{"id":934,"date":"2005-04-18T13:40:01","date_gmt":"2005-04-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/18\/haki-tume-ya-umoja-wa-mataifa-kushughulikia-unyanyasaji-wa-guantnamo-na-vita-dhidi-ya-ugaidi\/"},"modified":"2005-04-18T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-18T13:40:01","slug":"haki-tume-ya-umoja-wa-mataifa-kushughulikia-unyanyasaji-wa-guantnamo-na-vita-dhidi-ya-ugaidi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/18\/haki-tume-ya-umoja-wa-mataifa-kushughulikia-unyanyasaji-wa-guantnamo-na-vita-dhidi-ya-ugaidi\/","title":{"rendered":"HAKI: Tume ya Umoja wa Mataifa Kushughulikia Unyanyasaji wa Guant&aacute;namo na &#8216;Vita Dhidi ya Ugaidi&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Ap&#341;ili 15 (IPS) &ndash; Wakati wa wiki ya mwisho ya kikao chake cha 61 cha mwaka, Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa itashughulikia masuala mawili ya utesaji katika ajenda ya kiamtaifa wakati huu:hali ya wafungwa katika ngome ya jeshi la majini la Ma&#341;ekani katika kisiwa cha Guant&aacute;namo Bay, na ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa kwa jina la kupambana na ugaidi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa upande wa suala la Guant&aacute;namo, Cuba inataka Tume hiyo kuidai Ma&#341;ekani ku&#341;uhusu uchunguzi hu&#341;u na usioegemea upande wowote kuhusu hali ya wafungwa walioshikiliwa katika ngome ya kijeshi katika ncha ya masha&#341;iki ya kisiwa hicho. <\/p>\n<p>Mjumbe wa Cuba Rodolfo Reyes Rod&#341;&iacute;guez alisema siku ya Ijumaa kwamba nchi yake haikuwa inawakilisha pendekezo la kulipiza kisasi kutokana na azimio lililofadhiliwa na Ma&#341;ekani dhidi ya Cuba na kukubaliwa na Tume hiyo siku moja kabla. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, kwa kuzingatia kulinda haki za binadamu katika kupambana na ugaidi, Tume itachunguza &#341;asimu ya azimio lililowakilishwa na Mexico na kufadhiliwa na idadi kadhaa ya mataifa mengine, ambalo linatoa mwito wa kuteuliwa kwa mwandishi maalum kushughulikia jambop hilo. <\/p>\n<p>Pendekezo la Mexico, hata hivyo, limekumbwa na upinzani kutoka kikundi kidogo cha nchi zinazoongozwa na Ma&#341;ekani, China na Russia. <\/p>\n<p>Hadi sasa, chombo hicho la haki za binadamu cha Umoja wa Mataifa kimeshapuuza masuala yote haya, pamoja na madai ya mashi&#341;ika ya ki&#341;aia. <\/p>\n<p>Wakati wa mkutano wa mwaka jana, Cuba ilikuwa imewakilisha azimio kuhusu hali ilivyo katika kisiwa cha Guant&aacute;namo Bay, ambapo inakadi&#341;iwa kwamba Ma&#341;ekani inashikilia wafungwa 550 waliopewa jina la &#8220;wapiganaji maadui &#8221; kutokana na kuwa na uhusiano na majeshi la Taliban nchini Afghanistan na mtandao wa Al Qaeda. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Ma&#341;ekani la Human Rights Watch (HRW) linasema kuna ongezeko la ushahidi kwamba wafungwa katika kisiwa cha Guant&aacute;namo, ambao wanatoka katika nchi tak&#341;ibani katika 40 duniani, wamekuwa wakiteswa na kufanyiwa ukatili mwingine, vitendo vya kinyama na udhalilishaji katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. <\/p>\n<p>Pendekezo la Cuba linatoa mwito kwa Tume kudai se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani kutoa kibali cha kutembelewa kwa ge&#341;eza la kijeshi la Guant&aacute;namo na watalaam wanne wa Umoja wa Mataifa: Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa na Mwandishi wa Kikundi Kazi kuhusu Vitendo Vya Kuwekwa Kizuizini, Le&iuml;la Ze&#341;&#341;ougui; Mwandishi Maalum wa Tume hiyo kuhusu Mateso, Manf&#341;ed Nowak; Mwandishi Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki ya Afya, Paul Hunt; na Mwandishi Maalum kuhusu Majaji na Wanashe&#341;ia Hu&#341;u, Leand&#341;o Despouy. <\/p>\n<p>Wataalam hao wanne walitoa ombi maalum kwa se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani mwezi Juni iliyopita, lakini bado hawajapokea majibu kamili. <\/p>\n<p>Vile vile baada ya kukutana mwezi jana na wajumbe wa Ma&#341;ekani katika kikao cha Tume kinachoendelea mjini Geneva, Nowak alisema alikuwa na imani kuhusu uwezekano wa kutembelea ge&#341;eza la Guant&aacute;namo mwaka huu, pamoja na kwamba bado hajapokea mualiko. <\/p>\n<p>Cuba pia inatoa mwito kwa Kamishina wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Louise A&#341;bou&#341; kuwakilisha &#341;ipoti kuhusu hali ya wafungwa katika Guant&aacute;namo katika kikao cha Tume cha mwaka kesho. <\/p>\n<p>Mpango huo wa Cuba, uliowakilishwa Ijumaa kwa nchi nyingine wanachama wa tume hiyo na kwa vyama vya ki&#341;aia, uliungwa mkono ma&#341;a moja na wajumbe wa China, I&#341;an na Bela&#341;us. <\/p>\n<p>Hata hivyo, mjumbe wa Ma&#341;ekani alijitetea kwamba pendekezo la kufanyia uchunguzi ge&#341;eza la Guant&aacute;namo halina maana, na kutoa hoja kwamba taya&#341;i Ma&#341;ekani imekwishachukua jitihada kubwa kuhusu hali hiyo, na kwamba sasa lipo mikononi mwa mfumo wa she&#341;ia. <\/p>\n<p>Katika kujibu, China ilipendekeza kwamba kuwekwe kifungu katika utangulizi wa &#341;asimu ya azimio kuingiza madai ya Ma&#341;ekani kwamba haki za binadamu katika ge&#341;eza la Guant&aacute;namo zinaheshimiwa na kwamba hatua zinachukuliwa kuhakikisha kwamba haki inatendeka kikamilifu. <\/p>\n<p>Pendekezo la Mexico la kuteu mwandishi maalum wa kulinda haki za binadamu na uhu&#341;u wa msingi wakati huu wa kupambana na ugaidi unaegemea katika hitimisho la &#341;ipoti iliyowakilishwa kwa Tume mwaka huu na Robe&#341;t K. Goldman, mtaalam binafsi wa Umoja wa Mataifa kuhusu suala hilo, na mapendekezo kama hayo yalitolewa na A&#341;bou&#341; na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan. <\/p>\n<p>Kulingana na Goldman, tangu mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001 katika miji ya New Yo&#341;k na Washington, &#8220;idadi kubwa ya haki za binadamu zinazidi kuwa katika shinikizo au kukiukwa na Mataifa kwa jina la&#8230;mipango ya kupambana na ugaidi.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Kuna mapengo yanayoonekana katika kutekeleza mikataba ya vyombo mbalimbali na ta&#341;atibu maalum&#8217; za mifumo ya ufuatiliaji wa Mataifa&#8217; yanayochukua hatua za kupambana na ugaidi,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Hata hivyo, kulingana na mashi&#341;ika makubwa ya haki za binadamu ya Amnesty Inte&#341;national, Human Rights Watch, Inte&#341;national Commission of Ju&#341;ists, Inte&#341;national Fede&#341;ation of Human Rights Leagues na Inte&#341;national Se&#341;vice fo&#341; Human Rights, idadi ya nchi kadhaa zinazuia pendekezo la kuwa na mwandishi maalum kuhusu suala hilo kwa madai ya &#8220;mabadiliko yasiyokubalika kuua au kufutilia mbali jukumu hilo.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa kuongeza katika nchi za Ma&#341;ekani, China na Russia, idadi kubwa ya nchi nyingine zinaja&#341;ibu kudhoofisha pendekezo la Mexico, ikiwa ni pamoja na nchi ya Aust&#341;alia, India na Pakistan, yanasema mashi&#341;ika ya haki za binadamu. <\/p>\n<p>&#8220;Ka&#341;ibu miaka minne baada ya janga la Septemba 11, 2001 na am&#341;i ya Ba&#341;aza la Usalama kuhusu kuchukuliwa hatua kali za kimataifa kupambana na ugaidi, na pamoja na zaidi ya miaka mitatu ya mjadala katika mfumo wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, China imesema kwamba ni &#8216;mapema mno&#8217; kuanzisha mfumo wa kuwa na mwandishi huyo maalum,&#8221; mashi&#341;ika haya yalitaja. <\/p>\n<p>Siku ya Ijumaa, mashi&#341;ika hayo yalitoa mwito kwa Tume &#8220;kufanya kazi sasa kushughulikia kikamilifu moja ya changamoto kubwa ya haki za binadamu ambayo sasa inakabili jumuiya ya kimataifa.&#8221; <\/p>\n<p>Nchi wanachama 53 katika Tume hiyo zitaongelea kuhusu masuala ya wafungwa katika kisiwa cha Guant&aacute;namo na kulinda haki za binadamu katika mapambano dhidi ya ugaidi wakati wa wiki ya mwisho ya kikao cha siku sita, ambacho kinamalizika Ap&#341;ili 22. (END)<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Ap&#341;ili 15 (IPS) &ndash; Wakati wa wiki ya mwisho ya kikao chake cha 61 cha mwaka, Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa itashughulikia masuala mawili ya utesaji katika ajenda ya kiamtaifa wakati huu:hali ya wafungwa katika ngome ya jeshi la majini la Ma&#341;ekani katika kisiwa cha Guant&aacute;namo Bay, na ukiukwaji wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":90,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-934","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/934","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/90"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=934"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/934\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=934"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=934"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=934"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}