Joyce Banda alielezea nia yake ya kupeleka suala hilo Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa.<\/p>\n<p>Wanasiasa na wavuvi kwa pamoja kwa sasa wana matumaini yao kuwa mchakato wa ma&#341;idhiano utaleta suluhisho la amani la mgogo&#341;o huo bila hata kuhusisha mahakama hiyo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, Mei 20 (IPS) &ndash; Zaidi ya familia milioni mbili ambazo zinategemea Ziwa Nyasa kwa ajii ya kipato chao zinasubi&#341;i kwa hamu usuluhishi wa mgogo&#341;o wa ziwa hilo kati ya Malawi na Tanzania ili kukomesha mgogo&#341;o wa umiliki wa ziwa hilo. Mchakato wa kutafuta ufumbuzi wa mgogo&#341;o huo baina ya pande husika utaanza mwezi Machi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":965,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3990","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3990","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/965"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3990"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3990\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3990"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3990"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3990"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}