{"id":3819,"date":"2012-03-16T13:40:01","date_gmt":"2012-03-16T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/16\/mitandao-ya-jamii-yaokoa-redio-ya-jamii-ya-zamani-zaidi-afika\/"},"modified":"2012-03-16T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-16T13:40:01","slug":"mitandao-ya-jamii-yaokoa-redio-ya-jamii-ya-zamani-zaidi-afika","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/16\/mitandao-ya-jamii-yaokoa-redio-ya-jamii-ya-zamani-zaidi-afika\/","title":{"rendered":"Mitandao ya Jamii Yaokoa Redio ya Jamii ya Zamani Zaidi Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, Machi 16 (IPS) &ndash; Wakati kulipokuwa na mgogo&#341;o wa kiuchumi ambao uliathi&#341;i kuendelea kufanya kazi kwa kituo cha zamani zaidi cha &#341;edio ya jamii Af&#341;ika cha Bush Radio, maombi yalimiminika kwa wingi katika mitandao ya jamii kama vile Twitte&#341; na Facebook. Hatimaye kutokana na msaada huu wa kupitia kwenye mitandao ya jamii ambayo ilisababisha kupatikana kwa fedha kutoka kwa wahisani ili kusaidia kituo hicho.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Ujumbe ulifika kwa watoa maamuzi, na kutokana na kuwa ujumbe ulikuwa mbele yao kila wakati, kulipatikana wanaotaka kutoa msaada kusaidia kituo hicho,&#8221; alisema Ad&#341;ian Louw, mwanamipango katika mtandao wa jamii ambaye amefungua fu&#341;sa mpya za &#341;edio za jamii mjini Cape Town, Af&#341;ika Kusini. Siyo tu kwamba wana uwezo wa kutangaza kiufanisi zaidi na kuwa na wasikilizaji, lakini wanaweza kutangaza kwa gha&#341;ama nafuu zaidi.<\/p>\n<p>Bush Radio inawafikia kwa uchache wasikilizaji 260 000, hasa katika nyumba za maskini za Cape Flats, ambazo hapo zamani zilitengwa kwa ajili ya watu wenye &#341;angi mchanganyiko kipindi cha ubaguzi wa &#341;angi.<\/p>\n<p>Lakini kutokana na mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitte&#341;, YouTube na blog, Bush Radio sasa inaendelea kusikilizwa kwenye jamii yote.<\/p>\n<p>&#8220;Matumizi ya mitandao ya kijamii yamekuwa muhimu mno kwetu sisi kwani ime&#341;uhusu kufanya mambo bila ya kuwa na wabunifu maalum ambao wanajua itifaki za intaneti,&#8221; alisema Louw.<\/p>\n<p>Kituo hicho kina histo&#341;ia kubwa ya uasi wakati wa zama za kikoloni. Katika kipindi hicho ilitangaza kinyume cha she&#341;ia baada ya kukataliwa maombi yake kadhaa ya kutaka leseni. Tangu kilipopewa leseni ya kutangaza mwaka 1994, kituo hicho kiliendelea kukua jinsi siku zilivyosonga mbele.<\/p>\n<p>&#8220;Kama matumizi ya blog yanafanya kazi, ni kwa nini kulipa maelfu ya Rands za Af&#341;ika Kusini kutengeneza tovuti nzu&#341;i kwa ajili ya kuingiza haba&#341;i zetu wakati kuna p&#341;og&#341;amu ya CMS (content management system)ya bu&#341;e na inafanya kazi &#8221; aliuliza Louw.<\/p>\n<p>Mambo ya msingi kwa vipindi vya Bush Radio yanajikita kwenye masuala yanayowagusa wasikilizaji wake. Masuala hayo ni pamoja na VVU\/UKIMWI, matumizi ya madawa ya kulevya, umaskini na uhalifu. Kwa kuelezea masuala haya kupitia mitandao ya jamii inasaidia kwa njia nyingi.<\/p>\n<p>&#8220;Kitu kizu&#341;i kwa mitandao ya jamii ni kuwa inasaidia vyombo vya haba&#341;i vya jamii kufikisha ujumbe wake, katika kuongeza kusikilizwa kwa kituo na kuwafanya watu kuhisi kuwa wanamiliki kituo chao kwasababu wanaweza sasa kuwasiliana ha&#341;aka kupitia kituo,&#8221; anasema Louw.<\/p>\n<p>&#8220;Hata kama huvutiwi na kitu unapata haba&#341;i ya kukufahamisha, kama vile &#8216;usisahau kuwa kipindi cha &#341;edio cha Sakhisizwe kitakuja kuzungumzia juu ya masuala ya VVU\/UKIMWI saa 6 mchana.&#8217; Kwa njia hiyo, wasikilizaji maalum wanafuatilia.&#8221;<\/p>\n<p>Bush Radio pia inasifika kwa kuwafundisha vijana jinsi ya kutangaza. Mitandao ya jamii imewawezesha kueneza ujumbe kwa ha&#341;aka. &#8220;Kwa mfano tuliaji&#341;i wafanyakazi wa kujitolea wa kuandaa haba&#341;i. Tulipata majibu kutoka kwa zaidi ya waombaji sitini katika kipindi cha siku tatu.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa upande wa Bush Radio, mitandao ya jamii inasaidia kuziba mapengo ya udhaifu wa &#341;edio &ndash; katika uasilia wake wa papo kwa papo na kutoa taa&#341;ifa kwa ufupi. Kwa mitandao ya jamii, kituo hicho kwa sasa kinaweza kupeleka ujumbe muhimu ambao unakuwepo katika intaneti.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna imani ya dhati kuwa ni lazima teknolojia ifanye kazi katika kubo&#341;esha maisha ya watu,&#8221; alisema Louw. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, Machi 16 (IPS) &ndash; Wakati kulipokuwa na mgogo&#341;o wa kiuchumi ambao uliathi&#341;i kuendelea kufanya kazi kwa kituo cha zamani zaidi cha &#341;edio ya jamii Af&#341;ika cha Bush Radio, maombi yalimiminika kwa wingi katika mitandao ya jamii kama vile Twitte&#341; na Facebook. Hatimaye kutokana na msaada huu wa kupitia kwenye mitandao ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":818,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3819","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3819","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/818"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3819"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3819\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3819"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3819"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3819"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}