{"id":3773,"date":"2011-12-06T13:40:01","date_gmt":"2011-12-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/06\/malawi-hakuna-usalama-wa-kijamii-kwa-maskini\/"},"modified":"2011-12-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-12-06T13:40:01","slug":"malawi-hakuna-usalama-wa-kijamii-kwa-maskini","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/06\/malawi-hakuna-usalama-wa-kijamii-kwa-maskini\/","title":{"rendered":"MALAWI: Hakuna Usalama wa Kijamii kwa Maskini"},"content":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Dec 5 (IPS) &ndash; Katika kijiji cha Mbedza, jumuiya ya kijijini kusini mwa Malawi, Fedson Feston anatoa tabasamu la kujilazimisha la kitoto na anaelekeza mikono yake myembamba usoni mwa mama yake. Akiwa na um&#341;i wa miezi minne, Fedson ni mtoto mno kujua kuwa ana bahati kubwa kuwa bado yupo hai.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wakati mama yake, Manes, alipokuwa na uchungu, yeye na mume wake walikuwa mbali na hospitali ya ka&#341;ibu. Wanandoa hao walikuta kichaka kando ya ba&#341;aba&#341;a, na hapo ndipo Fedson na ndugu zake wawili &ndash; ambao wanafanya mapacha watatu &ndash; walipozaliwa.<\/p>\n<p>Mmoja wao, mtoto wa kiume mwenye jina la Eze&#341;a, alifa&#341;iki hospitalini siku iliyofuata. Muda mfupi baada ya hapo, Fedson na dada yake, Mandaliza, walitolewa hospitalini.<\/p>\n<p>Wakiwa wamezaliwa kabla ya wakati na wakiwa dhaifu, watoto hao walihitaji uangalizi maalum, Manes anakumbuka dakta&#341;i alimweleza. &#8220;Watoto walipaswa wakati wote kufunikwa tumboni na kuwa katika eneo lenye joto,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Lakini ilikuwa wakati wa maji&#341;a ya ba&#341;idi, na kazi hiyo ilikuwa ngumu kuifanya.<\/p>\n<p>Wanatoka familia maskini, na mume wa Manes ma&#341;a zote amekuwa mbali akitafuta aji&#341;a. Wakati huo huo, wanandoa hao walikuwa na watoto wengine watano wa kuwahudumia.<\/p>\n<p>Ilichukua muda m&#341;efu kabla Mandaliza hajafa&#341;iki.<\/p>\n<p>&#8220;Nyumba ambayo tunaishi katika kibanda hiki cha muda haina joto la kutosha kwa watoto wasiotimiza um&#341;i wa kuzaliwa,&#8221; Manes alisema. &#8220;Nadhani hilo lilichangia kupoteza mtoto wetu mwingine.&#8221;<\/p>\n<p>Baada ya Manes kuokoka uzazi mgumu, huduma za kijamii zingeweza kuokoa mtoto wa pili. <\/p>\n<p>Kwacha chache za Malawi (kama dola mbili hivi) zingeweza kununulia familia mablanketi na mafuta ya taa, au hata kiasi kidogo cha bima ya kukosa aji&#341;a ingeweza kutolewa kwa familia kuiwezasha kuwa na kiasi kidogo cha usalama wa kifedha. (Mume wa Manes alikuwa kiba&#341;ua asiyekuwa na kazi wakati mapacha hao watatu walipozaliwa.)<\/p>\n<p>Lakini katika nchi hii ndogo katika ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika, mpango huo wa usalama wa jamii kwa kiasi kikubwa haupo.<\/p>\n<p>&#8220;Kwangu mimi, hii ni sababu ni kwa nini wanawake kama mimi wanateseka na wanafikia kiwango cha kupoteza watoto ambao wangeweza kuishi,&#8221; Manes alilalamika.<\/p>\n<p>Hali ya familia hii siyo ya pekee. Nchini Malawi, asilimia 74 ya wakazi wanaishi chini ya dola 1.25 kwa siku, na ka&#341;ibu mtoto mmoja kati ya watoto 10 anafa&#341;iki kabla ya kuadhimisha miaka yake mitano ya kuzaliwa kwake.<\/p>\n<p>Ikielezea ukweli kuwa idadi kubwa ya wakazi wametengwa na jamii kutokana na umaskini na kukosekana kwa usawa, Ripoti ya mwaka 2010 ya Ib&#341;ahim ya Utawala Bo&#341;a Af&#341;ika hivi ka&#341;ibuni ilipatia Malawi nafasi ya chini kabisa ya pili kati ya 10.<\/p>\n<p>Kuna she&#341;ia yenye lengo la kulinda familia zisipate shida, kama vile She&#341;ia ya Aji&#341;a na she&#341;ia iliyo&#341;ekebishwa hivi ka&#341;ibuni ya Pensheni.<\/p>\n<p>Hata hivyo, kwa mujibu wa &#341;ipoti ya mwaka 2010 ya Ofisi ya Shi&#341;ika la Kazi Duniani mjini Geneva, asilimia 90 ya Wamalawi &ndash; zaidi ya watu milioni 13 &ndash; wanafanya kazi nje ya uchumi wa sekta &#341;asmi.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Kazi Lucius Kanyumba alisema kuwa se&#341;ikali imeja&#341;ibu kuwaweka watu hao kwenye ulinzi wa she&#341;ia. Kifungu cha 43 cha She&#341;ia ya Aji&#341;a kinazungumzia faida za viba&#341;ua, alibainisha. Na ma&#341;ekebisho ya mwaka 2010 ya she&#341;ia yamepunguza kipindi cha kuhitimu kupatiwa malipo ya muda m&#341;efu kutoka miezi kumi na mbili hadi mitatu.<\/p>\n<p>&#8220;Huu ni motisha ambao se&#341;ikali inatengeneza katika jitihada za kutafutia ufumbuzi kukosekana kwa usawa kwa wafanyakazi wote wa Malawi,&#8221; alisema, &#8220;iwe katika sekta &#341;asmi au isiyokuwa &#341;asmi.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini ushahidi unaonyesha kuwa jitihada hizo zinashindwa kufikia watu wanaohitaji msaada zaidi. <\/p>\n<p>Jonathan Mbenje, 73, ni mlinzi wa usiku. &#8220;Kwangu mimi, kufanya kazi katika um&#341;i huu wa uzeeni siyo suala la kuchagua,&#8221; alisema. &#8220;Kwa kuwa mlinzi, hasa katika um&#341;i wangu, ni hata&#341;i sana.&#8221;<\/p>\n<p>Mbenje alidai kuwa wakati mwaji&#341;i wake na wengine wengi wanapolipia mafao ya kuacha kazi yanakuwa madogo mno kuliko inavyotakiwa kishe&#341;ia.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi, wanamlipa mtu kati ya dola 120 hadi 240,&#8221; alisema, akisisitiza kuwa hayo ni malipo ya ma&#341;a moja. &#8220;Kwa kiasi hicho cha fedha, huwezi kuishi; hivyo bado ninafanya kazi katika um&#341;i wa miaka 73.&#8221;<\/p>\n<p>Enock Anda&#341;adi, 79, alielezea haba&#341;i inayofanana na hiyo. Akikutwa akiokoteza katika dampo la taka mjini Blanty&#341;e, Anda&#341;adi alielezea kuwa aliwahi kuwa mlinzi, na sasa analazimika kuishi kwa taka za wengine.<\/p>\n<p>Alisema kuwa hajawahi kusikia huduma zozote za jamii ambazo zinatolewa kwa wazee.<\/p>\n<p>Chandiwi&#341;a Chisi, m&#341;atibu wa Malawi wa shi&#341;ika la Action Aid, shi&#341;ika lenye makao yake nchini Uinge&#341;eza ambalo linalenga katika kupunguza umaskini, alisema kuwa hali kama hiyo ni ukweli usiopingika katika uchumi wa nchi zinazoendelea. &#8220;Hawa (wafanyakazi wasiokuwa &#341;asmi) wanaachwa na mfumo wa hifadhi ya jamii,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Chisi alisema kuwa she&#341;ia za kazi za sasa nchini Malawi zinatoa mamlaka ndogo kwa mfanyakazi wa kawaida, na kutoa fu&#341;sa nyingi kwa waaji&#341;i kuwatumia wafanyakazi.<\/p>\n<p>Akielezea wasiwasi kuwa watu wanaangushwa na hifadhi ya jamii, Kanyumba alitaka Mpango wa Nchi wa Kazi za Heshima, uliozinduliwa Agosti 2011.<\/p>\n<p>Alielezea mpango huo kama wenye uwezo wa kukuza kazi zenye maana kwa wale walioaji&#341;iwa katika sekta isiyokuwa &#341;asmi. Unakuza biasha&#341;a na kujua haki za kazi, wakati wakianza mtaji kwa biasha&#341;a ndogo ndogo, alielezea. <\/p>\n<p>Mpango mwingine ni Se&#341;a ya Kusaidia Hifadhi ya Jamii Malawi ya 2009.<\/p>\n<p>&#8220;Maskini zaidi na wanaoishi katika mazingi&#341;a magumu wameondolewa kutoka katika kufaidika na kutumia faida ya mchakato wa maendeleo ya kiuchumi,&#8221; unasema wa&#341;aka huo. Na hivyo katika mpango huo, alisema Wazi&#341;i wa Jinsia, Watoto na Maendeleo ya Jamii Reen Kache&#341;e, ni mpango wa kijamii wa kuhamisha fedha.<\/p>\n<p>Kaya zinazohitimu zitapewa wastani wa dola 12 kwa mwezi, ikiwa ni pamoja na mafao mengine (kama dola 1.20 hadi 2.40) kwa kila mtoto anayeingia shule.<\/p>\n<p>Ukiwa umefanyiwa maja&#341;ibio katika wilaya moja mwaka 2006, kwa sasa kuna mikoa saba inayofaidika na mpango huo, ambao unatoa msaada wa kifedha kwa zaidi ya kaya 30,400. Mipango inafanyika kupanua zaidi mpango huo katika wilaya sita mwaka ujao, alisema Kache&#341;e. &#8220;Halafu baada ya mwaka mmoja zaidi, tunataka kuutumia kwa watu wengi zaidi nchini.&#8221;<\/p>\n<p>Se&#341;a ya Hifadhi ya Jamii ni mpango ambao ungeweza kumuokoa kaka na dada yake Fedson. Uki&#341;ejea katika kijiji cha Mbedza, Manes anaongea kwa machungu makubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Nilishindwa kukubali kuwa nimepoteza watoto wangu, ambao wangeweza kuishi kama kuna mtu angewasaidia,&#8221; alisema. &#8220;Wakati nilipokuwa hospitalini, nilikutana na wanawake wengine wenye matatizo kama yangu. Se&#341;ikali ingeingilia kati na kusaidia watu wenye matatizo ambao hawawezi kujisaidia.&#8221;<\/p>\n<p>Manes anaendelea kusisitiza kuwa kama angekuwa na huduma za jamii bo&#341;a, watoto wake wawili wangekuwa bado wako hai. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Dec 5 (IPS) &ndash; Katika kijiji cha Mbedza, jumuiya ya kijijini kusini mwa Malawi, Fedson Feston anatoa tabasamu la kujilazimisha la kitoto na anaelekeza mikono yake myembamba usoni mwa mama yake. Akiwa na um&#341;i wa miezi minne, Fedson ni mtoto mno kujua kuwa ana bahati kubwa kuwa bado yupo hai. Wakati mama yake, Manes,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":888,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3773","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3773","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/888"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3773"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3773\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3773"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3773"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3773"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}