{"id":3783,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/afrika-inatafutwa-miji-ya-kijani\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"afrika-inatafutwa-miji-ya-kijani","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/afrika-inatafutwa-miji-ya-kijani\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Inatafutwa: Miji ya Kijani"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Jan 9 (IPS) &ndash; Katika ba&#341;a la Af&#341;ika, ambako ukuaji wa miji utakuwa moja ya maendeleo makubwa katika miongo michache ijayo, utakuwa msingi wa miji kujitathmini jinsi gani ya kubeba ukuaji mkubwa wa miji na ukuaji mkubwa wa kiuchumi unaohitajika, wakati huo huo kukijengwa miji ambayo ni &#341;afiki wa mazingi&#341;a na kupunguza gesi ukaa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Pato kubwa la taifa duniani linazalishwa katika miji mikubwa, na miji imekuwa makao makuu ya uchumi, maeneo ambayo ubunifu na mabadiliko yanaanzia. Lakini hali hiyo pia ni sababu kuu ya uchafuzi na uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Miji inachangia zaidi ya asilimia 75 ya gesi joto, kutokana na kuwa maeneo ambayo watu wanaishi kwa wingi,&#8221; alisema Ma&#341;lene La&#341;os, mshau&#341;i wa se&#341;a na mikakati wa ICLEI Af&#341;ika Kusini, chama cha kimataifa cha se&#341;ikali za mitaa kinachopigania maendeleo endelevu. <\/p>\n<p>La&#341;os aliongea wakati wa uzinduzi wa mkutano wa &#8220;Kuchochea Mabadilko&#8221; wenye lengo la kukabiliana na jinsi miji ya Af&#341;ika inaweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi mjini Cape Town, Af&#341;ika Kusini, kuanzia Nov. 18 hadi 20.<\/p>\n<p>&#8220;Hadi mwaka 2050, asilimia 60 ya wakazi ba&#341;ani Af&#341;ika watakuwa wakiishi katika miji mikubwa, kutoka asilimia 40 ya sasa. Huo ni ukweli ambao hatuwezi kuubadili. Changamoto zetu ni jinsi gani ya kukubaliana na ukuaji wa miji,&#8221; alisema La&#341;os. Alipendekeza hili linaweza kufanyika kwa kuchanganya masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na maendeleo na se&#341;a za kiuchumi, ili umaskini, ajenzi wa aji&#341;a na masuala ya mazingi&#341;a yaweze kushughulikiwa wakati mmoja badala ya kushughulikiwa kwa kuyatenga.<\/p>\n<p>Mabadiliko ya tabia nchi yameunganishwa mno na mazingi&#341;a, uchumi, siasa, umaskini, usalama wa chakula, upatikanaji wa maji, miongoni mwa mambo mengine. Kama Waaf&#341;ika wanataka kujenga miji ya kijani, watahitaji kuzingatia hayo yote, alisema La&#341;os. <\/p>\n<p>Moja ya kikwazo kikubwa cha kujenga miji ya kijani ni kwa mataifa ya Af&#341;ika kuongeza ma&#341;a mbili miundombinu yake ifikapo mwaka 2050 kuhudumia miji yao inayokua kwa kasi. Hiyo itakuwa na maana ya ujenzi mkubwa &ndash; huku sekta ya ujenzi kuwa moja ya wachafuzi wakubwa wa mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Sekta ya ujenzi inatumia asilimia 30 hadi 45 ya nishati inayozalishwa kimataifa. Tunatumia asilimia sita had nane ya mafuta ya pet&#341;oli kwa ujenzi. Gha&#341;ama hizo ni za juu mno na ambazo siyo endelevu,&#8221; alionya mshau&#341;i mtaalam wa masuala ya mazingi&#341;a Robe&#341;t Zipplies. &#8220;Tunahitaji kutafuta njia tofauti na ambazo ni &#341;afiki wa mazingi&#341;a kujenga miji yetu.&#8221;<\/p>\n<p>Huu hautakuwa mpango &#341;ahisi, hata hivyo, kutokana na maendeleo ya kiuchumi kuendelea kujitokeza katika mazingi&#341;a ya ba&#341;a hilo ambako kupunguza umaskini na kujenga aji&#341;a ni vipaumbele vya juu kwa kila se&#341;ikali. Hivyo kujenga ge&#341;eji ya kuegesha maga&#341;i kuna faida kubwa ya kibiasha&#341;a katika miji ya Af&#341;ika kama Cape Town, bila kujenga maeneo ya jumuiya au viwanja vya kupumzikia, alibainisha La&#341;os. <\/p>\n<p>Kutokana na mpango wa matumizi ya mazingi&#341;a na shinikizo za soko ambako kunasaidia mataji&#341;i wa mjini, maskini wa mjini ba&#341;ani Af&#341;ika ambao ndiyo kaya nyingi &ndash; wanazidi kuwa &#341;ahisi kuathi&#341;ika na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi. Hii inatishia njia za kukabiliana na mabadiliko za jumuiya za mijini katika ba&#341;a.<\/p>\n<p>Wana mipango miji, kwa hivyo, wangekuwa katika nafasi nzu&#341;i ya kuchangia katika kupambana na mabadiliko ya tabia nchi, lakini katika ba&#341;a la Af&#341;ika, ushi&#341;iki wao umekuwa mdogo mno. Ni mikakati michache ya manisipaa inachambua na kufuatilia sababu za majanga au kuwa na tathmini za majanga zilizopo na madha&#341;a ya baadaye ya mabadiliko ya tabia nchi katika maeneo ya mjini.<\/p>\n<p>Kupunguza uzalishaji wa gesi ukaa katika miji kuna faida nyingi, kama vile wakazi wenye afya, alisema Leonie Joube&#341;t, mwandishi wa haba&#341;i za mazingi&#341;a wa Af&#341;ika Kusini, ambaye ameandika vitabu kadhaa vya mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Miji ya Af&#341;ika imesambaa sana na ni myembamba, ikiwa na maana kuwa inachukua muda m&#341;efu na fedha kusafi&#341;isha bidhaa. Imebuniwa kuwa na gesi ukaa nyingi. Kila mzigo unaoingia katika mji inahitaji huduma ya usawa wa ikolojia kuzalisha chakula na usafi&#341;ishaji wake,&#8221; alielezea. <\/p>\n<p>Matokeo yake, chakula kinachosafi&#341;ishwa katika maeneo ya gha&#341;ama ya mjini kina kiasi kikubwa cha gesi ukaa, na wakati huo huo kikiwa na lishe chache na kilichosindikwa. &#8220;Miji inatufanya kuwa wanene na wagonjwa,&#8221; Joube&#341;t alibainisha. &#8220;Tuna gonjwa la unene wa kupitiliza ba&#341;ani Af&#341;ika, ikiwa ni pamoja na utapiamlo mkali. Na katika mzizi wa hili kuna matatizo makubwa ya mabadiliko ya tabia nchi.&#8221;<\/p>\n<p>Ana imani kuwa moja ya ufumbuzi ni kuwa na uchumi mzu&#341;i katika miji ya Af&#341;ika. &#8220;Itakuwa &#341;ahisi na nafuu kuanzisha mifumo ya usafi&#341;i wa umma, ambayo ita&#341;uhusu maga&#341;i machache na kuwa na watu wengi wanaotembea kwa miguu. Maga&#341;i mengi ya umma pia yatapunguza gha&#341;ama za chakula cha afya na kiwango cha gesi ukaa, kwasababu itakuwa &#341;ahisi kusafi&#341;isha kuingia mjini,&#8221; Joube&#341;t alielezea. Alihamasisha wananchi kuanza kudai miji ya kijani katika ngazi ya manisipaa. <\/p>\n<p>Mabadiliko ya tabia nchi siyo suala kwa se&#341;ikali za kitaifa kulishughulikia pekee, kwani madha&#341;a yake yanawapata watu katika ngazi ya se&#341;ikali za mitaa. Se&#341;ikali za mitaa zipo ka&#341;ibu zaidi na pale ambako madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi yataweza kushughulikiwa na hivyo kuwezesha ujenzi wa miji isiyokabiliwa na atha&#341;i za mabadiliko hayo, wakati huo huo ukizuia matatizo katika maendeleo ya kiucumi na kijamii.<\/p>\n<p>Joube&#341;t ana imani kila Mwaf&#341;ika anayeishi katika mji ana jukumu: &#8220;Kama mtu wa kawaida, se&#341;a za se&#341;ikali ya kitaifa zinaonekana kutokupenyeka, lakini katika ngazi ya jiji, ni &#341;ahisi sana kujipanga kama jumuiya.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Jan 9 (IPS) &ndash; Katika ba&#341;a la Af&#341;ika, ambako ukuaji wa miji utakuwa moja ya maendeleo makubwa katika miongo michache ijayo, utakuwa msingi wa miji kujitathmini jinsi gani ya kubeba ukuaji mkubwa wa miji na ukuaji mkubwa wa kiuchumi unaohitajika, wakati huo huo kukijengwa miji ambayo ni &#341;afiki wa mazingi&#341;a na kupunguza gesi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":211,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3783","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3783","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/211"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3783"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3783\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3783"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3783"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3783"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}