{"id":3871,"date":"2012-06-27T13:40:01","date_gmt":"2012-06-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/siyo-njaa-tatizo-ni-usalama-wa-chakula\/"},"modified":"2012-06-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-27T13:40:01","slug":"siyo-njaa-tatizo-ni-usalama-wa-chakula","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/siyo-njaa-tatizo-ni-usalama-wa-chakula\/","title":{"rendered":"&#8220;Siyo Njaa, Tatizo ni Usalama wa Chakula&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Juni 27 (IPS) &ndash; Mamilioni ya familia maskini zaidi nchini Angola wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kutokana na kipindi ki&#341;efu cha ukame katika maeneo mengi ya nchi hiyo kuha&#341;ibu mavuno na kuua mifugo. Hadi watoto 500,000 kwa sasa wanadhaniwa kuugua utapiamlo mkali uliosababishwa na kushuka kwa uzalishaji wa chakula baada ya msimu m&#341;efu wa ukame miezi mitatu ya mwanzo wa mwaka huu. Kwa sasa vituo vya kutoa chakula vya dha&#341;ula vimeanzishwa katika jamii zilizoathi&#341;ika vibaya zaidi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Majimbo ya Huambo, Bie, Benguela na Zai&#341;e katika eneo la katikati na kasizni mwa Angola yameathi&#341;ika zaidi, lakini katika nchi nzima wakulima wadogo na wa biasha&#341;a wameathi&#341;ika. Mavuno yameshuka kwa asilimia 70 katika baadhi ya maeneo. Halafu kuna taa&#341;ifa za wakulima wa kilimo cha kujikimu wanaotelekeza mashamba yao kwa ajili ya kutafuta aji&#341;a mijini ili kuweza kulisha familia zao, na mashamba makubwa ya biasha&#341;a yanapunguza wafanyakazi kutokana na kwamba hakuna mavuno kabisa. Pamoja na Angola kuwa na a&#341;dhi kubwa yenye &#341;utuba na utabi&#341;i wa Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni kuwa Pato la taifa nchini humo yaani GDP litaongezeka hadi asilimia 9.7 mwaka 2012, ka&#341;ibu theluthi mbili ya kaya za vijijini zinaishi chini ya dola 1.75 kwa siku. Vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu ka&#341;ibu miongo minne (1961&ndash;2002) viliacha nchi ikiwa na vifo vingi zaidi vya uzazi duniani, huku asilimia 20 ya watoto wakifa&#341;iki kabla ya kutimiza um&#341;i wa miaka mitano. Lishe duni ni moja ya sababu kuu za kiwango cha juu cha vifo na kwa mujibu wa Utafiti wa Taifa wa Lishe, uliofanyika mwaka 2007, ka&#341;ibu asilimia 30 ya watoto chini ya miaka mitano wamedumaa, zaidi ya asilimia nane wanafa&#341;iki, na ka&#341;ibu asilimia 16 wana uzito duni. Koen Vano&#341;melingen, mwakilishi wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa nchini Angola, alielezea kuwa mavuno duni ya mwaka huu taya&#341;i yalikuwa yameshaathi&#341;i watoto wengi, ambao walionyesha dalili ya utapiamlo mkali. &#8220;Watu hawa taya&#341;i walikuwa wakiishi katika umaskini uliokithi&#341;i na muda mwingi walikuwa wakipata shida ya kupata matumizi yao ya kila siku,&#8221; alisema. &#8220;Lakini wakati walikuwa wakila milo mitatu kwa siku, kwa sasa wanakula mlo mmoja tu kwa siku, na pengine miwili, na wanakula mlo duni mno wa mihogo na ndizi. &#8220;Ni hali mbaya sana na tuna mashaka makubwa kwasababu tunaona ongezeko kubwa la utapiamlo na vifo vya watoto vinavyohusiana na utapiamlo,&#8221;aliongeza. Se&#341;ikali imetenga dola milioni 43 kwa ajili ya kampeni ya kukabiliana na dha&#341;ula, ambayo itahusisha usambazaji wa chakula na maji na pembejeo nyingine kusaidia wakulima kuokoa mazao yao yalioyopotea. Kwa kuongeza, usafi&#341;ishaji wa chakula chenye lishe kinachotumika kutibu utapiamlo taya&#341;i kimeshaingizwa nchini kwa msaada wa shi&#341;ika la Clinton Foundation. Taya&#341;i kipo taya&#341;i kupelekwa katika vituo vya lishe ambavyo vimeanzishwa nchini kote. &#8220;Hii siyo njaa, tatizo ni kukosekana kwa usalama wa chakula,&#8221; Vano&#341;melingen alielezea. &#8220;Kuna chakula kilichopo; suala ni kuwa kutokana na watu kutokuzalisha chakula cha kutosha, inabidi kununua zaidi. &#8220;Na kutokana na azalishaji wao kushuka, kipato chao kimeshuka pia hivyo hawawezi kununua chakula, na kutokana na uzalishaji kushuka na mahitaji kuongezeka, bei imepanda &ndash; na katika baadhi ya maeneo imepanda ma&#341;a mbili.&#8221; Kushuka huku kwa uzalishaji wa mazao ya chakula ni moja ya kikwazo kikuu nchini Angola, ambayo imekuwa ikija&#341;ibu kufufua sekta ya kilimo ambayo iliwahi kuwa na mafanikio makubwa lakini ikaha&#341;ibiwa na vita. Katika jitihada za kusaidia kuongeza uzalishaji, mwaka jana se&#341;ikali ilizindua mpango wa kutoa mikopo midogo wa thamani ya dola milini 150 kuwapatia wakulima wadogo mikopo ya kununulia mbegu na mbolea. Lakini kutokana na mavuno kuwa haba sasa, familia nyingi zinapata shida ya kulipia madeni yao. &#8220;Uni&atilde;o Nacional das Associa&ccedil;&otilde;es de Camponeses Angolanos&#8221;, umoja wa kitaifa wa vyama vya wakulima, umesema kuwa se&#341;ikali itasaidia kuziba pengo kwa kutumia mabenki ya biasha&#341;a, ambayo yametoa mikopo. Lakini Bela&#341;mino Jelembi, mku&#341;ugenzi wa shi&#341;ika kubwa zaidi la maendeleo ya vijijini nchini Angola la &#8220;Ac&ccedil;&atilde;o pa&#341;a o Desenvolvimento Ru&#341;al e Ambiente&#8221;, alitoa tahadha&#341;i: &#8220;Se&#341;ikali inapaswa kuwa na tahadha&#341;i kubwa ya jinsi ya kusimamia jambo hili, kwasababu kuna hata&#341;i kuwa kama halitasimamiwa vizu&#341;i, mpango mzima utashindwa kufanya kazi.&#8221; Aliongeza kuwa: &#8220;Jambo ambao hali hii inatueleza ni kuwa tunahitaji kufanya kazi zaidi kusaidia wakulima wadogo kuwa na zana za msingi kwa ajili ya umwagiliaji, ili watu wasiendelee kutegemea mvua. &#8220;Tunapaswa kufiki&#341;i juu ya mambo ya msingi katika ngazi ya chini, badala ya kuwekeza katika fedha nyingi katika mi&#341;adi mikubwa inayohitaji mtaji mkubwa ambayo ma&#341;a nyingi inakuwa haina manufaa.&#8221; Ab&#341;antes Ca&#341;los, mku&#341;ugenzi wa kilimo wa kanda katika Wiza&#341;a ya Kilimo jimbo la Benguela, ambako familia zipatazo 100,000 au zadi ya familia milioni moja sasa zina uhaba wa chakula, alikubaliana kuwa &#8220;mifumo endelevu zaidi &#8221; ya umwagiliaji inahitajika. &#8220;Benguela ni jimbo ambalo ma&#341;a nyingi linakabiliwa na ukame, hivyo tunahitaji kuwa na umwagiliaji mzu&#341;i ili tuweze kumudu hali hii,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Tuna mito mikubwa katika jimbo lakini hatuisimamii vizu&#341;i, na hatuna takwimu sahihi kuhusu ni kiasi gani cha maji kinapatikana.&#8221; Ca&#341;los alisema kuwa kukosekana kwa maji katika jimbo, ambako mito mingi imekauka, ni hali mbaya ambayo eneo hilo limeishuhudia kwa kipindi cha miaka 30 iliyopita, na kwamba kwa ma&#341;a ya kwanza tangu kumalizika kwa vita mwaka 2002 kuna mipango ya kuanza kutoa misaada ya chakula kwa familia. &#8220;Kwa sasa watu bado wana kiasi fulani cha chakula, lakini hali katika miezi mitatu ijayo inaweza kuzidi kuwa mbaya,&#8221; alisema. Alisema kuwa se&#341;ikali ilikuwa ikisaidia katika kuchimba visima vi&#341;efu vipya kuja&#341;ibu kutafuta maji, na pia ilikuwa ikitoa mbegu za mazao ambazo zingeweza kupandwa katika miezi ya ba&#341;idi, ili kuongeza mavuno katika kipindi kijacho. Jelembi alika&#341;ibisha ahadi ya se&#341;ikali ya kutaka kutoa misaada, lakini alisema: &#8220;Tumeona matangazo mengi mno kuhusu kile ambacho se&#341;ikali inataka kufanya kusaidia watu, lakini kwa vitendo hakuna linalofanyika.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Juni 27 (IPS) &ndash; Mamilioni ya familia maskini zaidi nchini Angola wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kutokana na kipindi ki&#341;efu cha ukame katika maeneo mengi ya nchi hiyo kuha&#341;ibu mavuno na kuua mifugo. Hadi watoto 500,000 kwa sasa wanadhaniwa kuugua utapiamlo mkali uliosababishwa na kushuka kwa uzalishaji wa chakula baada ya msimu m&#341;efu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":533,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3871","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3871","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/533"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3871"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3871\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3871"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3871"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3871"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}