{"id":3782,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/afrika-badilisheni-mazingia-ya-wafadhili\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"afrika-badilisheni-mazingia-ya-wafadhili","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/afrika-badilisheni-mazingia-ya-wafadhili\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Badilisheni Mazingi&#341;a ya Wafadhili"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 9 (IPS) &ndash; Wakati mi&#341;adi ya kilimo cha bustani iliyofadhiliwa na wafadhili ilipovunjika katika kijiji cha Kalacha kandokando mwa Jangwa la Chalbi katika Jimbo la Kaskazini Masha&#341;iki mwa Kenya, jumuiya ya wafugaji wa eneo hilo walikuja na wazo lao, ambalo lilikuja kuwa ufumbuzi wa matatizo yao.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Wakati kilimo cha bustani kilipoanzishwa na mashi&#341;ika kadhaa yasiyokuwa ya kise&#341;ikali miaka mitano iliyopita, kwa kweli tulifu&#341;ahishwa kwasababu ilikuwa fu&#341;sa kwa maisha ya wafugaji ambao taya&#341;i walikuwa wakitishiwa na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini kabla ya kuchukua muda m&#341;efu, tuligundua kuwa kila kitu kilikuwa hakina maana tena kwasababu nyani na wanyama wengine walianza kula mazao hayo,&#8221; alisema Abdi Tuya, mkazi wa Kalacha.<\/p>\n<p>Hata hivyo, baada ya ushau&#341;iano na wanajamii, mpango wa Kenya A&#341;id and Semi A&#341;id Lands Resea&#341;ch P&#341;og&#341;amme (KASAL), ambao unatekelezwa na taasisi ya Utafiti wa Kilimo Kenya (KARI), uligundua kuwa wanajumuiya walikuwa taya&#341;i na wazo linalofaa la m&#341;adi huo.<\/p>\n<p>&#8220;Walisisitiza kuwa walitaka kutumia maji na a&#341;dhi kupata majani kulisha mbuzi na ngamia wao, hasa wakati wa ukame,&#8221; Dk. David Miano, mkuu wa KASAL aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Jimbo la Kaskazini Masha&#341;iki kwa ujumla ni la ukame, ambalo, muda wote linakuwa kavu. Lakini kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, hali imekuwa mbaya zaidi huku kukiwa na mvua zisizotabi&#341;ika na za hapa na pale.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali inakadi&#341;ia kuwa zaidi ya wanyama wanaofugwa milioni 50 katika ukanda huo wako katika hata&#341;i ya kufa, wakati zaidi ya watu milioni 1.4 wanahitaji msaada wa chakula kutokana na ukame kuzidi kuwa mbaya.<\/p>\n<p>Lakini wakazi wa Kalacha walipendekeza kuwa maji kutoka katika chemichemi jangwani yanaweza kutumika kupanda majani ya jadi, ambayo yanaweza kutumika kulisha mifugo.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ililazimu wanasayansi wetu kuanzisha m&#341;adi mpya wa utafiti kubainisha aina mbalimbali ya majani ya jadi ambayo yanavumilia ukame, na ambayo yana lishe ya kutosha kwa ajili ya kunenepesha wanyama,&#8221; alisema Miano.<\/p>\n<p>Na miaka miwili sasa, wakulima wanaweza kuonyesha maelfu ya mifugo ambao wangeweza kufa katika ukame wa hivi ka&#341;ibuni kwenye eneo hilo, kama wasingekuwa na jinsi ya kuwalisha.<\/p>\n<p>&#8220;Kilimo cha majani ni bo&#341;a zaidi ambacho kimejitokeza kwangu. Wanyama wote waliokosa lishe wana&#341;ejeshwa kutoka maeneo ya kuchungia ili kupewa majani ya kuwanenepesha. Katika mwaka uliopita, nimeweza kuokoa hadi mbuzi 80 ambao walikuwa wanaka&#341;ibia kufa na ukame,&#8221; alisema Tuya, ambaye anamiliki mbuzi 450 na ngamia 15.<\/p>\n<p>Hapo kabla ufumbuzi ungekuwa kuwachinja wanyama.<\/p>\n<p>Mafanikio yanayotokana na jamii yenyewe kama haya ya Kalacha, yamefanya wataalam wa hali ya hewa wa Af&#341;ika kusema kuwa ufumbuzi wa Af&#341;ika ndiyo pekee unaweza kutumika kukabiliana na mabadilikio ya tabia nchi. Wito huo unakuja kabla ya Mkutano wa 17 wa Pande Zinazohusika katika Mkataba wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa utakaofanyika mjini Du&#341;ban, Af&#341;ika Kusini kuanzia Nov. 28 hadi Des. 9.<\/p>\n<p>&#8220;Tumekuja kukubaliana na hali halisi kuwa m&#341;adi wenye mafanikio unaweza kuwa katika eneo moja, na hii haina maana kuwa utaweza kufanikiwa katika eneo jingine pia, hata kama hali ya hewa na mazingi&#341;a ya kijiog&#341;afia yanafanana,&#8221; alisema Rajend&#341;a Kuma&#341; Pachau&#341;i, mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa Juu ya Mabadiliko ya Tabia Nchi (IPCC).<\/p>\n<p>&#8220;Mi&#341;adi yenye faida kubwa nchini Mongolia, kwa mfano, inaweza isifanikiwe ba&#341;ani Af&#341;ika,&#8221; Pachau&#341;i aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wataalam wanasema kuwa taasisi za utafiti ba&#341;ani Af&#341;ika lazima ziongeze utafiti wa mabadiliko ya tabia nchi ba&#341;ani Af&#341;ika ili kubo&#341;esha wigo wa kisayansi na kupunguza kutokuwa na uhakika wa njia zinazofaa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Katika eneo hili, utafiti unapaswa kuendana na mahitaji ya eneo husika, unapaswa kuwa wa kivitendo zaidi na unaoendeshwa na se&#341;a,&#8221; alisema Pachau&#341;i.<\/p>\n<p>Hii inakuja baada ya mi&#341;adi kadhaa ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kuonekana haifai kwa wakazi wa maeneo husika. <\/p>\n<p>Mfano ni kuanzisha kilimo cha mimea aina ya P&#341;osopis juliflo&#341;a, ambayo asili yake ni Mexico, Ame&#341;ika Kusini na Ca&#341;ibbean, ambayo ilitakiwa kuwezesha maeneo yenye ukame kuwa na misitu, lakini ikashindwa na baadaye kuonekana kuwa adui wa eneo hilo.<\/p>\n<p>Nchini Ethiopia, tafiti zilionyesha kuwa mimea hiyo imekuwa na matokeo hasi katika usalama wa chakula kwa watu na kipato chao, hasa katika mkoa wa Afa&#341; kaskazini mwa Ethiopia, ambapo imevamia a&#341;dhi ya kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kuwa tuna matumizi tofauti ya miti hii, ambayo ni pamoja na nishati, kujenga fensi, ujenzi wa nyumba, mkaa, tungefu&#341;ahi kama mtu angetufundisha jinsi ya kuondokana na Woyane ha&#341;a (jina la eneo hilo linalotumika kwa mimea aina ya p&#341;osopis),&#8221; Ato Kebele, mkazi wa Afa&#341; ambaye anafanya kazi katika mji mkuu, Addis Ababa, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Tungependa kupanda miti ya jadi badala ya mimea hii adui,&#8221; alisema Kebele.<\/p>\n<p>Nchini Kenya, wakazi wa Kata ya Ba&#341;ingo katika Bonde la Ufa walipeleka Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) mahakamani mwaka 2007. Walikuwa wakidai kuwa baada ya shi&#341;ika hilo kuingiza miti aina ya p&#341;osopis, ambayo pia inajulikana kama Mathenge nchini humo, katika eneo hilo ilivamia mashamba yao, na kuathi&#341;i meno ya mbuzi ambao walikula vikonyo vyake. Walionyesha mbuzi asiyekuwa na meno kama ushahidi.<\/p>\n<p>Kufuatia tukio hilo, mahakama ilitangaza mti huo kuwa sumu na kutoa am&#341;i kwa se&#341;ikali kuuha&#341;ibu na kuunda tume ya kuchunguza kiasi cha uha&#341;ibifu utakaotakiwa kulipwa kama fidia kutokana na matumizi ya mti huo.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Alexande&#341; Alusa, mshau&#341;i wa se&#341;a wa mabadiliko ya tabia nchi katika ofisi ya wazi&#341;i mkuu nchini Kenya, anaonya kuwa hata baada ya kutumia ufumbuzi wa Kiaf&#341;ika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, se&#341;a zinapaswa kuwa madhubuti ili ziweze kufanya kazi kwa ufanisi.<\/p>\n<p>&#8220;Nchini Kenya, kwa mfano, se&#341;ikali ambayo ilipatia watu a&#341;dhi katika msitu wa Mau kupitia Wiza&#341;a ya A&#341;dhi ni se&#341;ikali hiyo hiyo ambayo inajitahidi kuhifadhi msitu kupitia Wiza&#341;a ya Maizngi&#341;a. Lakini kama se&#341;a zinakwenda pamoja, uchanganyaji huu wa mambo usingejitokeza,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>* Makala hii ni moja ya makala zinazofadhiliwa na shi&#341;ika la &#8220;Climate and Development Knowledge Netwo&#341;k&#8221;. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 9 (IPS) &ndash; Wakati mi&#341;adi ya kilimo cha bustani iliyofadhiliwa na wafadhili ilipovunjika katika kijiji cha Kalacha kandokando mwa Jangwa la Chalbi katika Jimbo la Kaskazini Masha&#341;iki mwa Kenya, jumuiya ya wafugaji wa eneo hilo walikuja na wazo lao, ambalo lilikuja kuwa ufumbuzi wa matatizo yao. &#8220;Wakati kilimo cha bustani kilipoanzishwa na mashi&#341;ika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":5,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3782","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3782","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/5"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3782"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3782\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3782"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3782"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3782"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}