{"id":938,"date":"2005-04-22T13:40:01","date_gmt":"2005-04-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/22\/afya-kusini-mwa-afrika-vijana-wanaojinyonga-waongezeka\/"},"modified":"2005-04-22T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-22T13:40:01","slug":"afya-kusini-mwa-afrika-vijana-wanaojinyonga-waongezeka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/22\/afya-kusini-mwa-afrika-vijana-wanaojinyonga-waongezeka\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;KUSINI MWA AFRIKA: Vijana Wanaojinyonga Waongezeka"},"content":{"rendered":"<p>MBABANE, Ap&#341;ili 20 (IPS) &ndash; Hisia za moyo kuliko matatizo ya kifedha ni sababu kubwa ya ongezeko la idadi ya watu wanaojinyonga katika nchi za Kusini mwa Af&#341;ika kwa kutofauatina baina ya nchi zilizoendelea kama Af&#341;ika Kusini na na nchi ndogo inayotawaliwa kijadi ya Swaziland.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8221;Kujinyonga kulikuwa hakutambuliki ka&#341;ne moja iliyopita katika tamaduni za Kiaf&#341;ika. Watu hawakuweza kutoa maamuzi ya kujiua,&#8221; alisema mtaalam wa magonjwa ya akili Wesley Thwala wa Mbabane, Swaziland. <\/p>\n<p>&#8221;Kulikuwa hakuna shinikizo kubwa la kiuchumi kizazi kimoja kilichopita au zaidi, lakini jambo muhimu ni kwamba kila mmoja alikuwa na hisia za kutambuliwa katika familia na ngazi ya jumuiya,&#8221; Thwala alisema. Kutokana na kugawanyika kwa familia kubwa, hali ya usalama na kutambuliwa ilipotea. Watu wanaiga mambo ya magha&#341;ibi kutokana na jinsi wanavyojisikia wametengwa na kuwa wapweke bila ya kumtegemea mtu yeyote yule, matatizo yao ya kihisia yanastawi, yanakua kwa ha&#341;aka, na wakati yanapozidi sana watu wanaamua kujiua, alisema. <\/p>\n<p>&#8221;Watu wanakosa watu wa kuzungumza nao. Hakuna mama mdogo wala mjomba katika kibanda cha ji&#341;ani wa kuweza kutizama mambo,&#8221; Thwala alisema. <\/p>\n<p>Ni kwa kiwango gani kujinyonga kunaongezeka  Moja ya nchi chache katika ukanda huo kutunza takwimu za kitabibu za kutosha kwa idadi kubwa ya watu, Af&#341;ika Kusini imegundua ongezeko la kujinyonga kunakohusiana na kazi miongoni mwa aska&#341;i polisi na wanausalama. <\/p>\n<p>Said Janis Simelane, mfanyakazi wa masuala ya jamii katika shi&#341;ika la Nelsp&#341;uit, nchini Af&#341;ika Kusini anasema: &#8221;Aska&#341;i wa Kiaf&#341;ika walikuwa ni watu wenye usalama wa kutosha zaidi katika majukumu yao, kutambuliwa kwao, na umahi&#341;i wao. Lakini kutokuheshimika kwa polisi ambako kulitokana na enzi za ubaguzi wa &#341;angi, ambapo vyombo vya usalama vilifanya kazi ya kutekeleza kampeni za vitisho vya dola, bado kunaendelea. Hii inavifanya kuwa vigumu kufanya kazi hata&#341;i ambayo inahitaji ushi&#341;ikiano na heshima kutoka kwa umma.&#8221; <\/p>\n<p>Washau&#341;i kama Simelane wanaweza kuelezea kiu&#341;ahisi kuhusu kujinyonga kwa vijana, ambako kunaongezeka ma&#341;a mbili tangu mwaka 1990 hasa kwa watoto kati ya miaka 10 na 14, hii ni kulingana na shi&#341;ika la South Af&#341;ican Dep&#341;ession and Anxiety Suppo&#341;t G&#341;oup (SADAG). <\/p>\n<p>Kukata tamaa ni sababu kwa asilimia 60 ambayo inasababisha kujinyonga kwa vijana, tafiti za shi&#341;ika hilo zilibaini. Vijana waliohojiwa na washau&#341;i wamekanusha kuhusu mawazo ya mapenzi, na hata mawazo muhimu kuhusu kujinyonga. <\/p>\n<p>&#8221;Wanataka jambo la ajabu la matumizi ya he&#341;oine, na kumalizia na utata kuhusu mawazo ya kimapenzi na kuamua kujinyonga,&#8221; Simelane alisema. <\/p>\n<p>Lakini vikundi &#341;ika katika mashule, kutaka kufanya vizu&#341;i kimasomo, kijamii na kimichezo, pia vinachangia kwa vijana kuwa na mawazo mabaya yanayochochea kujinyonga, ili&#341;ipoti SADAG. Kutokana na vifo sita katika kila vijana 100,000, Af&#341;ika Kusini ina kiwango cha asilimia nane ambacho ni cha juu sana cha vijana wanaojiua ulimweguni. <\/p>\n<p>Njia zinazopendwa sana za kujiua miongoni mwa Waaf&#341;ika Kusini ni kujinyonga. Hii inafuatiwa na kujipiga &#341;isasi, kijiua kwa kujipulizia gesi au kujichoma moto.<\/p>\n<p>Nchini Swaziland, nchi ndogo na ji&#341;ani wa Af&#341;ika Kusini yenye maendeleo duni, kujiua kwingi kunafanywa kwa kutumia sumu, kutumia madawi ya bei &#341;ahisi yanayouzwa kwa ajili ya kudhibiti panya. Kujinyonga kunafuatia kama njia inayopendwa zaidi halafu kujiua kwa njia ya kujipiga &#341;isasi. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa za wiki hii kwamba Waswazi kumi na moja wamejiua tangu Janua&#341;i zimechukua sehemu kubwa ya vichwa vya haba&#341;i katika nchi yenye watu wazima nusu milioni. <\/p>\n<p>Siyo Wiza&#341;a ya Afya na Masuala ya Jamii ambayo inaandaa takwimu za watu wanaojiua. Ni kazi ya Jeshi la Polisi la Swaziland kuweza kuweka takwimu za watu wanaojiua, ambao wanafanya upelelezi kama suala la uhalifu. Watu wanaojiua na kushindwa wanakamatwa. <\/p>\n<p>M&#341;akimu wa Polisi Vusi Masuku alisema kujiua kwingi kunatokana na mahusiano yenye matatizo, ma&#341;a nyingi kati ya wanandoa au wapenzi. <\/p>\n<p>&#8221;Ma&#341;a nyingi, ujumbe kuhusu kujiua unaachwa. Mtu anaelezea kwamba ana matatizo na mpenzi wake wa kike au wa kiume, mume wake au mke wake,&#8221; Masuku alisema. <\/p>\n<p>Kutokana na kukosekana kwa wanafamilia wa ka&#341;ibu, njia nyingine za kupoteza mawazo zinahitajika, alisema M&#341;akimu wa Polisi Lekina Magagula. <\/p>\n<p>&#8221;Tumeweka Kitengo cha Unyanyasaji wa Majumbani ili kuwapa watu fu&#341;sa ya kuzungumza mambo,&#8221; alisema. Magagula anaongoza kitengo hicho, ambacho kilianza kutokana na kuongezeka kwa kesi za kunajisi watoto. <\/p>\n<p>Unyanyasaji wa majumbani, kama ilivyo kwa kujiua, haukuwepo katika jamii za Kiswazi zilizokuwa zimeshikamana vizazi viwili vilivyopita. Waswazi wengi waliishi katika mashamba ya kifamilia, na ni ma&#341;a chache sana walikwenda nje ya himaya yao. Hata ndoa za kupangwa zilikubalika na vijana kama mpangilio mzu&#341;i wa mambo wa kiasili. <\/p>\n<p>&#8221;Hakukuwa na aliyekuwa mpweke hata mmoja, kutokana na kwamba daima walikuwa wamezungukwa na watu ambao wangezungumza nao. Kulikuwa hakuna ushindani, kama ilivyokuwa leo hii &ndash; watu wakigombania wapenzi, pesa, kila kitu,&#8221; alikumbuka Gogo Matsebula, mwanamke mzee ambaye anatunza wajukuu zake watatu. <\/p>\n<p>&#8221;Binti yangu na mume wake &ndash; wazazi wa watoto hawa ninaowalea wamekufa kutokana na Ukimwi. Nafiki&#341;i sababu inayowafanya Waswazi kutokutaka kutambua kama wameambukizwa vi&#341;usi vya Ukimwi ni kwamba jambo hilo litawakatisha tamaa zaidi, na wengine watajiua,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>&#8221;Watu wengi wanaotambua kwamba wana vi&#341;usi wanafiki&#341;ia kujiua. Wanafiki&#341;i watakufa ma&#341;a moja kutokana na Ukimwi. Siyo kweli,&#8221; alisema Sempiwe Hlope mwenye um&#341;i wa miaka 49, mwanamke mwenye vi&#341;usi, ambaye alianzisha kikundi cha kutoa ushau&#341;i nasaha kwa wanawake wanaoishi na UKIMWI. <\/p>\n<p>&#8221;Unapojikuta kwamba haupo peke yako, ambapo unaweza kubeba mzigo wako na wengine ambao wanabeba mzigo kama huo, hujisikii upweke sana, unajisikia nafuu na vizu&#341;i,&#8221; Hlope alisema. <\/p>\n<p>Mwaka jana Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kujiua kulikuwa kunasababisha ka&#341;ibu nusu ya vifo vyote vya kutumia nguvu, na kusababisha ka&#341;ibu vifo milioni moja duniani kote kila mwaka. Shi&#341;ika la afya la Umoja wa Mataifa linapendekeza kwamba vifo vinaweza kuongezeka hadi milioni 1.5 ifikapo mwaka 2020. <\/p>\n<p>&#8221;Kidunia, vifo kwa njia ya kujiua vinasababisha asilimia 1.4 ya Mzigo wa Gonjwa hilo, lakini upotevu wa maisha unaendelea zaidi ya hapo. Hata hivyo, kuna taa&#341;ifa kidogo sana kuhusu kujiua kutoka nchi za Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Vifo hivyo vinakadi&#341;iwa kufikia ma&#341;a 10&ndash;20 zaidi ya vinavyotokana na maja&#341;ibio ya kujiua, na kusababisha kuje&#341;uhiwa, kulazwa hospitalini, mawazo mabaya na matatizo ya kiakili, pamoja na kwamba hakuna takwimu za uhakika kuhusu kiwango hasa cha matukio hayo,&#8221; WHO ilisema. (END\/2005)<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MBABANE, Ap&#341;ili 20 (IPS) &ndash; Hisia za moyo kuliko matatizo ya kifedha ni sababu kubwa ya ongezeko la idadi ya watu wanaojinyonga katika nchi za Kusini mwa Af&#341;ika kwa kutofauatina baina ya nchi zilizoendelea kama Af&#341;ika Kusini na na nchi ndogo inayotawaliwa kijadi ya Swaziland. &#8221;Kujinyonga kulikuwa hakutambuliki ka&#341;ne moja iliyopita katika tamaduni za Kiaf&#341;ika&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":8,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-938","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/938","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/8"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=938"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/938\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=938"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=938"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=938"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}