{"id":3837,"date":"2012-04-19T13:40:01","date_gmt":"2012-04-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/mto-limpopo-unapogeuka-kuwa-vumbi\/"},"modified":"2012-04-19T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-19T13:40:01","slug":"mto-limpopo-unapogeuka-kuwa-vumbi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/mto-limpopo-unapogeuka-kuwa-vumbi\/","title":{"rendered":"Mto Limpopo Unapogeuka Kuwa Vumbi"},"content":{"rendered":"<p>BEITBRIDGE, Zimbabwe, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; Chapita Ramovha anakumbuka siku ambazo Mto Limpopo ulipozingi&#341;a kijiji chake kusini mwa Zimbabwe. Anasema kuwa hapo kabla wakazi wa kijiji cha Makakavhule ilibidi kujenga ukuta m&#341;efu kulinda makazi yao kutokana na mafu&#341;iko. &#8220;Mto Limpopo ni kitu cha kushangaa, uzu&#341;i wa asili, chanzo cha chakula na kipato kwa ajili yetu sisi ambao tunaishi kandokando ya mto huo,&#8221; anakumbuka mkulima huyo mdogo mdogo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini sasa anapouangalia ukikatiza katika a&#341;dhi, anaona tu mto mkubwa, kilima cha mchanga ambacho hakionyeshi maisha ya asili. &#8220;Vumbi,&#8221; analaumu Ramovha, ambaye ameishi hapo tangu mwaka 1942. &#8220;Hakuna kitu ila mto wa vumbi.&#8221; Hapo kabla, kilimo na utalii vilishami&#341;i hapa katika Mto Limpopo. Eneo lilijulikana vizu&#341;i kwa maziwa yake mazu&#341;i na mashamba makubwa ambayo yalizalisha mazao ya kilimo. &#8220;Lakini njia hizo za maisha zinatishiwa na uhaba mkubwa wa maji ambao unaelezea mgogo&#341;o mpana wa kikanda,&#8221; Ramovha anasema. Bonde la Mto Limpopo ni moja ya mambonde yenye uhaba wa maji, kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, ukame mkali unajitokeza katika bonde la mto kila baada ya miaka 10 hadi 20. Bonde lina eneo la ukubwa wa kilomita za m&#341;aba zipatazo 413,000 ambazo zinapatikana katika nchi nne &ndash; Botswana, Msumbiji, Af&#341;ika Kusini na Zimbabwe &ndash; na kuwa na atha&#341;i kwa watu wapatao milioni 14, wengi wao wakiwa wakulima wadogo. Hekta zipatazo 244,000 zinamwagiliwa na wastani wa hekta 234,000 zinatumiwa kwa kuzalisha mazao ya kilimo hapa, wakati hekta milioni 1.7 zinatumika kwa malisho. Hata hivyo, kutokana na usimamiaji mbaya wa mazingi&#341;a, ni visiki tu vya miti vimesimama bila mpangilio katika ukingo wa mto. Watu wamekata miti ambayo hapo kabla ilitumika kuukinga mto, na kwa miaka mingi kuufanya kuwa makazi ya kaa, samaki na wanyama mwitu. &#8220;Lakini katika mashimo machache ya maji katika eneo hili la mto ni ma&#341;a chache unaweza kuona vyu&#341;a. Mto umekwenda, mchanga umechukua nafasi. Mvua siyo za kuaminika tena. Zinakuja kwa kuchelewa na ma&#341;a nyingine hazinyeshi kabisa,&#8221; Ramovha anasema. Anasema joto la kila siku limeongezeka katika ukanda na limeshaua maeneo mengi ambayo ni chanzo cha maji ya mto ambayo hapo kabla yalikuwa yamejaa majani, na hivyo kunyima mifugo na wanyama po&#341;i malisho na makazi. Timothy Chauke, mkulima na mtafiti msaidizi wa kukusanya takwimu wa Ba&#341;aza la Kilimo la m&#341;adi wa Bonde la Limpopo, anasema ukame umekuwa jambo la kawaida na kuha&#341;ibu masuala yote ya mazingi&#341;a yanayoathi&#341;i bonde. Chauke, ambaye ni mkulima wa mazao na mfugaji, anasema madha&#341;a yanaonekana katika uchumi, katika jamii na kimazingi&#341;a. &#8220;Mvua zisizokuwa za uhakika zina maana kuwa muhula wa mvua ma&#341;a nyingi hauanzi kama inavyota&#341;ajiwa na inaweza kuwa ya kushangaza, wakati mvua ya msimu mzima inaweza kunyesha kwa siku chache tu.&#8221; Anasema katika kipindi cha miaka kadhaa ameshuhudia kupungua kwa ubo&#341;a wa malisho na mazao ya kilimo, na hii imesababisha kupungua kwa ubo&#341;a wa maisha na kipato. &#8220;Uhaba wa chakula sasa ni mkubwa. Matukio ya utapiamlo na njaa yanaongezeka. Mavuno shambani mwangu yamepungua kutoka tani tano kwa hekta za mahindi hadi chini ya tani tatu. Mazingi&#341;a yetu ya asili yameha&#341;ibiwa, na matokeo yake inaathi&#341;i uzalishaji,&#8221; Chauke anasema. Anaongeza kuwa gha&#341;ama za pembejeo pia zimepanda jinsi miaka inavyoongezeka. Wakulima wengi waliohojiwa na IPS kandokando mwa Mto Limpopo wanasema kina cha maji kimepungua kwa kasi kubwa kutokana na kuongezeka kwa joto wakati wa mchana. Kipindi ambacho kilipaswa kuwa cha mvua, ukame unakuja na kuua mazao yote. Vumbi linalotokana na hali hiyo na upepo mkali wa mchanga umemomonyoa a&#341;dhi na kusababisha uchafuzi wa hali ya hewa, wakati huo huo ikipunguza &#341;utuba ya a&#341;dhi. &#8220;Tunakabiliwa na a&#341;dhi isiyokuwa na &#341;utuba na vyanzo vichache vya maji. Mito mingi ambayo inalisha Limpopo ina uwezo wa kutoa maji kwa kipindi kifupi cha mwaka,&#8221; Chauke anasema. Uchafuzi wa mazingi&#341;a na ushindani wa maji katika maeneo ya mto kunachangia matatizo ya upatikanaji wa &#341;asilimali. Umaskini unaenea kwa kasi na watu wamekuwa &#341;ahisi mno kuathi&#341;ika na ukame na kushindwa kwa mazao hapa. Kila mmoja kati ya mito midogo 24 ambayo inalisha bonde ina wanajamii ambao wastani wa pato lao la mwaka ni chini ya dola 200. Njaa na utapiamlo vimekuwa jambo la kawaida. Watu wapatao milioni moja katika bonde kwa sasa wanategemea chakula cha msaada. Akihutubia Jukwaa la Kimataifa la Maji na Chakula nchini Af&#341;ika Kusini mwezi Disemba, Dk. Simon Cook, mwanasayansi katika Kituo cha Kimataifa cha Kilimo cha Kit&#341;opiki na mkuu wa Mpango wa CIGAR wa Maji na Chakula (CPWF) katika Bonde hilo, alisema mabadiliko ya tabia nchi yanata&#341;ajiwa kuongeza matatizo ya Af&#341;ika ya &#341;asilimali maji na usalama wa chakula. Cook anasema utafiti unathibitisha kuwa kupanda kwa joto duniani kunata&#341;ajiwa kuongeza mafu&#341;iko katika baadhi ya maeneo, kutasababisha kupungua kwa uzalishaji wa kilimo, kutishia bayoanuwai na uzalishaji wa maliasili, kuongezeka kwa magonjwa yanayosababishwa na vimelea kwenye maji, na kuongezeka kwa hali ya jangwa. Kama sehemu ya m&#341;adi wa miaka mitano wa utafiti wa kimataifa, wanasayansi kutoka CPWF walitathmini madha&#341;a yanayoweza kujitokeza ya joto kali na kubadilika kwa mwelekeo wa mvua kunakosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi, miongoni mwa mambo mengine, katika mabonde matano ya mto. Katika mchakato huo, wanasema, baadhi ya mazingi&#341;a yasiyokuwa ya uhakika yameonekana katika maeneo ya Af&#341;ika. Wakati wa mahojiano ya simu na IPS, Cook anasema suala la kutiliwa mashaka ni kuongezeka kwa joto na kupungua kwa mvua. Cook anasema kuna haja ya watafiti kuuliza kama mikakati ya maendeleo ya kilimo ya sasa katika Limpopo, ambayo inabainishwa kulingana na viwango vya sasa vya upatikanaji wa maji, inaonyesha ukweli kwamba katika siku zijazo kunaweza kukawepo changamoto mpya na fu&#341;sa mbalimbali. Katika taa&#341;ifa kwa vyombo vya haba&#341;i ya hivi ka&#341;ibuni mku&#341;ugenzi wa CPWF kuhusu Maji na Chakula, Alain Vidal, anasema maoni mapya juu ya madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi katika mabonde ya mto yanaweza kuonyesha haja ya kupitia upya dhana juu ya upatikanaji wa maji. Vidal anasema Mto Limpopo, kama ilivyo kwa mito mingi duniani, unaathi&#341;ika kwa kiasi kikubwa na kuongezeka kwa joto. &#8220;Katika baadhi ya maeneo ya Mto Limpopo hata matumizi makubwa ya ubunifu kama vile kutumia njia za umwagiliaji yanaweza kutotosha kuondokana na madha&#341;a hasi ya mabadiliko ya tabia nchi katika upatikanaji wa maji,&#8221; Vidal anasema. &#8220;Lakini katika maeneo mengine, uwekezaji katika kilimo kinachotegemea mvua kama vile kuvuna maji ya mvua, mashimo ya mchanga na hifadhi ndogo za maji kunaweza kubo&#341;eshwa, kwani kunaweza kukawepo na mvua ya kutosha kwa mikakati ya kiubunifu kukuza uzalishaji. Suala la msingi ni kupata takwimu zinazohitajika kutoa maamuzi sahihi.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BEITBRIDGE, Zimbabwe, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; Chapita Ramovha anakumbuka siku ambazo Mto Limpopo ulipozingi&#341;a kijiji chake kusini mwa Zimbabwe. Anasema kuwa hapo kabla wakazi wa kijiji cha Makakavhule ilibidi kujenga ukuta m&#341;efu kulinda makazi yao kutokana na mafu&#341;iko. &#8220;Mto Limpopo ni kitu cha kushangaa, uzu&#341;i wa asili, chanzo cha chakula na kipato kwa ajili yetu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":825,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3837","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3837","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/825"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3837"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3837\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3837"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3837"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3837"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}