{"id":936,"date":"2005-04-20T13:40:01","date_gmt":"2005-04-20T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/20\/haki-kusini-mwa-afrika-kukosekana-kwa-ushiikiano-katika-vita-dhidi-ya-ukimwi\/"},"modified":"2005-04-20T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-20T13:40:01","slug":"haki-kusini-mwa-afrika-kukosekana-kwa-ushiikiano-katika-vita-dhidi-ya-ukimwi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/20\/haki-kusini-mwa-afrika-kukosekana-kwa-ushiikiano-katika-vita-dhidi-ya-ukimwi\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;KUSINI MWA AFRIKA: Kukosekana kwa Ushi&#341;ikiano katika Vita Dhidi ya Ukimwi"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Ap&#341;ili 18 (IPS) &ndash; Kikundi cha ngoma za jadi, kikiwa kimevalia ngozi za asili za wanyama na kofia, kilifanya mdua&#341;a kuzunguka mpiga ngoma, huku ikiwabu&#341;udisha wageni waliokuwa wakielekea katika mkutano wa Ukimwi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wacheza ngoma hao, ambao wengi wao walikuwa wanatisha, ghafla waligawanyika na kutengeneza nusu mdua&#341;a na kuimba nyimbo nzu&#341;i, wakicheza na ku&#341;usha miguu yao mithi&#341;i ya mpiganaji wa jadi wa kabila la Kizulu. <\/p>\n<p>Ndani ya hema lililoandaliwa maalum kwa ajili ya tukio hilo, Olive&#341; Mtukudzi, mmoja wa wanamuziki wanaoongoza nchini Zimbabwe, alikaa katika kiti ki&#341;efu ka&#341;ibu na meza ya mgeni &#341;asmi huku gitaa lake likiwa limefungwa katika kifaa chake cha kuongeza sauti. Wakati wageni 150 wakijisogeza kuchukua viti vyao, alianza kupiga gitaa lake huku akiimba. <\/p>\n<p>Nyuma ya Mtukudzi, katika ukuta, kulikuwa na kipande cha plastiki kimebandikwa kikiwa kinabeba ujumbe wa tukio hilo kwa maandishi makubwa &#8216;Kuzifanya She&#341;ia na Se&#341;a Kufanya Kazi katika Kupambana na Ukimwi na Kukosekana kwa Usawa wa Kijinsia Kusini mwa Af&#341;ika &#8216;. <\/p>\n<p>Mtukudzi, mwanamuziki anayezidi kuongezeka umaa&#341;ufu wake kutokana na sauti yake ya fa&#341;asi aliyelewa, ni mwanakampeni wa Ukimwi asiyechoka. Moja ya wimbo wake wa &#8216;Todii&#8217; (Tutafanyaje au What Shall We Do) unapinga unyanyapaa unaotokana na vi&#341;usi vya Ukimwi. <\/p>\n<p>&#8221;Nilikuta kwamba watu wamekuwa wakinyamaza baada ya kusoma kuhusu Ukimwi katika magazeti,&#8221; alisema katika tukio hilo lililofanyika katika mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a nchini Af&#341;ika Kusini wa Johannesbu&#341;g Alhamisi iliyopita. &#8221;Hivyo nilifiki&#341;ia kwamba inabidi kuimba na kuvunja ukimya.&#8221; <\/p>\n<p>Kitu kilichochochea nde&#341;emo za wanawake waliokuwa wakihudhu&#341;ia mkutano huo ni pale Mtukudzi aliposema, &#8221;Ni lazima wanawake kusimama na kupigania haki zao. Inabidi wasichoke.&#8221; <\/p>\n<p>Jacqueline Bata&#341;ingaya wa shi&#341;ika la misaada la Oxfam tawi la Ma&#341;ekani,ambalo liliandaa tukio hilo, alisema kukosekana kwa she&#341;ia kulikuwa kukichochea kuenea kwa vi&#341;usi. &#8221;Katika ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika, ambapo Ukimwi umegusa ka&#341;ibu kila familia, madha&#341;a ni makubwa zaidi kwa vijana wa kike wenye um&#341;i kati ya miaka 15&ndash;24 ambapo nchini Af&#341;ika Kusini, Zambia na Zimbabwe kwa mfano, wana nafasi ya kuambukizwa vi&#341;usi ma&#341;a tatu hadi sita zaidi ikilinganishwa na wenzao wa kiume wenye um&#341;i kama huo,&#8221;alisema. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti ya Kikundi Kazi cha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Wanawake, Wasichana na Ukimwi Kusini mwa Af&#341;ika ya mwaka 2004, zaidi ya &#341;obo tatu ya vijana wenye um&#341;i kati ya miaka 15&ndash;24 wanaoishi na vi&#341;usi katika nchi hizo ni wasichana wadogo, ambapo wengi wao wanaambukizwa ma&#341;a tu wanapoanza kufanya ngono. <\/p>\n<p>&#8221;Mila na tamaduni ambazo zimezidi kuota mizizi mi&#341;efu zinaendelea kuwaweka wanawake katika ukanda huo katika hadhi za chini za kijamii na kiuchumi ikilinganishwa na wanaume,&#8221; Bata&#341;ingaya alisema. <\/p>\n<p>Alisema tafiti kuhusu utekelezaji wa she&#341;ia na se&#341;a za Ukimwi katika Kusini mwa Af&#341;ika zimeonyesha kwamba vyombo vya haki za binadamu vya kikanda na kimataifa havijatumika ipasavyo au kuingizwa katika she&#341;ia za ndani. <\/p>\n<p>Bata&#341;ingaya alikubali kwamba wanawake wanapewa hadhi za chini katika she&#341;ia za kimila; na kwamba unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana unakwenda kinyume cha she&#341;ia na vitendo vibaya vya jadi vyenye atha&#341;i zinazochochea ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake na wasichana kutokushughulikiwa. <\/p>\n<p>Nchini Zimbabwe, Bata&#341;ingaya alisema, she&#341;ia zipo kimya kuhusu mila mbaya kama vile kuolewa kwa watoto wadogo wa kike, kuwalazimisha watoto wa kike kuolewa na wadai na kuwakandamiza wasichana katika kitendo cha udhalilishaji cha kuja&#341;ibisha ubiki&#341;a. Vitendo hivi, alisema, vinawafanya wasichana na wanawake kupatwa na maambukizo ya Ukimwi. <\/p>\n<p>Wanakampeni pia wanaongelea umaskini kama sababu inayoongoza katika kuchochea kuenea kwa gonjwa hilo. Mwaka 2003 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) ilisema nchi wanachama 13 wa jumuiya hiyo walikuwa wakishindwa kufikia matakwa ya chini ya Malengo Makuu ya Maendeleo ya Milenia, ambayo yanataka kupunguza nusu ya umaskini ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>Asilimia a&#341;obaini ya watu katika ukanda wa SADC bado wanaishi katika umaskini, ambapo ka&#341;ibu asilimia 70 kati yao ni wanawake, na ambao pia wameathi&#341;ika zaidi na gonjwa la Ukimwi, hii ni kulingana na chombo hicho cha kanda. <\/p>\n<p>Bata&#341;ingaya alisema umaskini unalazimisha wasichana maskini na wanawake kuuza miili yao ili kuweza kuishi. Ma&#341;a wanapoambukizwa, alisema, wanapata madha&#341;a kadhaa ikiwa ni pamoja na kuwa na fu&#341;sa ndogo ya elimu; kupata aji&#341;a; kupata matunzo na matibabu. Pia wanaathi&#341;ika na kupungua kwa utu wao na matumaini kuhusu hatma yao ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa unyanyasaji wa kijinsia na wa majumbani, alisema. <\/p>\n<p>Kulingana na Mtandao wa Mtoto wa Kike nchini Zimbabwe, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali, kwa uchache watoto watatu wa kike wenye um&#341;i kati ya mika 16 na chini ya hapo wanabakwa na zaidi ya wasichana 6,000 wanadhalilishwa kijinsia kila mwaka nchini Zimbabwe. <\/p>\n<p>Akihutubia tukio hilo, jaji wa Af&#341;ika Kusini Johann Van de&#341; Westhuizen alisema ubaguzi dhidi ya watoto wa kike na wanawake ulikuwa ukizidisha ongezeko la maambukizi ya ukimwi. &#8221;Majaji wengi wa kiume hawaelewi ni kwa nini majaji wanawake wanatakiwa kuwepo,&#8221; alisema. &#8221;Baadhi ya majaji hawaelewi kwamba, kwa mfano, ni kwa nini wanawake wanabakwa.&#8221; <\/p>\n<p>Alisema inabidi wanawake walindwe kutokana na unyanyasaji kama vile ubakaji ambapo wanaume wanaonekana kutokujali. &#8221;Katika nchi yenye uhalifu mwingi ya Af&#341;ika Kusini, kwa mfano, wanaume wanafiki&#341;ia kuhusu maga&#341;i yao ya kifaha&#341;i aina ya Me&#341;cedes Benz yasiweze kuibwa. Wanahangaika kujaza fomu za bima na kutoa taa&#341;ifa katika vituo vya polisi. Lakini wanawake wanaenda zaidi ya kile wanaume wanachohofia na kuhangaikia. Wanahofia kubakwa, wakati wanapokuwa wakiendesha maga&#341;i yao,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>De&#341; Westhuizen alitoa mwito kwa wasichana na wanawake kuwa macho kuhusu haki zao na pia kuhusu wajibu wao. &#8221;Siyo ma&#341;a zote majibu yanatokana na she&#341;ia na mahakama, pamoja na kwamba ma&#341;a nyingine mahakama zinachukua msimamo kuhusu mabadiliko ya kijamii,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Kulingana na Shi&#341;ika la Ukimwi la Umoja wa Mataifa (UNAIDS), hadi watu milioni 1.2 waliugua magonjwa yanayohusiana na Ukimwi Kusini mwa Af&#341;ika mwaka 2003. Kiwango cha vifo kimesababisha kushuka kwa ghafla kwa um&#341;i wa kuishi hadi kufikia chini ya miaka 40 nchini Botswana, Lesotho, Malawi, Msumbiji, Swaziland, Zambia na Zimbabwe, linasema shi&#341;ika hilo. <\/p>\n<p>Pia inasemekana kwamba kiwango cha vifo kinaonyesha kwamba nchi hizo zitakuja kukabiliana na madha&#341;a katika kizazi hadi kizazi kwa miongo kadhaa inayokuja ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa umaskini, mahitaji makubwa ya matibabu na matunzo, na ongezeko la watoto yatima na wasiokuwa na msaada. <\/p>\n<p>Zaidi ya watu milioni 14 wanaishi na vi&#341;usi vinavyosababisha Ukimwi Kusini mwa Af&#341;ika, ikiwa ni zaidi ya moja ya tatu ya watu wote wenye vi&#341;usi duniani kote, katika eneo ambalo lina asilimia mbili tu ya idadi ya watu wote ulimwenguni, ilisema UNAIDS. <\/p>\n<p>Mkusanyiko huo ka&#341;ibu uha&#341;ibiwe na tangazo la kufa&#341;iki kwa mwandishi maa&#341;ufu wa Zimbabwe Yvonne Ve&#341;a ambaye alifa&#341;iki nchini Canada Ap&#341;ili 7. Ve&#341;a mwenye um&#341;i wa miaka 40 alikuwa mwanakampeni aliyeongoza katika kupambana na Ukimwi na mpigania wa haki za wanawake na watoto wa kike. <\/p>\n<p>&#8221;Sisi, ikiwa ni pamoja na ma&#341;afiki zake duniani kote, tutamkumbuka,&#8221; alisema Eleano&#341; Sisulu, mwanaha&#341;akati wa haki za binadamu, ambaye alitoa tangazo hilo. <\/p>\n<p>Mwishoni mwa tukio hilo, onyesho la mwisho la Mtukudzi lilimalizika kwa ghafla kutokana na kukatwa kwa umeme katika hema. <\/p>\n<p>Lakini wacheza dansi la jadi ambao walikuwa wameshavua mavazi yao ya jadi na kuvalia mavazi ya kawaida, walivamia jukwaa na kuwanyanyua washi&#341;iki kwa ma&#341;a nyingine tena kwa muziki wao wa jadi ya Kiaf&#341;ika. (END\/2005) <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Ap&#341;ili 18 (IPS) &ndash; Kikundi cha ngoma za jadi, kikiwa kimevalia ngozi za asili za wanyama na kofia, kilifanya mdua&#341;a kuzunguka mpiga ngoma, huku ikiwabu&#341;udisha wageni waliokuwa wakielekea katika mkutano wa Ukimwi. Wacheza ngoma hao, ambao wengi wao walikuwa wanatisha, ghafla waligawanyika na kutengeneza nusu mdua&#341;a na kuimba nyimbo nzu&#341;i, wakicheza na ku&#341;usha miguu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":17,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-936","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/936","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/17"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=936"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/936\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=936"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=936"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=936"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}